refugeeee retweeted
Napita hapo slSyndicate Mirema mdagliz tu alafu naona accident live on sight
Two women wamepiga headon collision,mmoja ako na CX5 mwingine ako na honda fit ,nashangaa rada ju iyo sio barabara ya kugongania,alafu wamegongana softly such that gari hazijaumia sana
As a concerned citizen nikaingia scene maybe to lay a helping hand,yk
Kufika dem wa CX5 akashuka ,kumuuliza noma ni? Haongei anashikanisha miguu shyly nashangaa hii ni kushtuka ya aina gani,uyo mwingine na yeye naona ananismilia nashangaa hizi ni gani ama niko dunia ingine,mnafaa kuwa mnalia
Ndo nkaskia msee wa nduthi ameshout
"Achana na hao ni ujinga wako nayo, imagine wamegongana wakikuangalia"
Hapo ndo nakumbuka kumbe nmetoka kinyozi na kumbe my dazzling haircut imewachanganya kidogo, kidogo kidogo naona dem wa honda fit amecome akanishika chest kama strippers vile hushika Ciggie Johnson ule host
Nmevaa kofia na nkatoka mbio sana nmesimamia khetias ju watu wamedhani Mimi ni mwizi natoroka
refugeeee retweeted
Day 6 of posting my unreleased song till I get a co sign 🙌🙌😩😩 – at Warri, Nigeria

















