pwanifm (@pwanifm) header
pwanifm (@pwanifm) profile picture

Established in 2001.The # 1 station in Kenyan Coast playing latest hits with unique shows that have a Coastal touch.

Mombasa, Kenya
Joined September 2011
Photo by pwanifm (@pwanifm)Photo by pwanifm (@pwanifm)Photo by pwanifm (@pwanifm)Photo by pwanifm (@pwanifm)Photo by pwanifm (@pwanifm)Photo by pwanifm (@pwanifm)Photo by pwanifm (@pwanifm)Photo by pwanifm (@pwanifm)Photo by pwanifm (@pwanifm)Photo by pwanifm (@pwanifm)
Umestaafu? Ulibadilisha kazi miaka iliyopita? Unaweza kuwa na pensheni ambazo hazijadaiwa, malipo ya bima, au gawio linalosubiri. Tembelea Kituo cha Huduma kilicho karibu nawe na utafute leo. #SasaKaribuNawe
3
104
Sasa unaweza kutembelea kituo cha Huduma kilicho karibu nawe kufahamu kama uko na mali ambayo haijadaiwa. #SasaKaribuNawe
1
87
"Baadhi ya manabii wapya wamejitokeza wakidai wanamjua Baba zaidi kuliko sisi. Mama Ida na Oburu ndio waliomjua Baba zaidi kuliko mimi; mimi nilikuwa mtu wake wa kulia tu" Mbunge Junet Mohamed. #SiasaPwani
1
80
Kobbie Mainoo atia saini ya kutumikia Manchester United kwa muda mrefu. #PwaniMwanaspoti
47
Mpendwa wako anaweza kuwa ameacha zaidi ya kumbukumbu. Ikiwa wewe ni jamaa wa karibu au mwakilishi wa kisheria, sasa unaweza kuangalia mali ambazo hazijadaiwa katika Kituo chochote cha Huduma kote Kenya. Usiache mali ya familia yako bila kudaiwa. #SasaKaribuNawe
44
Sasa unaweza kutembelea kituo cha Huduma kilicho karibu nawe kufahamu kama uko na mali ambayo haijadaiwa. #SasaKaribuNawe
62
Unapanga kutembelea Kituo cha Huduma? Kumbuka kubeba: Kitambulisho chako Nyaraka zinazofaa (ukiwa unadai kwa niaba ya mtu) Kukuunganisha tena na kile ambacho ni chako kihalali kunaanza leo. #SasaKaribuNawe
45
Msanii Matonya aachiliwa huru baada ya kuzuiliwa katika shimo la Tewa Mombasa. #CodesZaKitaa
101
Msanii wa Nzele Mr Bado adaiwa kupiga hela ndefu baada ya kutumbuiza katika mkutano wa vijana ulioandaliwa na chama cha ODM huko Kilifi.
1
36
Mr Bado alituzwa shilingi 100,000 na waziri wa madini Ali Hassan Joho huku pia mwenyekiti wa chama hicho Gladys Wanga akimuongezea shilingi 50,000 kwa kupiga kazi safi. #CodesZaKitaa
41
Bayern München apokea kipigo kitakatifu cha magoli 5-4 mikononi mwa PSG. #PwaniMwanaspoti
28
Unaweza kuthibitisha vipi kuwa uko na maali ambayo haijadaiwa? Fika kituo cha Huduma Omba ufanyiwe utafiti kwa huduma ya Mali ambazo hazijadaiwa Thibitisha data yako Anza mchako wa kudai mali yako. #SasaKaribuNawe
29
Ni lini mara ya mwisho uliangalia kama una mali za kifedha ambazo hazijadaiwa? Maelfu ya Wakenya wanajua - na hata hawajui. Tembelea Kituo cha Huduma kilicho karibu nawe na utafute leo. Inaweza kuwa zamu yako. #SasaKaribuNawe
33
Kenya yakamilisha huduma ya kutoa uslama nchini Haiti huku kundi la mwisho la maafisa wa polisi 150 likitarajiwa kurejea humu nchini leo. #KurunziYaPwani
42
Kwa pasi hiyo ya bao la Sesko, Bruno Fernandes sasa amebakisha pasi moja tu kufikia rekodi ya pasi ya muda wote katika ligi ya EPL L, inayoshikiliwa kwa pamoja na Thierry Henry na Kevin De Bruyne. #PwaniMwanaspoti
25
Filamu gani ya Hashim Kambi uliipenda sana? #CodesZaKitaa
1
30
Manchester United sasa imebakisha alama 3 tu ili kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa ya UEFA. #PwaniMwanaspoti
10
Manchester United sasa imebakisha alama 3 tu ili kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa ya UEFA. #PwaniMwanaspoti
10
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole baada ya kupokea taarifa za kifo cha muigizaji mkongwe Hashim Kambi . ''Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha mwigizaji mkongwe wa filamu nchini, Hashim Kambi." #CodesZaKitaa
60
Sasa unaweza kutafuta na kuanza kudai mali yako katika kituo cha Huduma kilicho karibu nawe. #SasaKaribuNawe
31