Baada ya kukosekana kwenye mchezo dhidi ya mashujaa fc kutokana na changamoto za kifamilia hatimaye rushine amerejea na leo alikuwa zake mo arena kujiandaa na mchezo dhidi 15 de agosto
65
1,704
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰DAY
🆚 CFFA
🗓 17 Oct 2026
⏱️ K.O 3:00
🏟Azam Complex
🏆 #TotalEnergiesCAFCL
Simba wameamua kuweka bango la magoli na matokeo ya derby ya kariakoo,kuna mitaa ya Daresalam ukipata unakutana na bango kama hili la magoli ya derby ya kariakoo 😀
Denis Nkane yupo ndani ya Yanga, anafanya mazoezi akiwa hana uhakika wa kucheza.
Msimu uliopita alicheza kwa mkopo TRA United, msimu huu alikosa timu ya kwenda hivyo imebidi abaki Yanga, labda dirisha dogo anaweza kushawishika kuondoka.
Kipaji kingine kizuri
Simba watakuwa wamefanya maamuzi sahihi sana kumchukua Prince Dube kwasababu tangu amejiunga na Hard rock amekuwa na kiwango bora sana
Katika mechi 6 ambazo amecheza akiwa na Hard rock, amefunga magoli 4 na assist 3,yani,jumla kahusika kwenye magoli 7 kwenye mechi 6
Klabu ya Simba wamethibisha watacheza mchezo wao wa ugenini na 15deAgosto jumanne ya wiki ijayo tarehe 20/10/2026 kuanzia majira ya saa 10 alasiri katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam!
Mchezo wa marudiano wa nyumbani utapigwa jumapili ya tarehe 25/10/2026 kuanzia saa 10 alasi
Inasemekana Simba wapo kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa zamani ya Yanga na Azamfc Prince Dube
Kuna uwezekano mkubwa akajiunga na Simba dirisha dogo😃
Goli la tano lilitoka kufungwa sio muda
boka akapewa mpra mpenja akajua tu kuwa linafata goli lingn..ndio maan aliishia tena tena tena tena tena tena bwanaaaa😂
Lamine Yamal anasema kuchukua Treble inawezekana kwa Barcelona .
“ Yamal anasema inawezekana kuchukua Treble , sisi ni Barcelona ninavyoona sisi ni timu bora duniani “
Janja msimu huu anataka kuwapa Barcelona treble 😀
9
299
Baba yao alisema hamjui Lamine Yamal lakini haikuwa shida kwa Lamine Yamal kupiga picha pamoja na watoto wa Mario Lemina.
Wanaume mambo ya kukaa na kitu moyoni huwa hatuna na ya uwanjani huwa yanaishia uwanjani, watoto wa Mario Lemina wataikumbuka hii siku katika maisha yao
4
744
Wapinzani wa Yanga SC, CFFA kutoka Madagascar, wamepata kifungua kinywa (breakfast) nchini Ethiopia kabla ya kuendelea na safari yao ya kuja Tanzania kwa ajili ya mchezo wa kimataifa dhidi ya Yanga SC katika michuano ya CAF Champions League.
3
169
Anaweza kuwa beki bora nchini kwa sasa Oliver Toure.... sikumbuki mechi gani amecheza vibaya tangu alipojiunga na Simba.
Amefanya ukuta wa Simba kuwa imara zaidi na yeye mwenyewe anazidi kuimarika kila siku, pengine ni moja ya hamisho bora ya Simba katika eneo la beki.














