Pinned Tweet
Dear ladies
Mwanaume anaanza na kutamani halafu ndo akupende, akili yako, matendo yako, na tabia yako ndo itamfanya aamue kubaki na wewe au aondoke 📌
king Adady wa pili retweeted
Nabii Isa (a.s.) Yesu alifundisha:
“Enyi wanadamu, msiifunge mioyo yenu kwenye dunia hii ya kupita. Dunia haitadumu kwa ajili yenu, wala ninyi hamtadumu ndani yake. Dunia humdanganya anayeitegemea na kumuangamiza anayeipenda kupita kiasi. Rejeeni kwa Muumba wenu na mcheni Mola wenu.”
king Adady wa pili retweeted
Vitu ambacho MWANAUME hawezi kusahau.
1. Rejection za watu aliowa-amini kipindi ana struggle.
2. Support alizopata kipindi ana hustle.
3. Watu waliosimama nae kipindi hana chochote.
4. Asubuhi za baridi na kuchelewa kulala usiku.
Ongeza nyingine…
king Adady wa pili retweeted
Kuna watu wamejificha kwenye mwavuli wa IBADA, lakini mioyo yao imejaa ROHO MBAYA!.
Happy Tuesday¡
Tuesday is a wonderful reminder that you survived Monday, and you now have a brand-new page to write something truly wonderful. May your coffee be strong, your spirit be light, and your path be filled with unexpected blessings today.
Good Morning☀️.
king Adady wa pili retweeted
Growing up is realizing that sometimes the answer isn't motivation.
It's discipline.
king Adady wa pili retweeted
I genuinely believe everything done in the dark will definitely see the light one day. So, no need to fight over things out of my control.
king Adady wa pili retweeted
People wait for the right moment. Chasing for the right moment will make you not live life.
king Adady wa pili retweeted
I told my dad and mum I was starting my own business.
They simply said, “An entrepreneur is a risk taker. You risk to win, or risk to lose.”
No discouragement. No fear. Just a reminder that either way, I have to be brave enough to try.
king Adady wa pili retweeted
Ukweli kuhusu maisha hakuna mtu anayemiliki kila kitu. Kila mmoja ana kitu anachokitamani na kitu alichobarikiwa. hivyo
Usijilinganishe na maisha ya mwingine.
Usidharau hatua uliyoifikia.
Usisubiri upate kila kitu ndipo uanze kufurahia maisha.
Shukuru sana ulichonacho 🙏
king Adady wa pili retweeted
Ishara 5. Zinazoonyesha wewe unatumia AKILI kuliko HISIA.
1. Hujibu haraka pale unapokasirika.
2. Haukubali kila unachoambiwa.
3. Pesa zako hazikutawali.
4. Unabadilika haraka kulingana na mazingira.
5. Unachelewesha raha na uwezo wa ku-control impulse.
king Adady wa pili retweeted
Mwanaume
Ni bora kuheshimiwa kuliko kupendwa.
1. Kuheshimiwa ni kuwa na mipaka iliyo wazi
2. Kuheshimiwa ni watu wanajua unachosimamia.
3. Kuheshimiwa ni kusimamia misingi yako hata watu wasipopenda.
Jenga tabia, uwezo na misingi itakayokufanya uheshimiwe.












