Uncle MJ’s Thoughts & Chaos 🫶🏽🫠 retweeted
Mwakimi anafaa kutumika kwenda kuomba misaada nchi za Jumuiya ya Ulaya 🇪🇺
Uncle MJ’s Thoughts & Chaos 🫶🏽🫠 retweeted
Replying to @uncleMJ_
Hatuna reliable media bongo we've already established that. We are on our own
Sema hizi media houses miyeyusho sana, Oct. 29 kulikuwa hamna coverage ya what was going on... Ila jana sijui leo Pastor Tony kucheza God's Plan ya Drake ni habari ya kupost
Uncle MJ’s Thoughts & Chaos 🫶🏽🫠 retweeted
Watu wa Chesii mtoeni mwenzenu matopeni, awe anacheck bolu la Shabi Alonso, mkiongozwa na @samz__23 @roadman__n
Uncle MJ’s Thoughts & Chaos 🫶🏽🫠 retweeted
Kaja kushusha bonge la Uzi..
Kaweka account private pia 🤣🤣🤣
Uncle MJ’s Thoughts & Chaos 🫶🏽🫠 retweeted
MY PAPA IS OFFICIALLY CANCER FREEEEEEE MY GOD IS AWESOMEEEEEEE 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Samahan naomba niazime 10,000 nina shida nitakurejeshea. Nina changamoto nahitaji kuisolve lakini nimepelea kiasi hiko nitakurudishia
If you don't mind kama sitokwambia shida ni ipi.
Uncle MJ’s Thoughts & Chaos 🫶🏽🫠 retweeted
My Mom, my brothers, my nieces, my nephews...
❤️❤️❤️❤️ – at Dar es Salaam, Tanzania
Uncle MJ’s Thoughts & Chaos 🫶🏽🫠 retweeted
Replying to @Cowwbama
Huyo aviator itammaliza. Mwambieni aache mara moja.



































