Maluu_26 retweeted
Sema wewe mzee huu Mguu ulinipatia sana @Suma_Viatu
Mkwaju wa moto sana sijutii Hela yangu.!
Maluu_26 retweeted
Morning friend of @GeoConstructors
Umeamkaje?!
M/Mungu akujalie sana uingie wiki hii mpya tunayoanza ukiwa na amani, no stress, no msongo wa mawazo, no drama, no vikwazo, no kero. Baraka kede kede, afya njema na habari njema tu zikufate mfululizo☺️❤️🫵
Maluu_26 retweeted
Wale madogo wa U17(Serengeti Boys) licha ya kufika fainali ya AFCON mwaka huu na kuonyesha uwezo mkubwa as team na individul hakuna aliyepata timu ulaya au hapa hapa Africa licha ya kuwa na ofa nyingi sana za trial kwenye makabati yao shida inakuja kwa wanaowamiliki hao majanja👇🏾
Maluu_26 retweeted
Kitendo alicho kifanya Mbunge wangu wa Makete kupiga magoti na kulia kwa waziri Mkuu leo tena akiwa nyumbani Makete au bas..😎

































