Tulikuaga tunawadharau mababu zetu kwamba walikua hawana akili kukubali kutawaliwa kimabavu na wakoloni,sasa kizazi chetu nacho pia kina pitia mfumo ule ule na bahati mbaya wale wachache wanaopata ufahamu wanapitia yale yale ya kukatwa mikono na vichwa kama enzi za ukoloni. SAD
𝙓𝙨 retweeted
Sema gambe bhana..Apo wanaona kama wamejificha😂😂🙌..Kumbe wanatoa laana
This quoted post is unavailable.






























