tinito retweeted
i saw a nigga turn 20k into $350... i stayed the fuck away from that nigga 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Barcola aliokota milayas hapo Paris wakaenda na yeye hapo designer shop, naskia huyo dem aliokota clothes worth €40,000 in just 15 minutes.
Hio ni kama 5.7M, time wameenda kulipa Barcola akamshow amesahau wallet kwa gari acha aikimbilie ndio arudi alipe.
Venye tu alitoka njee, akaingia kwa his Lamborghini Urus Mansory, na hivyo ndio jamaa alihepa, akapanda ndege akarudi England kutandika United.
tinito retweeted
Ordered a cab last year. You were the driver. I cancelled
Nimeona watu wengine wakisema ati hawawezi peleka watoto wao hii shule yenye iko kwa farm ya President, SIBOH School & Sports Academy ati ilijengwa na blood money, let me tell them, the minimum fee for play group child is 90k per term, that's 270k per year imagine for a child mwenye anafundishwa kushika kalamu, and majority of you here 90k ni salary yenu for 3 months na bado hujalipa nyumba, kulipa some bills na kufanya shopping. So nyinyi mko bitter juu hamwezi afford kupeleka watoto wenu uko.


































