Kamishna wa Polisi Zanzibar CP Kombo Khamis Kombo amewataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuendelea kuwa nguzo imara katika kuelimisha na kuhabarisha umma kuhusu masuala ya ulinzi na usalama
instagram.com/p/Dd0_yOBjDj0/…
Akamatwa na Jeshi la Polisi Kaskazini Pemba kwa tuhuma za kupatikana na noti bandia zenye thamani ya shilingi milioni 3,270,000
Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba SACP William Mwampaghale kuhusu kukamatwa kwa mtuhumiwa akiwa na noti bandia
instagram.com/reel/DdlhzUSMq…
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Paschal Katambi Patrobas, amelipongeza Jeshi la Polisi nchini kwa kuendelea kuthamini jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kuboresha miundombinu mbalimbali ikiwemo makazi ya Askari Polisi.
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha jana Agosti 31, 2026 majira ya usiku lilimkamata Godlisten Elisante Malisa akiwa na mwenzake kutokana na tuhuma za jinai zilizokuwa zinachunguzwa dhidi yake.
Mhe. George Mcheche Masaju, Jaji Mkuu wa Tanzania, akimuapisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye hafla iliyofanyika Agosti 29, 2026, Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe latolea ufafanuzi picha mjongeo kuhusu tukio la Mwanamke mmoja kutaka kubakwa.
TAARIFA KWA UMMA
TAHADHARI KWA BAADHI YA MADEREVA WAZEMBE NA WASIOFUATA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI.