Chanafi Fakii (Wachanafi Ze Farmer)๐น๐ฟ retweeted
๐คธ Sarakasi za kiuhalisia, bila ya nywi nywi wala nywi nywi nywi ๐คฏ
#TotalEnergiesAFCON2025 | #WeCelebrateDifferent
Chanafi Fakii (Wachanafi Ze Farmer)๐น๐ฟ retweeted
Nilishajifunza kuwa mbwa wanaoshiba ni wa lazima sana shambani. Bila mbwa unakwama. Mifugo inachukuliwa kama maembe chini ya mti. @msakufarm @CharlesNgussa @CFakii
Chanafi Fakii (Wachanafi Ze Farmer)๐น๐ฟ retweeted
Kwako Mh @HusseinBashe, nakuandikia kutoka Songea, wakulima hatutaki tuonewe huruma lakini tupewe uwanda bora wa kiuchumi huku tulitimiza wajibu wetu kwa serikali, tafadhali pitia hii
Chanafi Fakii (Wachanafi Ze Farmer)๐น๐ฟ retweeted
Replying to @Nuru_G @HusseinBashe
Kuna eneo tunajiuliza
1 @HusseinBashe sababu hasa ya kumtaka mkulima kuuza kwa wakala wa NFRA na sio NFRA directly nini?
2.Bei ya kg1 tsh 500 to 600 mmezingatia vigezo gani ikiwa tayari NFRA wana soko la nje la kg 1 tsh 850 to 1000?
๐ญTusimuumize Mkulima kwa kiwango hiki
#NewProfilePic โ at Morogoro, Tanzania
1
4
178
Chanafi Fakii (Wachanafi Ze Farmer)๐น๐ฟ retweeted
Chozi ni maneno ambayo mtu aliyoshindwa kuyatamka. #ElimikaWikiendi
Its not power dat make u a super Hero bt its a Courage #youngandfarming
Maybe not today, maybe not tommorow, maybe not next week, maybe not next month..... Only one thing is true "one day am going to be a CHAMPION"#FarmLife
Dnt focus on building connections, become someone people want to connect with!!!#YoungAndFarming























