Moses mlenga retweeted
DAR: Rais wa TLS, Tundu Lissu anashikiliwa na Jeshi la Polisi. Polisi wamemchukua leo akiwa getini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Moses mlenga retweeted
"Msisitizo wa Waziri wa mambo ya nje kutaka jambo hili liwe kimyakimya ni kwa ajili ya kumlinda nani?"-Tundu Lissu
Moses mlenga retweeted
#VIDEO Kamanda wa polisi kikosi cha usalama barabarani Fortunatus Musilimu alipofanya ziara ya kushtukiza kituo kikuu cha mabasi Mbeya






