Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson) header
Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson) profile picture

Communications Specialist/Journalist Hubby/Dad of 3 Queens (Mamou, Mwana & Mairah)

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2013
Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)Photo by Mtapa Ng'Wanandagula (@mtapawilson)
"Riots do not develop out of thin air. Certain conditions continue to exist in our society which must be condemned as vigorously as we condemn riots. In a final analysis, a riot is the language of the unheard." - Martin Luther King Jr. (1967).
55
HERE IS THE PRST MANIFESTO PROBLEM TO SOLUTION PRST needs leadership that understands the strategic value of public relations in building trust, strengthening public institutions, and securing meaningful public participation in national development. Vote @ZoeGlorious for PRST.
1
19
Dear PRST Member, This is the time to stand and be counted. Vote for @ZoeGlorious as the next PRST President.
11
Ndugu Mwanachama wa Public Relations Society of Tanzania (PRST). Kura yako ni sauti ya mustakabali wa PSRT. Mchague @ZoeGlorious kuwa Rais wa PRST 2027-2029. Twende na uongozi wenye ubunifu, weledi, maono na matokeo.
15
Mtapa Ng'Wanandagula retweeted
Africa's richest man, Aliko Dangote, has announced that his proposed East African oil refinery will be built in Kenya instead of Tanzania, ending speculation over the location of one of the region's most ambitious energy projects. thecitizen.co.tz/tanzania/ne…
58
269
75
674
213,658
How leadership is treated as a temporary public duty rather than a permanent entitlement.
98
Hakimu wa kweli ni Mwenyezi Mungu pekee. Yeye ndiye husema kweli, na yeye ndiye mbora wa kupambanua na kujua haki ilipo.👏👏👏
18
"Riot is the language of the unheard." - Martin Luther King Jr. (1967).
10
Dear TANGANYIKA, Leo ni siku ya kumbukizi yako adhimu, wakati ambao ulitangaza UHURU wako na kufungua enzi mpya ya taifa lenye matumaini ya kujitawala kwa UHURU na KAZI. Miaka 64 baadaye, tunaikumbuka siku yako tukiwa kama nguchiro juu ya kichuguu chake, tunachungulia nje...
1
51
...kisha tunarudi ndani, tukitafakari hatma ya uhuru na usalama wetu. Historia ya 'kipande system' uliyoifuta mara tu baada ya kuwaaga wakoloni, leo hii imetumika kama chombo cha kusherehekea siku yako. Leo imepambwa na vizuizi vingi; ili kuvuka, lazima uonyeshe 'kipande'.
62
Take note of this term, "CANDID EXCHANGE" — no sugarcoating, no pretending, just clear and sincere discussion.
Today, CdA Lentz engaged in a candid exchange with President Samia Suluhu Hassan about the present and future state of the U.S.-Tanzania bilateral relationship.
