TCAA CCC (@tcaaccc_) profile picture

Taasisi ya Serikali iliyoundwa na Sheria ya Usafiri wa Anga kusimamia Haki na Maslahi ya Wasafiri wa Anga Piga 0800110190 Instagram/Facebook& YouTube: tcaa_ccc

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2021
Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)Photo by TCAA CCC (@tcaaccc_)
Happy Karume Day!
5
TUSHIRIKIANE JUKUMU LA KULINDA MASLAHI YA WATUMIAJI - MHE. BALOZI DKT. BURIAN WADAU mbalimbali wamehimizwa kuendelea kulinda maslahi ya watumiaji na kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi.
1
1
1
5
234
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mhe. Balozi Dkt. Batilda Burian wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Haki za Mtumiaji Duniani ambayo hufanyika tarehe 15 Machi kila mwaka ulimwenguni kote.
22
Baraza la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga (TCAA CCC) laipongeza Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL) kwa kufanikisha kurejesha Watanzania 230 waliokua wamekwama Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kufuatia mgogoro unaoendelea baina ya Marekani, Israel na Iran.
1
1
124
Wataalamu wa usafiri wa anga barani Afrika wapongeza Mfumo wa Kumlinda na Kumtetea Mtumiaji wa Huduma za Usafiri wa Anga nchini Tanzania. Hayo yameelezwa katika Kikao kazi cha kutengeneza Mpango wa Utekelezaji wa Ulinzi wa Mtumiaji wa Usafiri wa Anga barani Afrika.
11
Heri ya Siku ya Kumbukizi ya Mapinduzi ya Zanzibar. #62
9
Merry Christmas and Happy New Year
2
Afisa Mwandamizi wa Elimu na Uchechemuzi wa TCAA CCC, Bi. Debora Mligo (katikati) akifafanua majukumu ya Baraza kwa wadau wa Mkutano wa 18 wa Pamoja wa Mapitio ya Sekta ya Uchukuzi (JTSR) unaofanyika katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
2
Kampeni ya uelimishaji watumiaji wa huduma za usafiri wa anga katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) juu ya haki zao za msingi na wajibu wao kisheria pindi wanapotumia huduma za usafiri wa anga.
2
Matukio mbalimbali katika picha wakati wa Mkutano wa 18 wa Pamoja wa Mapitio ya Sekta ya Uchukuzi unaofanyika katika Ukumbi wa AICC, Arusha ambapo Mgeni Rasmi alikua Naibu Wizara ya Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile (MB).
10
Kampeni ya “Tiketi Yangu, Haki Yangu” inaendelea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) na Uwanja wa Ndege wa Arusha ambapo watumiaji wa huduma za usafiri wa anga wanaelimishwa kuhusu haki na wajibu wao wa msingi.
13
Kampeni ya “Tiketi Yangu, Haki Yangu” inaendelea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA) ambapo watumiaji wa huduma za usafiri wa anga wanaelimishwa kuhusu haki na wajibu wao wa msingi. Pia kufahamu mfumo wa utatuzi wa malalamiko uliowekwa.
12
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yanayofanyika Kimkoa katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. instagram.com/p/DJG2asItdCv/…
41
Heri ya Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi).
1
2
109
Heri ya Sikukuu ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar 🇹🇿
26
Happy Easter Day!
19
Heri ya Kumbukizi ya Siku ya Karume.
1
19
Miaka minne ya SSH
9