SSH 2530 (@mariam255_) header
SSH 2530 (@mariam255_) profile picture
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2022
Photo by SSH 2530 (@mariam255_)Photo by SSH 2530 (@mariam255_)Photo by SSH 2530 (@mariam255_)Photo by SSH 2530 (@mariam255_)Photo by SSH 2530 (@mariam255_)Photo by SSH 2530 (@mariam255_)Photo by SSH 2530 (@mariam255_)Photo by SSH 2530 (@mariam255_)Photo by SSH 2530 (@mariam255_)Photo by SSH 2530 (@mariam255_)
She knows Her power, She wear it with grace, She knows Her inner strength, built in storms conquered in silence, She doesn’t need approval to fit, She just feels the room with power immediately she walks in, She knows where she belongs,
1
16
18
534
UAMINIFU, UJASIRI, UTIIFU NA UZALENDO ni misingi ya kulinda maslahi ya Taifa na usalama wa wananchi.
2
2
98
NIDHAMU, WELEDI, UADILIFU NA UWAJIBIKAJI ni tunu muhimu katika kulitumikia Taifa kwa kujituma.
2
3
103
UPENDO, UMOJA, MSHIKAMANO NA UZALENDO ni misingi ya kujenga Taifa lenye amani na mshikamano wa kudumu.
25
Mafanikio huanza pale unapothubutu kutumia fursa zinazokuzunguka. Chimbo la Vijana Brunch ni jukwaa la kukuongezea maarifa, kukuunganisha na watu wapya na kukuandaa kwa hatua nyingine ya maisha.
17
Fursa haziji kila siku! Chimbo la Vijana Brunch linakupa nafasi ya kujifunza, kuunganishwa na watu mbalimbali na kupanua upeo wako kuelekea mafanikio makubwa.
2
2
57
HONOURING OUR DEFENCE FORCES 🇹🇿 President Samia recognises the dedication, professionalism and patriotic service of Tanzania's armed forces in safeguarding national sovereignty.
3
3
110
ONE NATION. ONE PURPOSE. LASTING PEACE. 🇹🇿 Tanzania's peace and stability remain important foundations for national development, unity and prosperity.
1
2
96
President Samia's engagement in Monduli highlights the importance of recognising the institutions and personnel entrusted with protecting the nation's sovereignty and security.
3
4
126
MONDULI, ARUSHA 🇹🇿 Uwekezaji katika ulinzi na usalama wa Taifa ni msingi wa amani na utulivu. Ziara ya Rais Samia inaonesha umuhimu wa kutambua mchango, weledi na dhamana ya vyombo vyetu vya ulinzi na usalama katika kulinda uhuru na mipaka ya Tanzania.
2
2
95
Vijana Wanafurahia kuwa Chimbo La vijana Brunch na Hawajutii kabisa vibe la kibabe🤸🤸
2
3
87
SSH 2530 retweeted
Tanzania ni salama chini ya uongozi mahiri wa Rais wetu mpendwa Dkt Samia Suluhu Hassan 🫶🫶🫶
7
1
6
269
SSH 2530 retweeted
Tanzania ya Samia ni mwendo wa kula bata huku unaonyeshwa fursa. Chimbo la vijana wanatufungulia fursa ni sisi vijana kutumia nafasi. Viwanja vya CCM Katoro Geita leo mambo iko huku🔥🔥🔥
7
7
213
SSH 2530 retweeted
Vijana tukizingua ni sisi tu, huku chumbo la vijana ni mwendo wa ku unlock fursa kwa kwenda mbele🔥🔥🔥🔥
4
4
202
Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishuhudia matukio mbalimbali ya gwaride na sherehe za kutunukiwa Kamisheni Maafisa Wanafunzi wa TMA, Arusha.
2
4
126
Monduli, Arusha: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akihudhuria na kushiriki katika sherehe za kutunukiwa Kamisheni Maafisa Wanafunzi wa Makundi ya 07/23 na 73/25.
2
4
118
Katika picha mbalimbali, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Monduli.
2
2
76
Leo, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika hafla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Makundi ya 07/23 na 73/25 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA), Monduli, Arusha.
5
6
161
SSH 2530 retweeted
Katoro Geita kina happen muda huu.🔥🔥🔥🔥🔥
5
11
2,785
SSH 2530 retweeted
WAZIRI WA ULINZI NA JKT ASHIRIKI SHEREHE ZA KUTUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI CHUO CHA JESHI MONDULI Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, *Mhe. Dkt. Rhimo Simeone Nyansaho (Mb),* ameshiriki katika sherehe za kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 07/23 na Kundi la 73/25-Regular, pamoja na Mahafali ya Saba ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa Kundi la 07/23, zilizofanyika katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA), Monduli, Mkoani Arusha. Sherehe hizo zimehudhuriwa na Mgeni Rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, *Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.* Tukio hilo ni sehemu muhimu ya kuthamini mafanikio ya mafunzo ya kijeshi, maandalizi ya viongozi wa kijeshi na kuimarisha weledi, nidhamu na uzalendo katika kulinda usalama na maslahi ya Taifa.
8
8
93
SSH 2530 retweeted
RAIS SAMIA AWATUNUKU KAMISHENI MAAFISA WANAFUNZI WALIOHITIMU TMA MONDULI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewatunuku kamisheni maafisa wanafunzi waliohitimu mafunzo katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha. Hafla hiyo imefanyika leo Jumamosi, Novemba 21, 2026, ikihusisha maafisa wanafunzi wa Kundi la 07/23 la Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 73/25-Regular, sambamba na mahafali ya saba ya kijeshi ya Kundi la 07/23. Maafisa wa Kundi la 07/23 wamepata mafunzo kwa muda wa miaka mitatu, huku Kundi la 73/25-Regular wakipata mafunzo kwa mwaka mmoja, yakiwa na lengo la kuwajengea uwezo katika misingi ya uongozi, mbinu za kijeshi, kufanya maamuzi na kushirikiana katika kutekeleza majukumu katika mazingira yenye changamoto mbalimbali. Mafunzo hayo pia yamejikita katika kuwaandaa maafisa kukabiliana na changamoto za sasa na zijazo, huku uwekezaji katika miundombinu, vifaa na teknolojia ukiwa sehemu muhimu ya kuimarisha uwezo wa chuo katika kutoa mafunzo ya kijeshi. Katika kuendeleza ubora wa mafunzo, chuo kinaendelea kuweka mkazo katika kuboresha mitaala, mbinu za ufundishaji na mifumo ya tathmini ili kuimarisha maandalizi ya maafisa katika kutekeleza majukumu yao ya kijeshi.
5
6
141