Siera Alpha (@rashidsule) header
Siera Alpha (@rashidsule) profile picture

Simba Sports Club fans and Manchester United fans ## Funny Guy

Joined August 2022
Photo by Siera Alpha (@rashidsule)Photo by Siera Alpha (@rashidsule)Photo by Siera Alpha (@rashidsule)Photo by Siera Alpha (@rashidsule)Photo by Siera Alpha (@rashidsule)Photo by Siera Alpha (@rashidsule)Photo by Siera Alpha (@rashidsule)Photo by Siera Alpha (@rashidsule)Photo by Siera Alpha (@rashidsule)Photo by Siera Alpha (@rashidsule)
Hakuna mwanaume yeyote anayeweza kuchomoka kwenye mtego huu labda awe ameleft group kama huyu jamaa, Cheki video kwenye Comment hapo chini. 馃檮
152
71
3
1,322
125,800
Unyanyasaji wa kimaumbile huu 馃槀
5
3
15
1,123
Ukimaliza kupunguza mwili na tumbo usisahau kupunguza na roho mbaya ili upendeze vizuri. 馃搶
5
4
6
449
Alhamdulillah Good Morning People
8
12
18
1,072
X mida ya asubuhi utasikia "anza na Mungu utabarikiwa" baada ya nusu saa tu ni post za makalio. 馃槀
10
12
18
817
Kuna watu wanajua kupenda sio poa 馃槀
9
13
1
35
1,452
Alhamdulillah 馃檹 Good Morning People.
14
19
23
641
Hivi wazee mnawezaje kuoa mwanamke mwenye mtoto, kuna jamaangu hapa kaagwa na mkewe anampeleka mtoto akamsalimie babaake 馃槀
2
8
21
571
Jichanganye ukatize bila Gadi 馃槀
12
9
23
1,030
Kumekucha tu eti ananipigia simu kuwa hazioni siku zake, mi nimemwambia aende akatoe loss report. 馃槀
13
23
41
1,136
Alhamdulillah 馃檹 Good Morning
9
10
15
862
Watoto wa 2000 wako moto sana 馃槀
14
13
46
2,010
Miezi sita iliyopita nilibahatika kuanzisha mradi wa kuku wa kienyeji nilianza nikiwa na mtaji wa kuku 12 tu lakini leo hii nawajulisha kuwa kuku wote wale nimewala 馃槀
9
18
26
935
God is Good Good Morning People
11
16
23
1,393
Mapenzi sio pesa ukiona mpenzi wako anakuomba sana pesa ujue anakutafutia sababu muachane. 馃搶
4
12
24
540
Usikasirike wala usikasirishe na wala usiyakate mambo ambayo Mwenyezi Mungu ameamrisha yaungwe. 馃搶
6
12
16
466
Ili uheshimiwe jitahidi kwanza kuheshimu na wengine 馃搶
4
11
11
509
Maisha ni mazuri sana endapo utakuwa na ; 1. Subra 2. Kumcha Mungu 3. Kutosheka na ulichonacho 4. Uvumilivu 5. Juhudi na Maarifa
7
13
19
480
Mapema sana leo mboga imepatikana 馃槀
12
16
20
1,111
Mkumbuke Mungu wako katika kila nyakati za Shida, raha na Matatizo.
1
6
10
359