Oii retweeted
Kuna bois amesema hapo ety @dylan_kilel anakaa homo erectus buana 🥲😂.
Aiih haikua ikue hivo serious majamaa 😂... Tunajua kijana yetu ni ngulusumu lakini si mchill tu 🥲😂. Ama tufinye kama mbaya mbaya mamae 😂😂🙌🙌
Oii retweeted
Nilipoteza ID mchana, nimekaa hivi kejani nikasema acha nitokee niende nichukue abstract stenje
Nikachukua motorbike fiti, straight hadi station. Kuingia tu ndani bana, narukiwa kichwa bila hata kuulizwa swali moja . Before nijue what's happening, nishafinyiwa chini kidogo, pingu kwa mikono! Mimi niko hapo like, “WTF is going on bana?!” Nimechanganyikiwa vibaya, ata sielewi nimefanya nini
Ndo D/OCS anakuja anawasho, si huyo!😭 Sa mimi
Kumbe majamaa walikuwa wamewekea jamaa wa defiro ambush, na anakuja na motorbike! Mimi ndio nimeingia station time mbaya nikakuwa collateral damage wa operation
Wakanishow, “Iza bro!” Nikawaambia niko fiti, lakini ukweli ni shingo inauma upande moja, na abstract yenyewe hata sijabeba! 😭
Oii retweeted
I never used to hesitate while crossing a road... but sikuizi I do kutoka hiyo nganya ipite na mimi 😭😂💔
Oii retweeted
Nikiface consequences za my own actions, nakuaga nimetulia ata huwezi sema ni mimi nimejitakia.
Oii retweeted
Ushai jipata kwa situation yenye umefanikiwa in a bad way yaani mambo imeenda mbaya lakini pia umewin sasa mbwa ya jirani iliwekewa sumu ikakufa lakini at the same time Mimi nakula nyama for the first time hii October I'm emotional






















