ʀᴀʏᴍᴀx 🪖🇰🇪 retweeted
Lakini nyi watu hamjui Bei ya X account uku nje 😂 unauza page ya 4k efu mbili unaona umejngwa 💔🙌
ʀᴀʏᴍᴀx 🪖🇰🇪 retweeted
Stealing from an elderly man in a wheelchair? Some people have absolutely no conscience. 🤦😡
ʀᴀʏᴍᴀx 🪖🇰🇪 retweeted
Makosa imefanyika dem ako counter amenipiga kihug then akasip from my glass sai secret admirers najua nishakua enemy wao but iriz what iriz
ʀᴀʏᴍᴀx 🪖🇰🇪 retweeted
Usifunike hiyo laptop na pia hizo tabs usifunge... Toka tu hivyo tuende tukupee loan ingine ya kufanya master's 😂😂😭
ʀᴀʏᴍᴀx 🪖🇰🇪 retweeted
Leo tunashughulika sharp boys tu. Akina Onyango sidika mngoje kwanza watu wa ile pande ingine wako karibu kufika
ʀᴀʏᴍᴀx 🪖🇰🇪 retweeted
Huyu wa leo ameforward message ya goodnight sai mapema hivi
Mwenye ako na yy usinionee huruma 😂




























