Ms.Bendera (@ms_bendera) header
Ms.Bendera (@ms_bendera) profile picture

Community Development Activist, Climate Change Economic Modelling (PhD Researcher). Senior Consultant - and Projects Management at Bendera Resources.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2022
Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)Photo by Ms.Bendera (@ms_bendera)
.
Replying to @MariaSTsehai
@MariaSTsehai Kamati ya Uchaguzi ya TLS iliongeza muda wa kupeleka majina ya wagombea mwisho ulikua tarehe 6/6/2024. Jiulize, Una nakala zote za TLS kuhusu Capt Bendera? 5/6/2024, siku moja kabla ya siku ya mwisho ya muda ulio ongezawa kufika Capt. Bendera alituma barua 2.
1
1
37
Ms.Bendera retweeted
Nianze kwa kuishukuru familia yangu kwa kuendelea kunisapoti kwenye safari yangu ya sanaa. Jana tulikua pamoja kuiandika historia mpya kwenye sanaa ya Mwanza na Tanzania kiujumla. Mama alikuwepo kushuhudia na alitoa baraka zake kwenye tukio la jana.
12
27
3
92
4,059
Inauguration of the passenger train connecting Dar es Salaam to Dodoma. A major infrastructure improvement that will foster further development and growth. Congratulations to the government of Tanzania! Hongera sana! 🇹🇿 👏🏼
9
34
218
12,746
Nani anatosha kuwa Rais wa @TanganyikaLaw ilikuwa mada jana usiku kupitia @Clouds_TVtz Katika harakati za Uchaguzi wa Rais TLS mwaka huu, kutakuwa na Mdahalo Wakili House leo. Mnakaribishwa. Naomba kura zenu 'Learned Friends'.
2
3
60
In case you missed these KEY MESSAGES from My Manifesto for @TanganyikaLaw Presidency. Vote for Capt. Bendera.
2
1
2
68
Captain Bendera ✔️
1
13
478
Ms.Bendera retweeted
Fiv & friends concert, the first step. 🗓️ 27.07.24 📍 Bambino lounge, Iseni, Mwanza Tiketi zinapatikana tuwasiliane kupata yako!!
5
32
6
40
3,934
Tune in Now Clouds TV
3
4
58
It is with great honor that I have been shortlisted for the @legalPSG Awards' Partner of the Year - East Africa category, Our Managing Partner Neema as the Women Leaders in Law - Private Practice category. @AdvisoryExtent , shortlisted for the African Law Firm of the Year.
6
7
29
808
Habari ya dunia sasa ni Mabadiliko ya Tabia Nchi. Fursa nyingi ziko huko. Inatia faraja kuona Bwana. Gideon Sanago anatuwakilisha vizuri katika mjadala unaoendelea hapa Korea Kusini katika vikao vya Loss and Damage Fund (LDF2) na Green Climate Fund (GCF). Gideon ni Mjumbe wa Bodi ya Umoja wa Mataifa ya Mtandao wa Santiago (UN Santiago Network on Loss and Damage). Gideon si mwanadiplomasia wala mtumishi wa umma. Yeye anatoka kwenye jumuiya za kiraia. Ushiriki wa jumuiya za kiraia ni muhimu na huchangia sana katika mafanikio ya diplomasia yetu. Amenielimisha mengi kuhusu fursa zilizopo katika eneo hili. Tunahitaji akina Gideon wengi katika kuleta matokeo makubwa kwenye diplomasia yetu.
5
23
99
4,397
@TanganyikaLaw ni Jumuiya ya kitaalam yenye madhumuni ya kuboresha taaluma ya Uwakili inayofuata yale yaliyosemwa na Martin Luther King Jnr mwaka 1963 "injustice anywhere is injustice everywhere" Popote penye uvunjifu wa haki TLS inatakiwa ihusike na kupinga na kuondoa dhulma.
2
2
49
Kuna mwandishi aliuliza, Je TLS ya sasa imepooza tofauti na miaka ya nyuma, wewe una maoni gani? Jibu: TLS haijapooza; ni Jumuiya ya kitaalam. Kuna watu wanadhania kuwa TLS ni sehemu ya serikali; na wengine wanadhania kuwa ni wanaharakati. Wote wanakosea. 1/2
1
2
3
54
Hili litawafanya wajifunze uendeshaji kesi Mahakama ya Rufaa, kutumia ofisi bila kuingia gharama za kuendesha ofisi. Mengineyo yapo kwenye manifesto yangu.
2
2
52
Kwa mfano kupunguza kiwango cha Ada ya kila mwaka; kuibadilisha Ada iwe ya miaka 3. Tunacholipa hivi sasa kama Ada ya mwaka itakuwa Ada ya miaka 3; kuwafanya mawakili wapya ambao hawajatimiza miaka 5 wawe chini ya ofisi za mawakili waandamizi.
1
3
3
66
Mgombea urais anatakiwa awaeleze mawakili ataliambia nini Baraza la Uongozi. Hivyo basi uchaguzi wa wajumbe wote wa Baraza la Uongozi ndiyo utafanikisha yale mazuri yaliyomo kwenye Sheria ya TLS.Kuna mambo ambayo yatahitaji kurekebishwa na mengine ni kurekebisha au kutunga Kanuni
1
3
3
93
Utafanya nini katika eneo hilo la kurekebisha Sheria ya TLS ili kurejesha heshima ya chama chenu? Sheria haijakosa nguvu. TLS haihitaji Rais mtendaji (executive president); inasimamiwa na Baraza la Uongozi (Governing Council). .
1
2
2
118
kuwasaidia na kuwaelimisha mawakili wenye uzoefu wa chini ya miaka mitano ambao hawaruhusiwi kuingia Mahakama ya Rufaa; kupunguza Ada ya kila mwaka; kupunguza matumizi yasiyo ya lazima; na kuwekeza kwenye vitega uchumi katika kila tawi (Chapter). #TLSElections2024 #VoteCaptain
2
3
34
Pia, Mjumbe wa Kamati ya Uchaguzi (2023-2024). 3.Kwa nini unataka kugombea urais TLS? Nagombea ili katika kipindi cha miaka 3 niongoze Baraza la Uongozi (governing council) kwenye kuboresha taaluma ya Uwakili; 4/
1
3
2
47
2.Umewahi kugombea nafasi yoyote TLS? Nimegombea na kuwa M/Kiti wa Kamati ya Mapato ya Mawakili (Advocate Remuneration Committee 2007-2010); Makamu wa Rais (2010-2011); Katibu Mkuu East African Law Society 2012- 2014); M/Kiti Kamati ya Maadili ya TLS (2015 -2023); 3/
1
3
1
2
62
Nimechukua shahada ya Sheria LLB Chuo Kikuu Huria (1996-2003); LLM UDSM (2004-2006) kwenye Maritime Law; Nimekuwa Wakili Zanzibar Tangu 27/05/2005 Hadi leo (miaka 19); Wakili Bara tangu 15/06/2006 Hadi leo (miaka 18)".
1
2
1
2
64