Someone travelled from ke to my work place and brought me Hunters😭😭😂🙌🏾
I have longed for some cheap liquor from Nairobi
I’m reading this like a baby in KG😭😭😭
Swahili is so hard
Ninakupongeza kwa dhati mwanangu, Jihan Dimack, kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania na kutwaa taji la Miss Grand International 2026.
Ushindi huu ni fahari kwa Taifa letu na kielelezo cha uwezo wa Watanzania kufikia mafanikio makubwa tunapoungana na kushirikiana. Pia, ni chachu kwa vijana, hususan wasichana, kujiamini, kuthubutu na kusimamia ndoto na vipaji vyao.
Hongera sana. Ninakutakia kila la kheri.






















