Nehemia Mandia retweeted
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla ambayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alitunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru, New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023.
Nehemia Mandia retweeted
Pongezi za dhati kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup). Mmeandika historia na kuipa nchi yetu heshima kubwa sana. Nawatakia kila la kheri katika mchezo wenu wa Fainali.
Nehemia Mandia retweeted
Pongezi kwa Klabu ya Yanga kwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF Confederation Cup), na kila la kheri katika maandalizi mliyoanza sasa kwa mchezo ujao. Mmeandika historia jalili. Mmetuheshimisha sana. Hamasa yangu inaendelea, na sasa imeongezeka. Kaifanyeni kazi.
Nehemia Mandia retweeted
NENO LA MAMA
"Sisi ni Taifa huru na hivyo ni lazima wananchi wake wawe huru, sisi ni Taifa linaloheshimiwa na hivyo ni lazima serikali zetu ziwaheshimu wananchi wake"
#NyukiWaMama
#KaziIendelee
Nehemia Mandia retweeted
It was a great honor to watch today’s World Cup match alongside Prime Minister Akhannouch of Morocco.
No matter who you’re rooting for, it was remarkable to watch how much this team has been able to achieve.
Nehemia Mandia retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Wakfu wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper Jijini Washington nchini Marekani
Nehemia Mandia retweeted
Nawatakia kheri Watanzania wote katika kuadhimisha miaka 61 ya Uhuru. Imekuwa safari yenye changamoto na mafanikio mengi ambayo Taifa letu linajivunia. Tutumie siku hii kutafakari na kuweka dhamira ya kuongeza juhudi na maarifa ya kulipeleka Taifa letu mbele na kwa kasi zaidi.
Nehemia Mandia retweeted
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI @venusnyota
Nehemia Mandia retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Sasha Joseph Mbilinyi mtoto wa Msanii wa Hiphop Bw. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ katika Tamasha la Dream Concert lililofanyika Serena Jijini Dar es Salaam. @venusnyota
Nehemia Mandia retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimpa Tuzo Msanii wa Muziki wa Hiphop nchini Bw. Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ya kuthamini mchango wake katika Sanaa na kuzalisha ajira kabla ya kuzindua kitabu cha msanii huyo @venusnyota
Nehemia Mandia retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo 19 Mei, 2022. @venusnyota
Nehemia Mandia retweeted
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Bi Awena Sinani Masoud aliyekua mke wa Hayati Maalim Seif Sharif Hamad baada ya kufungua Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo Novemba 05, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.
Nehemia Mandia retweeted
H.E. @SuluhuSamia addressing the UN Climate Change Conference UK 2021 (Part I)
Nehemia Mandia retweeted
Rais @SuluhuSamia akisalimiana na Prince Charles leo huko Glasgow katika mkutano wa #COP26 #KSK_Balozi


































