The brand wiz (@miracleboytz) header
The brand wiz (@miracleboytz) profile picture

I help Tanzanian creators build personal brands that generate income through practical systems, frameworks and real-world experimentations.

↓Join my community.
Joined October 2015
Before posting that piece of content. Jiulize haya maswali; → inaweza kumsaidia mtu? → unaweza kuiuza kama bidhaa? → inaku-position kwenye nafasi gani? Unatakiwa kuwaza kama mfanyabiashara sio tu mtengeneza maudhui.
3
26
1
79
16,672
The brand wiz retweeted
Kwa kila mgonga ulimbo anayepambana kimya kimya, anayebeba mizigo ambayo hakuna anayeiona, na anayelala na mawazo ya kesho… NAKUOMBA USIKATE TAMAA. ❤️ Usijidharau kwa sababu huna mchongo, huna connection, huna mtaji au bado hujaona matunda ya juhudi zako. Kumbuka, kuchelewa kufanikiwa si kushindwa. Safari yako ni tofauti na ya wengine. Hata kama leo dunia haikuoni, usiache kuamini katika uwezo wako. Endelea kupambana, endelea kujifunza na endelea kusimama. Huenda hatua unayokaribia kuikata tamaa ndiyo inayokupeleka kwenye mafanikio yako. Siku moja utasimulia hadithi ya jinsi ulivyotoka mbali bila kuwa na chochote. Wagonga ulimbo, bado tuna nafasi ya kushinda! 🫂🔥 #UsikateTamaa #WagongaUlimbo
3
15
28
532
Unaweza kutengeneza biashara kupitia keyboard ya simu/PC yako. Umeshawahi kuwaza hivi?. Here's my take: 🧶👇🏾
1
6
1
18
591
Wengi wameanzia kutoa #ElimuBure kwenye hizi socials ndio wakajulikana kama wanoma kwenye mishe wanafanya. Usichukulie poa quality/volume ya value unatoa kupitia content zako kwenye hizi socials.
1
1
57
Unaweza kutengeneza connections/opportunities/biashara kupitia socials zako. Keyboard ya simu/PC yako inaweza kuwa ndio office yako—ukafanya greatness za viwango vya dunia. Yours truly The brand Wiz.
1
50
The brand wiz retweeted
Sio wasanii tu, Hii inatesa creative industry yote. Kuwa na kipaji ni kitu kingine na Kujua namna gani ya kupindua meza kutumia kipaji chako ni kitu kingine. All in all, Walliopo ndani ya kiwanda cha ubunifu wengi hawajui kuhusu biashara na ndio maana madalali wanaijua biashara wanapiga mpunga kushinda wao. Ps: Mimi ni Muhanga. 😄
Kuna umuhimu kwa wasanii wa Tanzania kujifunza biashara ya muziki kabla hata hawajaanza kufanya muziki.
3
2
12
923
The brand wiz retweeted
Kuna umri kama kijana kuna pressure ya kupata mtoto huwa inakuja kwa kasi ni wakati ambao binti ana kiu ya kuwa mama na kijana wa kiume ana kiu ya kuwa baba ni wakati ambao mtu anatambua maisha ni mazuri zaidi ukiwa na familia hapo ndipo vijana wengi huamua kuoa ili kupata familia maana watoto ni baraka sana📍📌
6
15
1
77
2,619
Brand positioning sio kuwashawishi watu kwamba wewe ni bora kuliko wengine. Ni kuwasaidia watu sahihi kuelewa kwa nini unawafaa. Here’s my POV: 🧶👇🏾
1
5
14
289
𝗥𝗲𝗹𝗲𝘃𝗮𝗻𝗰𝗲: Unamhudumia nani na kwa nini unahusika na mahitaji yake?. 𝗗𝗶𝗳𝗳𝗲𝗿𝗲𝗻𝘁𝗶𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻: Ni nini kinachokutofautisha na alternatives nyingine?. 𝗖𝗿𝗲𝗱𝗶𝗯𝗶𝗹𝗶𝘁𝘆: Una ushahidi gani unaoonyesha kwamba unaweza ku-deliver thamani unayoahidi?.
1
2
35
My take: Kuwa relevant hakumaanishi uwe tofauti kwa kila kitu. Unaweza kutoa huduma inayofanana na creators wengine lakini ukatofautiana kupitia audience unayolenga, mtazamo wako, mbinu yako au experience unayotoa. Yours truly The brand Wiz.
2
30
The brand wiz retweeted
Unaweza kuwa na elimu, kipaji, ndoto kubwa na fursa nyingi. Lakini kama hujifunzi kujisimamia, unaweza kujikuta ukiharibu kile unachojitahidi kujenga Kujitawala si kuwa mkamilifu. Ni kujifunza kutoruhusu kila hisia, kila kishawishi au kila mazingira yaamue namna utakavyoishi.
5
19
50
1,027
Nimekaa nikajiuliza... Mtu akiona posts zangu tano ataelewa brand yangu inahusu nini?. Here’s my POV:  🧶👇🏾
3
9
17
316
Kuzungumzia kila kitu bila mwelekeo kunaweza kuwachanganya watu. Sio lazima uzungumzie mada moja tu lakini mada zako zinapaswa kuunganishwa na ujumbe mkuu wa brand yako. Lengo ni watu wakiona maudhui yako, waelewe brand yako inahusu nini.
1
2
38
Fanya hivi... Angalia posts zako tano za mwisho. Kisha jiulize... 1• Zinaonyesha ninachosimamia?. 2• Zinamsaidia nani?. 3• Zinajenga picha gani kuhusu mimi?. Kama majibu hayaeleweki—una kazi ya kufanya. Yours truly The Brand Wiz.
2
42