
Shine or Go crazy||Visit Mipa - Shinyanga||A @YoungAfricansSc & @arsenal fan
Tanzania
Joined February 2025
- Tweets3.5K
- Following347
- Followers292
- Likes870
wewe jamaa hapa Ulikuwa una maana gani
nitter.cf/ErickKamihanda/status/…
1
35
kupanda mnazi ndo nini janja??
1
32
Kila mtu anatizama mpira, anatafakari kivyake na kuuelewa kivyake tukubali kutokukubaliana lakini hizo mechi hakuna mechi tulizoonesha chochote kaka kufungwa kupo lakini just onesha hata idea yako unayo plan
Replying to @mintemed @Jengos_mss
Mechi zote hizo hatukucheza vibaya na 2 ni mechi ngumu, moja ni siku mbaya kazini. Namna mnaangalia au kuanalyse mpira ni kama hamtazami Ligi tofauti na Tanzania
I expected it
thanks for that
coach ~ confirmed ✅
Usajili ~ pending
huwezi kuwa tunacheza mpira mbovu vile afu unaenda CAF CL group stage
Replying to @SONICS_97
kaka kama unaichek hii yanga kutoka game ya
Gaborone H
Geita H
Simba A
hizi game tatu ndo nimezichek naweza kusema we Didi poor kwenye usajili au kocha ni mbovu au vyote kwa pamoja kaka
29
minte retweeted
Replying to @mzee_mbuzi
@mzee_mbuzi nilikubali sana mdahalo wenu na nilijifunza mengi next time mwite yule jamaa ulimtag mfungue space kutype sana hamchoki?tusikilize na tuulizane maswali itakuwa powa sana wakuu.
anachokisema hamis ni hichi alokisema huyu jamaa hapa
nitter.cf/rajsinghchohan/status/…
Replying to @hamis_abas
Sikisii kama unavyokisia wewe, nimeangalia game Psg bado alikua anaitaka ila alishindwa kui-control kathibitisha "Doue, Akliouche, Luis Enrique kwenye interview mwisho sub ya Joao Neves unahisi ilikua kwa ajili ya nini?.
32















