Afanane na yule mganga wa Kombolela 😍😍>>>>
It's first time in my life kutongozwa na mganga wa kienyeji. Kwenye talking stage i was like woow, huyu ndie ninaemtaka kabisa. Then nikamuuliza unafanya kazi gani, akaniambia Healing people. I thought ni daktari or something mpaka nilivyoona instagram yake kuwa ni mganga wa kienyeji kabisa😭 Inshort anavaa kabisa kaniki na kilemba, anashika manyanga like seriously bru 🤦🏽♀️ anafollowers kibao na wateja kwenye comment.. yoo, i know my energy is high, but I am very disappointed😃
2
112
Mrs. Ebony C. Wilder retweeted
being able to conceive naturally, carry a child full term, give birth naturally, and bring a life into the world that’s healthy with no birth defects is an underrated blessing.
Mrs. Ebony C. Wilder retweeted
Mtu ambaye anaingia twitter kwa vpn kuja kuitetea/kuisifia serikali ambayo imefungia platform hiyo hiyo anaitumia binafsi namuona ana changamoto ya afya ya akili hata nyie si mnawaona?
Nini husumbua teenage schoolgirls mpaka wanakuwa wanacheka cheka ovyo?! 😑😑 yani kitu hakichekeshi ila heeeh🚮🚮
3
241
Mrs. Ebony C. Wilder retweeted
Self destruction through repetitive behaviour.
"You cannot heal, grow and build a different life while continuously feeding the behaviours that are destroying the very foundation you are trying to rebuild."
Mrs. Ebony C. Wilder retweeted
Replying to @Europarl_EN
@Europarl_EN @UNHumanRights @commonwealthsec
@tedcruz @SenatorShaheen @SenateForeign @SFRCdems
Samia Suluhu has begun eliminating key witnesses to the October 29 atrocities, individuals who could testify against her in the future.
An independent investigation must be launched to establish exactly what happened to this witness at Muhimbili National Hospital. The circumstances surrounding this case demand urgent scrutiny and accountability.
I think it’s high time watu waache ushauri jamani.
“Ndoa ni scam”. Koma!!
“Wekeza sasa hivi uishi baadae”. Koma!!
“Usizae watoto ni liability”. Komall
“Zaeni hao ndio familia pekee”. Komall
“Biashara ni bora kuliko elimu”. Koma!!
Kwa kifupi, KOMA na ushauri wako. Let people be!!


















