Solas (@winstone_nnko) header
Solas (@winstone_nnko) profile picture

Pro Christian | PEng(T) | SDGs, Renewable Energy & Tech Enthusiast | Startup Voice | Brand Identity | Content Creator | Soccer Fanatic | Pan Africanist 🇹🇿

Joined December 2021
ⓘ this user is struggling but refusing to break.
6
18
6,315
Ni ngumu sana kujenga nyumba kama hii kwa mshahara.
1
62
Unapewa biscuit ya TSh 200 na soda ya TSh 600 baada ya kuchangia damu, huku ukijua mchango wako unaokoa maisha ya mtu. Lakini siku nyingine unasikia mtu amepoteza maisha kwa sababu amekosa laki moja na nusu ya kulipia damu. Hivi kweli hili suala limekaa sawa?
2
105
Bro to bro, usimdhalilishe mwanao ili kuwachekesha watu.
2
207
Honestly, leo tumecheza mpira mkubwa sana! Hata baada ya kufungwa goli la kwanza, sikuwa na wasiwasi hata kidogo. Tulikuwa na kila kitu, transition sahihi, team spirit, tactical discipline na uwezo wa kutawala mchezo. 🧵 Uzi: 👇
1
31
1,622
Wametupa ushindani mkubwa na kutupa burudani ya soka la kiwango kizuri. Heshima kwa wapinzani wetu. Ni muda umepita tangu tuifunge Yanga, lakini jambo linalonifurahisha zaidi ni kuona namna timu yetu ilivyoimarika. — Soma Zaidi: 👇
1
1
185
Simba ya sasa ina utambulisho, ina character na ina uwezo wa kubadilisha mchezo pale inapohitajika. Nimefurahi sana kwa Nathaniel Chilambo, Neo Maema na Ellie Mpanzu. Hawa jamaa leo wameubonda kweli kweli! 🔥🔥 Hongera Simba SC na huu ndio mpira tunaotaka kuuona. ❤️🦁 End.
3
209
Kuna kitu kinaitwa neema. Kinapokufikia, hakiangalii vyeti vyako wala ulipotoka. Hubadilisha kabisa mwelekeo wa maisha yako. always omba neema ya Mungu ikufikie na ibadilishe hadithi ya maisha yako.
3
170
Watasema ni bahati, kwa sababu hawakuona usiku uliokuwa ukikesha ukipambana na hukutaka kukata tamaa.
148
Moja ya vitu bora vinavyoweza kutokea katika maisha yako ya kazi ni kupata bosi mzuri, hasa katika miaka yako ya mwanzo ya kazi. Bosi mzuri atakufundisha, atakuelekeza, atakujengea nidhamu ya kazi, na kukusaidia kukua kitaaluma.
135
Nimeshtuka nilidhani “OKWI, sajili mpya ya SIMBA” 🤣🤣🤣🤣
162
Tayari Yanga wamefikia makubaliano binafsi na Fei Toto huko. Sasa sielewi sisi Simba tunakwama wapi. Ni nini hasa ambacho hatuna mpaka kila usajili mkubwa tunabaki watazamaji?
165
Wanaenda kumpa tena Ballon d'Or
2
1
1
174
Huyu mzee wakati wengine wakifanya training yeye amekaa anawaangali tuu! Nimeanza kuamini kwamba huyu jamaa haweki effort sana kwenye soka kama Ronaldo 😂😂
3
120
Unaambiwa hii million nne iliyoongezwa hapa kwenye billion moja ni ya kutolea!😂😂
1
7
633
Uzi wa kibabe ⚡
1
1
11
5,451
Huyu janja alijua huyu ni Joshua Mutale Budo ehee 😂😂
2
1
18
2,107
Donald Trump amesema kwamba hadhani kama tukio hili lilipaswa hata kuwa faulo! 🤐
1
1
1
5
1,547
Usiwavunje moyo wazazi wako ili uwafurahishe watu. Kwa wengi, wewe si kipaumbele. Wazazi wako ndio watakaobaki upande wako wakati wengi watakuwa wameendelea na maisha yao.
1
8
200