
| ๐ธ | being HUMAN | #awiseantinaclock๐
Tanzania
Joined August 2020
- Tweets5.6K
- Following801
- Followers559
- Likes94.8K
Pinned Tweet
Google pixel 3a xl ๐ธ
โจ Adobe Lightroom
#pichazasimu
ABDULSWAMAD retweeted
Unajua unaweza kupoteza thamani ya TSh MILIONI 1.8 kwa mwaka bila hata kutumia pesa zako? ๐ณ๐น๐ฟ
Mfano: Mshahara wako ni TSh 2,000,000 kwa mwezi = TSh MILIONI 24 kwa mwaka.
Januari 2026:
๐ต $1 = TSh 2,470
๐ฐ Milioni 24 = $9,717
Novemba 2026:
๐ต $1 = TSh 2,654
๐ฐ Milioni 24 = $9,043
Yaani mshahara wako wa mwaka, ukipimwa kwa dola, umepungua thamani kwa $674 (takriban TSh milioni 1.8)!
Hujapunguziwa mshahara, lakini uwezo wa pesa zako kununua vitu vinavyouzwa kwa USD umepungua.
Sasa badala ya kulalamika, tufanye nini? ๐
- ๐น๐ฟ Wekeza kwenye hisa za DSE
- ๐ฆ Angalia Treasury Bills na Bonds za Serikali
- ๐ต Hifadhi sehemu ya akiba kwa USD
- ๐ Wekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS
- ๐ผ Jenga chanzo kingine cha kipato
Usifanye kazi kwa ajili ya pesa tu. Hakikisha pesa zako pia zinafanya kazi kwa ajili yako.
ABDULSWAMAD retweeted
The highest-paid people in 2030 wonโt be competing with AI.
Theyโll be making serious money telling AI what to do.
While millions worry about AI taking their jobs, a smaller group is learning the skills companies will pay a premium for.
Here are 10 high-income AI skills where the money is moving: ๐
Nikola
Ant
Steph
Maxey
Towns
Tutapigwa vikapu vya kiboya sababu defense ni mbovu, ila lazima tushinde๐ฅ
13
ABDULSWAMAD retweeted
Harry Kane going from footballโs most famous trophyless player to a Ballon dโOr winner might be the greatest example of why changing employers can improve your life.
Replying to @AyoubChakah
@AyoubChakah Karabani ajipange tu kwenye NBL tena asajili watu haswa ndo atatoboa, hivi hivi aah wapi
2
1
49
ABDULSWAMAD retweeted
Ukiwaza negative kila siku, usitegemee maisha yako yawe positive.
Kila kitu kinaanzia kwenye akili ๐ฏ































