ROBINA ANENE-MULLI (@robinaanene) profile picture
NAIROBI
Joined October 2013
ROBINA ANENE-MULLI retweeted
Mama anapsawa kunawa mikono kwa kutumia maji ya mrefeji kabla ya kmweka mtoto dawa kwenye kitovu. Kitovu hakifai kupita siku saba kabla ya kupona - Robina Muli. #NTVSasa @janengoiri
2
1
ROBINA ANENE-MULLI retweeted
Hakikisha kuwa chochote unachotumia kufunika sehemu ya siri ya mtoto kwa mfano (diapers) hakifuniki kitovu cha mtoto pale ambapo kitovu bado hakijapona - Robina Muli. #NTVSasa @janengoiri
2
2
ROBINA ANENE-MULLI retweeted
Kumwosha mtoto mchanga si hali ya dharura. Ni vizuri kumpangusa, si lazima umwoshe kila wakati - Robina Muli. #NTVSasa @janengoiri
5
6
ROBINA ANENE-MULLI retweeted
Robina Muli ambaye ni mkunga katika hospitali ya Embakasi Health Centre anaeleza jinsi ya kumwosha mtoto mchanga. #NTVSasa @janengoiri
4
4
14
ROBINA ANENE-MULLI retweeted
Lovely program, last week the program helped me, remembered the tips by Robina on Labour. Have birth on Thursday.Good job NTV. Address cracked nipples
ROBINA ANENE-MULLI retweeted
Ni muhimu uwe na mwelekezi wa kukueleza jinsi ya kufanya mazoezi wakati wa ujauzito - Robina Muli. #NTVSasa @janengoiri
ROBINA ANENE-MULLI retweeted
Ungana na @janengoiri kwenye #NTVSasa kwa mazungumzo kuhusu ujauzito. #NTVSasa
2
4