
Pata Mkopo wa haraka wenye masharti nafuu. Piga namba 0679 000 900 au 0678 000 800 uhudumiwe | #MpangoPesa
Dar es Salaam
Joined August 2023
- Tweets1.7K
- Following0
- Followers2.7K
- Likes1.2K
๐ค ๐๐๐ฃ๐ฃ๐ฌ ๐๐๐๐๐ ๐๐ฅ๐๐๐๐ฌ ๐๏ธ
Ni siku yenu wateja wetu! Furahia punguzo la bei kwenye mashine, bidhaa na mahitaji muhimu ya nyumbani.
Nunua kwa uwezo wako, zingatia ubora na tumia kwa busara.
Tunawatakia Black Friday njema!
#BlackFriday #MpangoPesa
Mishe zako zimekwama.
Jiboost na mkopo wa dharura kutoka kwetu Softfinance
Vigezo ni salary slip ya miezi 3 tu iliyopita
0679 000 900 | 0678 000 800
33
Furahia maisha.
Tumia kiasi, wekeza kwa kiasi kikubwa.
Tupigie tutakukopesha 10M ukamilishe ule mchongo #MpangoPesa
Furahia maisha na watoto wako!
Panga mapema namna ya kuweza kumudu mahitaji yao ada, bima ya afya na matunzo.
Karibu Softfinance ujipatie mkopo binafsi uwekeze kwenye miradi itakayozalisha itakusaidia kufikia malengo
#MpangoPesa
Jumatatu huwa ngumu sana.
Lakini usijali kama umekwama karibu Softfinance tutakusort mpaka 100M biashara yako, mradi wako uendelee.
Tunapatikana Makumbusho stendi | Tandika Stendi | Kibada Kigamboni | Chanika Mwisho
Tanga mjini | Muheza | Korogwe
#MpangoPesa
๐๐๐๐๐ฌ๐๐ฆ๐ฎ ๐ก๐ฎ๐ง๐ '๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฌ๐ฎ๐ซ๐ ๐ง๐ ๐ฆ๐จ๐ฒ๐จ!
Kuelekea msimu huu wa sikukuu tuna zawadi nono kwa ajili yenu. Karibuni mjipatie mkopo wa binafsi, biashara, dharura na vikundi vya wajasiriamali.
Mikopo yetu kuanzia laki 5-100M.
๐ 0679 000 900
#MpangoPesa
Kila wiki huja na fursa yake ni muhimu kujipanga mapema na kuweka mikakati mizuri.
Karibu Softfinance leo tutakusaidia sehemu iliyokwama kwa mkopo wenye masharti nafuu.
#MpangoPesa
Kuelekea mwisho wa mwaka jitahidi kutenga 30 ya kipato chako iwe akiba.
Itakusaidia kuepuka madeni, kulipia kodi, ada na kukabiliana hali ngumu ya uchumi.
#MpangoPesa #ElimuYaFedha
Matumizi yasiyo ya lazima yanakuzuia kufikia malengo yako.
Hizi ni hatua 3 muhimu unapaswa kuzizingatia utakapoanza mwaka mpya.
1. Panga bajeti
2. Tofautisha mahitaji na matamanio
3. Weka akiba
#SoftFinance #MpangoPesa
Tunagusa na kubadili maisha ya wajasiriamali wadogo.
Mpaka sasa tumefanikiwa kuwafikia wanawake zaidi ya 380 wengi waongeza thamani biashara zao.
Tunaendelea kuwakaribisha @Softfinancetz 0679 000 900
#WomenEmpowerment #SoftFinance
Usiruhusu pesa ipite mikononi mwako bila kujua imekwenda wapi.
Tumia kanuni hii kwenye 100%:
50% โ Mahitaji muhimu
20% - Uwekezaji na maendeleo
20% - Akiba
10% - Matumizi binafsi
#SoftFinance #ElimikaWikiendi
SASA TUPO KOROGWE
Tunawakaribisha katika ofisi zetu mpya wakazi wote wa Korogwe kujipatia mkopo binafsi, wabiashara, dharura na vikundi.
Tunatoa kuanzia laki tatu (3) - 100M
๐ Ofisi ya Posta, Korogwe.
๐ Saa 1:30 asubuhi hadi saa 11:00 Jioni
#SoftFinance #MpangoPesa
Mafanikio hayasubiri uwe mtaji mkubwa, anza kidogo kidogo na kile ulichonacho
Kadri unavyojituma na kukosea ndivyo unajijengea hali kuwa bora na kurekebisha mapungufu yako.
Karibu @Softfinancetz tutakupatia ushauri unaoendana na hali soko na unufaike na mikopo
#MpangoPesa
Je, unawekeza kwenye nini?
Kabla hujafikia maamuzi ya kuanza uwekezaji tembelea ofisi zetu, utapata elimu sahihi inayoendana na kipato chako itakusaidia kupiga hatua.
Huduma hii ni bure pia utafahamu pia jinsi kukuza miradi kupitia mikopo yetu.
#MpangoPesa
Huduma zetu za mikopo zimebadilisha.
Biashara ndogo kuongeza thamani kwa kununua mashine za kisasa, Kuleta tabasam kwa familia zaidi ya laki 300 bado tunaendelea kuwashika mkono wajasiriamali, wafanyabiasha na watu binafsi
#SoftFinance #MpangoPesa
๐๐ฌ๐๐๐๐ ๐ฐ๐๐๐ค๐ข๐ง๐
Tunaanzia kwenye mapokezi ya Jihan halafu ni party after party
#SoftFinance #MpangoPesa
It's Furahi Day
Baada ya kazi za wiki nzima tafuta chimbo ujispoil.
Chill it and enjoy #MpangoPesa
Mwananchi Plus.
Ni mkopo maalum wa vikundi vya wanawake wajasiriamali 15-30 wanaoishi eneo moja.
Kupitia mkopo huu tunawawezesha
๐ค Kuweka malengo ya pamoja
๐๏ธkubadilisha mbinu za masoko
๐ Kupata elimu ya fedha na uwekezaji wa muda mfupi na mrefu.
#MpangoPesa
Mkopo huu hutolewa kwa awamu mbili - miezi 5 au miezi 8 na wadhamini ni wawili tu kwa kila mwanachama.
Karibuni sana wateja wapya mnufaike na fursa hii.
#SoftFinance #MpangoPesa
Heri ya Siku ya Mwalimu Nyerere!
SoftFinance inawatakia wateja wetu maadhimisho mema. Tuenzi urithi wa Baba wa Taifa kwa kufanya kazi kwa bidii, kutumia rasilimali kwa busara na kuwajibika ili kukuza kipato na kujenga uchumi imara.
#NyerereDay #SoftFinance















