Bluckuv (@Bluckuv) header
Bluckuv (@Bluckuv) profile picture

It's not fun when rabbit got the gun.

United Kingdom
Joined August 2025
Photo by Bluckuv (@Bluckuv)
Vipi kama mwanza kungekua na Meli kubwa zaidi ya tatu, Airport viwango vya dunia flyover hata moja imepita pale Town afu uwanja fulani wakibabe mbona kama ule mji ungekua tishio sana africa au niache bangi.
5
30
59
952
Ndo summer hiyo
1
1
3
73
Bluckuv retweeted
Ukianza tu kuwa serious na mahusiano kila msichana mwingine yeyote anaanza kuwa available.
7
11
1
40
828
Leo nimependeza sana 🔥 yooh
14
12
2
61
1,140
Ukiwa mtu wa kutaftia kila kitu hidden meaning, like kila unachokiona, kila mtu anachofanya lazima ukitafsiri na kutengeneza story kichwani mwako, damu za pua lazima zikutoke 🤣🤣 Embu Relax
1
5
22
603
Leo nilikua naambia my relative kwamba nataka nianze gym ,akaniuliza unaenda kufanya nini nikamwambia mazoezi,akauliza ya Nini? Nikamwambia nataka kua na flat tummy 🤣🤣,akasema yaani kuna watu hamuridhiki mpaka mnataka mkufuru,yaani flat tayari unayo ila unataka heka heka🌝,
9
8
3
49
1,631
Sikuwahi Kujua kuwa mtu anaweza kuwa amekushinda kila kitu na Bado anawa anaukunjia na kukufichia white.!!🙌🏾
14
31
187
8,612
African man ili uwe considered a complete man kwenye jamii inabidi uwe; 1. Mgumu. 2. Mchafu mchafu. 3. Usiye na hisia,machozi ni dhambi. 4. Usiyejipenda at all 5. Kujua na kutumia kingereza ni umama. 6. Kuzaliwa familia bora ni dhambi Kuwa mwanaume wa KiAfrica si jambo rahisi.
7
18
1
94
3,149
Even on bad terms loyalty should stay the same .
3
5
1
18
372
Bluckuv retweeted
Sunday,Effortless
28
26
7
297
18,204
Genz hatakuambia kama amekua majibu yake yakianza kuwa hoja kwako kashakua mtu mzima.
6
24
32
556
Showering my off the streets 🩷♥️
26
24
7
126
6,246
Bwana yesu Asifiwe 🥂
30
26
5
200
8,900
Mr Eazi don come back again… eehh 🎶
1
1
7
497
Mambo ya “ooh Koku usibishane,” sijui “don’t do this,” ooh nyenyenye kwa DM yangu Noo sitaki. Uku duniani I’m surrounded na watu wazima, wamenizidi miaka mingi na ma experience, nna family, wateja, watumishi wa Mungu, so kama nataka ushauri najua wapi pa kupata. Usilete kiherehere kwa DM yangu 🤣🤣🤣
21
11
52
3,593
My nephews and nieces need to understand that I’m not their “shangazi”, I’m their “aunty”🤭🔥
3
3
1
28
1,090
Bluckuv retweeted
3rd frame,my video of the year ❤️
6
6
1
49
1,958
Bluckuv retweeted
70k a set ☎️0624702892
2
21
4
22
1,806
Bluckuv retweeted
What You Focus On Grows
2
6
141
Nimpikie ba mtu pilau la nyama nyingi🤭
11
3
1
54
1,747