CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact) header
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact) profile picture

Political analyst and prophet extremely non partisan, JPM's disciples i tweet my thoughts and rarely what GOD commands.Zee la utu na mipango ๐Ÿ•Š

Joined January 2022
Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)Photo by CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI (@maestrowafact)
Je, wewe ni mfanyabiashara na mzigo wako umekwama bandarini kutokana na changamoto za kodi ya forodha (Customs Duty) au ada za clearance? Usipoteze muda na kulipia faini za kuchelewa (demurrage).
7
39
104
63,378
Ajira portal๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Replying to @Cowwbama
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† nishawahi tuma hela yangu anadai ana interviewโ€ฆ
119
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
"Chama cha ACT Wazalendo hakiwezi kwenda kwenye Maridhiano bila ukweli, haki na uwajibikaji." Naibu Waziri Mkuu wa @ACTwazalendo Luhaga Mpina #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
43
28
2
177
12,378
Ila majanja kwa kupenda kuuza sura sasa yule dogo kule nyuma kajitokeza kwa nn?
Ukiwa hufuatilii mambo kwa kina, unaweza kudhani ziara ya Rais Samia nchini Angola mwezi Agosti ni ziara ya kawaida tu ya mkuu wa nchi, au ujio wa Rais wa Angola nchini Tanzania hadi kupewa hadhi ya kushiriki uzinduzi wa mji wa Serikali ni jambo la kawaida. Lakini ukichunguza kwa kina, utaona kuna kete kubwa ya diplomasia ya uchumi inasogezwa๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ. Tanzania na Angola zina nafasi muhimu kimkakati katika ukanda wa Afrika ya Kati,mashariki na Kusini, hasa katika upatikanaji wa masoko na usafirishaji wa bidhaa kutoka na kuelekea DRC na Zambia. Tanzania ina reli ya TAZARA, huku Angola ikiwa na reli ya Lobito inayounganisha maeneo ya uzalishaji wa madini na bandari ya Lobito. Hizi ni njia muhimu zinazovutia maslahi ya mataifa makubwa yenye nguvu za kiuchumi duniani. Hapa ndipo tunapopaswa kuona fursa zilizopo katika kuimarisha diplomasia ya kiuchumi kati ya Tanzania na Angola. Hili si suala la ziara za viongozi pekee, bali ni suala la biashara, uwekezaji, usafirishaji, madini na ushindani wa kiuchumi katika ukanda huu. Huwezi kuielewa kete hii bila kuwa mtafuta taarifa na mfuatiliaji wa mambo. ๐Ÿ˜ Kwa bahati mbaya, vijana wengi Bongo tumekuwa wapokea taarifa badala ya watafuta taarifa. Ndiyo maana mara nyingi tunabaki kulalamika kwa kutegemea taarifa zisizokamilika au zenye upotoshaji, wakati fursa zinapita mbele yetu. Rais Samia, kwa diplomasia ya uchumi, hongera Mama๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ Sasa ni wakati wa kuanza kuchungulia fursa zilizopo Luanda, kujua tunaweza kuwekeza nini, kuuza nini, kujifunza nini na kushirikiana nao katika maeneo gani yenye manufaa kwa nchi zetu. Na reli hizi zikikamilika na kuimarishwa, huku ushirikiano wa kikanda ukiendelea kukua, fursa za biashara na uwekezaji zinaweza kuwa kubwa zaidi. Hapo ndipo tutakapouona uzito wa diplomasia inayokwenda sambamba na uchumi. Diplomasia si kupiga picha na kubadilishana zawadi tu; ni kufungua milango ya fursa kwa taifa na wananchi wake na ndicho Rais Samia anafanya japo nahisi wengi hatuoni hilo๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ exposure yetu wengi ipo chini sana. Hatuna macho ya kuona hilo.
