Nimefika Huku kwa Mutemi wa chini wa Mnazi nikapata hawachezi Kenyan music na tuna expect Shad na Billy Black nikawashow we don’t do that nyumbani (Nairobi) wanaskiza Ras Kipara mbaya sana sahii courtesy of me 😂😂
Weka foundation Wacha mchezo!!!
Nimewacha mambo ya pombe walai 😭 alafu iyo pombe @odanga_r alininunulia ndio iliniharibu aki😞


