175
"Journalism should be more like science. As far as possible, facts should be verifiable. If journalists want long-term credibility for their profession, they have to go in that direction." - Wikileaks Founder, Julian Assange
Anaandika Mtapa Ng'Wanandagula TIMU YA UCHUNGUZI WA CNN – TANZANIA Ripoti ya uchunguzi iliyotolewa na CNN iliandaliwa na wafuatao: 1. Larry Madowo Mwandishi Mwandamizi, mwenye uzoefu wa kuripoti masuala ya kimataifa hususani uchumi na siasa. Ana Shahada ya Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Daystar, Kenya, na MBA kutoka Chuo Kikuu cha Columbia, New York, USA. 2. Gianluca Mezzofiore Mhariri Mwandamizi na mtaalamu wa uchunguzi wa taarifa za wazi. Amewahi kuthibitisha video ya wanajeshi wa Ethiopia wakiua raia na kutumia ubakaji kama silaha ya kivita huko Tigray. Ana Shahada ya Fasihi kutoka Chuo Kikuu cha Bologna, Italia, na Shahada ya Uzamili ya Uandishi wa Habari kutoka City University, London, UK. 3. Florence Davey-Attlee Mwandishi Mwandamizi na mtayarishaji wa vipindi. Amewahi kuripoti matukio muhimu barani Ulaya, ikiwemo mashambulizi ya ISIS nchini Uingereza, Ufaransa, Ubelgiji, Ujerumani na Uturuki. Ana Shahada ya Uzamili katika Uandishi kutoka Chuo Kikuu cha Westminster, UK, na Shahada ya kwanza ya Sayansi ya binadamu (BSc in Human Biology) kutoka Chuo Kikuu Oxford, UK. 4. Barbara Alvanitidis Mwandishi Mwandamizi anayesimamia uzalishaji wa maudhui. Ni msaidizi wa Kitengo cha Habari za Uchunguzi cha CNN. Amesharipoti matukio mengi kwa kufichua na kubainisha wahusika. Ana Shahada ya Uzamili katika Uandishi wa Habari za Kimataifa kutoka City University, UK, na Shahada ya Kwanza ya Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Kikuu cha Ottawa, Canada. 5. Benjamin Strick Mwandishi wa Habari Mwandamizi na mtaalamu wa uchunguzi. Amejikita katika uchambuzi wa taarifa za ukiukaji wa haki za binadamu na uhalifu wa kivita. Ana Shahada ya Sheria (LLB) kutoka Chuo Kikuu cha Bond, Australia, na Shahada ya Uzamili ya Uandishi wa Habari za Uchunguzi. Ni mshindi wa tuzo ya OSINT Champion of the Year – 2021. 6. Julie Zink Mhariri Mwandamizi wa Maudhui ya Video. Amewahi kuwa Mzalishaji na Mhariri wa maudhui kabla ya kuwa Mhariri mwandamizi. Ana Shahada ya Kwanza ya Lugha na Shahada ya Uzamili ya Uandishi wa habari kutoka Chuo Kikuu cha Virginia, Marekani. Naomba CV za wale Waandishi went, Machawa wa Nduli Idd Amin Mama ili tufanye ulinganifu kuna kitu nataka kuona.
32
TUSI KWA VYOMBO VYA HABARI NCHINI Kitendo cha BUNGE letu kukaa kimya kwa dakika moja, ikiwa ni ishara ya kutoa heshima kwa maelfu ya raia waliopoteza maisha wakati wa uchaguzi, ni matusi makubwa kuhusu uwajibikaji wa vyombo vya habari rasmi vilivyopo nchini, ambavyo vilikaa...
1
17
...kimya wakati uhalifu wa mauaji ya kibinadamu unatekelezwa, ambapo vyombo vya habari vya kimataifa pekee ndivyo vilisimama kama sauti ya WANANCHI kwa kutoa taarifa kuhusu kilichokuwa kinaendelea, licha ya changamoto za kimazingira, ikiwemo kuzimwa kwa mtandao wa 'Internet'.
16
MJOMBA wakati anadunduliza nauli ya kwenda mjini, alikuwa na busara sana. Lakini, alipopata nauli tu, akasahau na malengo ya safari.
37
"Mama! Mamaa! Amka. Amka Mamaa. Amka." - Sauti ya mwanamke huyu inaumiza na kuchoma ngoma ya sikio la kila binadamu mwenye utu 💔.
1
2
1,665
PUMZIKA KWA AMANI RAILA ODINGA 💔 #Nairobi: Kiongozi wa upinzani na Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, amefariki dunia leo Oktoba 15, 2025, akiwa na umri wa miaka 80, wakati akipokea matibabu katika hospitali ya Ayurvedic eneo la Koothattukulam, Kerala nchini India.
1
220
Kifo chake kinatajwa kuwa pigo kubwa kwa siasa za Kenya na Ukanda wa Afrika Mashariki, ambapo taarifa za awali kuhusu hali yake zilijaa utata mtandaoni kabla ya familia kuthibitisha kifo cha ODINGA, aliyekuwa nembo ya harakat za demokrasia, haki za binadamu na mageuzi ya kitaifa.
15