Ekwueme..my promoter and defender, see what you've done for me this 2019!! @Prospaochimana @osinachinwachu4 @EvahMwalili @Milele_FM #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday
#HabariNjema….Zaburi 66:8-12….Msifuni Mungu wetu, enyi mataifa yote....yeye ametujalia maisha wala hakutuacha tuanguke, umetujaribu kama madini motoni,umewaacha watu watukanyage,tumepitia motoni, LAKINI SASA UMETULETA KWENYE USALAMA @EvahMwalili @Milele_FM
Umeniongoza Baba ni asante... siyabonga Yesu, ni asante Simba wa Yuda. @EvahMwalili @Milele_FM #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday
Kanisa litajengwa na kina nani. litajengwa na kina vijana, wazee, akina mama....iyoooo @Generation21 @EvahMwalili @Milele_FM #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday
Bwana Yesu asifiwe saaana!! Wow, Jumapili ya mwisho ya mwaka wa 2019, tuseme nini jamani, Mungu amekuwa mwema! Karibu sana kwa Ibaada ya shukrani hapa @Milele_FM nami Mama Taifa @EvahMwalili Peperusha bendera sasa! #milelegospelsunday #milelegospelsunday
Nyumba zilizojengewa juu yako hazivunjiki kamwe, ninataka Ebeneza nijenge juu yako. Ebeneza! Late Chibalonza @EvahMwalili @Milele_FM #milelegospelsunday #milelegospelsunday #milelegospelsunday #milelegospelsunday
Mercy said no, you don't have to be afraid, sin will never take control, thank you Jesus mercy said no! @cecewinans @EvahMwalili @Milele_FM #milelegospelsunday #milelegospelsunday #milelegospelsunday
You are great Holy God, you reign in majesty, everything written about you is great. @SteveCrownmusic @EvahMwalili @Milele_FM #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday #Milelegospelsunday
Hivi nilivyo sio ndoto yangu naenda viwango vingine. @Williamyilima @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu Bwana kwa hiyo nimepata utakaso. @DianaSarakikya @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Great winners, see you on Sunday tupeperushe bendera ya #milelegospelsunday majaliwa! Have a blessed weekend and enjoy the peace of the Lord, Tukutane Galilaya! @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
There's nothing impossible with God! Unaweza kuwa umeitwa tasa na majina mabayam, Krismasi hii wacha iwe ya kukumbuka, natangaza baraka ya watoto na kufutwa machozi, pokea! Merry Christmas! @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
#Wazo...You need to hang out with people who fit in your future not your history. @EvahMwalili @Milele_FM
Siwezi jizuiya kusema wako wema, umekuwa mwema kwangu. @MercyMasika @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Tunapoingia 2020 tunamhitaji kwa ushauri, kwa amani na kwa mambo ya ajabu...tumtegemee huyu Mungu, usitegemee nguvu za waganga na wachawi, amani ya kweli ni kutoka kwa Mungu, mtegemee! @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Tumeuona mkono wako Bwana matendo yako Bwana ni makuu mno, umetutoa mbali ukakatushika mkono, tutasifu Jina lako milele. @ZabronSinger @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Asante kwa wema na upendo wako, twashukuru. Uinuliwe milele, ubarikiwe ee Bwana, utukuzwe mfalme wangu. Asante! @Chomba @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Nani mwenye nguvu wa kusoma mbele yako Mungu, wa kuabudiwa na kuheshimiwa ni wewe Mungu. Mungu mwenye nguvu wastahili heshima zote. @christinashusho @EvahMwalili @Milele_FM #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele #BarakaZaMilele
Did you know that success can be measured by how well you manage denial?
Do not allow your scorn for rejection to hinder your triumph. Instead, strengthen your faith and watch God elevate you to soaring levels!
Watch #RejoicingInRejection: YouTube.com/TDJakesOfficial



