We matako @Elparton112 ukiangalia hapo kuna usawa?
Kitu huwa kinanishangaza kwenye betting ni Hichi huku wenyine wameshinda 100M huku mwingine anataka kuacha betting na timu ni hizo hizo
1
144
ALPHA retweeted
Baada ya mashindano UK kuna Agent & scout anaesimamia vijana walio kwenye Top academies pale UK alinitajia vijana wawili alovutiwa nao nikaitafuta Agency ya mmoja wao ili niwaunganishe nilcho jibiwa 😂😂 nkajsemea haya bwana tusubiri aje Ligi namba 5 Africa inalipa vizuri BTW
Wewe sasa ndo huna Akili
Hii Kitu Imenishtua Sana, Kumbe Libasse Anagoli Sawa Na Toure Wote Wako Na Goli Tatu Huku Libasse Akiwa Amecheza Dakika Nyingi Kuliko Toure, Ndo Maana Nasemaga Wachambuzi Wengi Wa Bongo Hawafuatilii Vitu.
Hivi Unasemaje Mchezaji Amefeli Na Analingana Goli Na Mchezaji Wenu Bora.
11
ALPHA retweeted
Bila ya babu zangu kuendekeza mapenzi sasa hivi ningezaliwa muislamu.
Juzi ninapewa story wazee waliacha kwao kwenda kuishi kwa wakwe zao, Wakapewa nyumba na mashamba na dini mpya 🙌😂
ALPHA retweeted
Kile tunachokisema ndo hiki hii Bodi ya Wakurugenzi kwanini inaingilia maswala ya Wanachama ? Wakati Wanachama wana Mwenyekiti wao? Kwanini wanaingia na kuchafua hali ya hewa? Tukisema tunaonekana wabaya.
Kile tunachokisema ndo hiki hii Bodi ya Wakurugenzi kwanini inaingilia maswala ya Wanachama ? Wakati Wanachama wana Mwenyekiti wao? Kwanini wanaingia na kuchafua hali ya hewa? Tukisema tunaonekana wabaya.
Iko hivi katika Timu za Wanachama ambazo zinataka kufanya mabadiliko na kwenda na mfumo kisasa na vile Serikali imeelekeza ni Simba na Yanga, na Simba ndo alianza na viongozi wao walisema wanakaribia kukamilisha mchakato hii Simba ndo itakuwa mfano huwezi kuingia kwenye ....
1
45
ALPHA retweeted
Tutafute pesa naffikiri ndie mpenz ataye kupa umuhimu hats zile sehemu ambazo haziwezi kukupa umuhimu






