4
4
1
23
4,934
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
October 2 9 imeacha yatima wengi mno
2
85
3
334
2,492
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
Hii ya kusema kila kifo ni mpango wa Mungu nitaipinga hadi kesho๐Ÿ“Œ๐Ÿ“
53
44
7
349
12,934
paparaz
Wakati wakiendelea na shughuli zao kana kwamba hakuna kilichotokea, sisi tunabaki tukitazama picha zenu na kujiuliza "Ingekuwaje kama...?" Ukweli mchungu ni kwamba mmetuachia mzigo mzito wa majonzi na maswali yasiyo na majibu.
1
1
41
Shukuru umezaliwa Africa ww ungekua shoga
29.10.2025๐Ÿ’” Ni siku ambayo imenifanya nichukie kuzaliwa Africa. REST IN PEACE NDUGU ZETU WOTE MLIOPOTEZA MAISHA SIKU ILE, we shall meet in heaven. ๐Ÿ•Š
3
2
9
768
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
29.10.2025๐Ÿ’” Ni siku ambayo imenifanya nichukie kuzaliwa Africa. REST IN PEACE NDUGU ZETU WOTE MLIOPOTEZA MAISHA SIKU ILE, we shall meet in heaven. ๐Ÿ•Š
4
24
2
42
1,524
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
Wewe nae taarifa zako sijui unatoaga wapi RC siku ya maomboleze au adhimisho la kukumbuka marehemu rangi ya mavazi haiwezi kuwa nyeupe hata siku moja na hilo tukio hapa inaonekana ni hadhimisho la hija๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
Nasadiki kwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki na la Mitume.๐Ÿ™โค๏ธ #Mo29 #TanzaniaMassacre
14
8
2
21
3,865
Lakini Mbona walisemaga toka mapema janja ni muhuni?
Mwakimi sijui kwanini anafanya hivi lakini๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
2
1
1
16
1,311
Hao wako desperately na usenge wao
Replying to @HildaNewton21
Hii siyo hijja ya Mugana kweli?
3
462
Hija ya Mugana nyakigoha
Replying to @HildaNewton21
Siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapata mbinguni atarudi kuwahukumu wazima na wafu
4
436
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
Mama ulipigwa lisasi na mimba yako na mkaitwa waharifu, 29.10.2025 ๐Ÿฅฒ๐Ÿ™Œ
9
64
153
1,109
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
"usinene ukamala"๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ waiting for "KARMA" wakristo tuseme-AMINA ndugu waislam tuseme-kheri Tunao abudu mizimu tuseme-Tawile
20
59
2
95
1,601
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
Mungu awalaze mahali pema peponi ndugu zetu wote waliopoteza maisha siku kama ya leo mwaka 2025 Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un ๐Ÿคฒ๐Ÿฟ
19
160
4
466
6,658
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
29.10.2025 Kusamehee Nikusahau, Kusahau Nikusamehee. Ya October 29 Ili Yasameheke Na Kusahaulika Yafanyike Haya๐Ÿ‘‡ 1..UWAJIBIKAJI 2..HAKI 3..UKWELI October 29.10.2025 Ardhi Ilikunywa Sana Damu. Ardhi Inayokunywa Damu Haistawishi MAZAO Ardhi Hiyo Hustawisha CHUKI Na VISASI.
6
59
2
151
1,291
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
Haki huchelewa ila haiwezi kupotea ipo siku๐Ÿค
8
71
1
209
3,423
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
Letโ€™s be honest: Tangu mauaji ya Oktoba 29 yatokee, we have NEVER been better huku mtaani.
19
105
3
504
9,388
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
Hadi Leo hapa ghetto ninae maganda 6 ya risasi niliyaokota mtaani kwetu Kisukuru 30.10.2025 Sijui kwann huwa nashindwa kuyatupa.
26
64
2
512
15,293
CHURA MPASHIKUNA MKALI PAPARAZZI retweeted
Mungu wetu wa mbinguni atupe miaka mingi na heri duniani tushuhudie anguko la Wauwaji CCM wakilia na kusaga meno. ๐Ÿ‘๐Ÿฟ Rest in peace kwa ndugu zetu waliokatishwa uhai kwa tamaa za watu binafsi lazima watalipa kama sio wao basi nj vizazi na vizazi vyao viteseke. 29/10/2025 ๐Ÿ’”๐Ÿ•Š
21
79
2
170
2,807