Mwasa retweeted
Chingola Boyz
Mercedes Benz actros Mirrorcam
Toka enzi za kumiliki vijembe mpaka kuja kwenye Ex-South Africa Mirrorcam
Mwasa retweeted
Za mwamba hizi zimeandikwa "Premium Edition" wakati Jirani ake Time Trucking zimeandikwa "Limited Edition" Sisi na Kingereza chetu cha ugoko tunaziona zote ni moto mzito..!!!
560 HP
Mwasa retweeted
Big Tembo na mnyama wake FAW 380 anapanda nayo kwa Ustadi sana huskii engine ikikoroma huu udereva ni wa kiwango cha kimataifa mwamba chuma anaijua na inamjua hii kipande ya chiweta馃嚥馃嚰 na gari yako singo diff utaombwa pabaya. Hapa wanapanda wenye 6x4 Axle configuration tu
Mwasa retweeted
Wakali wa Sulphuric Acid toka ZA to Kayelekera Uranium Mining in Malawi Via Tunduma border

















































