(1) Mh waziri @HusseinBashe,naunga mkono kwa 100% kuzuia biashara kutoka Malawi na A/kusini.Kwa A/kusini rafiki yangu alishamwagiwa truck ya ndizi hilo najua na naelewa. Kwa Malawi nimesikia wao wamezuia mazao yetu kwenda kwao, ninaomba unisaidie kuielewa hapa,nisababu ipi kubwa
1
1
89
2. iliyosababisha Malawi wazuie bidhaa hasa za kilimo? Wanaweza wasiwe wazi lakini je sisi kma nchi tunajua nini kuhusu chanzo halisi,yaani kilicho nyuma ya hili zuio lao?Nimeuliza hivyo ili kama shida ni wakulima basi tujitathmini na kama ni ya kisera tuone tunaweza kuchangia..
1
77
Hivi tifuefue @Tanfootball hamna hata tuzo ya mfungaji wa goli la kuongoza mumpe kipenzi chenu? 😂 😂 😂
9
383
Nuru Gulila retweeted
Mheshimiwa
@HusseinBashe
@WizaraKilimo
Kwako Mh @HusseinBashe, nakuandikia kutoka Songea, wakulima hatutaki tuonewe huruma lakini tupewe uwanda bora wa kiuchumi huku tulitimiza wajibu wetu kwa serikali, tafadhali pitia hii
It's a shame for African football, its shame to our football image, it's shame to this Africa football leader,its a shame to Mamelodi Sundowns. Incompetent referee,Daylight ROBBERS @CAF_Online @CAFCLCC_fr @Masandawana @YoungAfricansSC @Tanfootball
1
3
662
Nuru Gulila retweeted
Never stop learning
#kenaldofreshfinds
#Nitumesokoni
#FoodSystems
📞:0673944227
:0713944226
@JoatTz
@MalemboLE
@NemenceS
@Nuru_G
@Njole__
Nuru Gulila retweeted
Day 3 concludes with a wealth of knowledge on market strategies and financial stewardship. Feeling empowered and ready to implement these insights into our farming practices. #JoatAnnualMeeting #EmpoweredFarmers"@MsigwaGerson @HusseinBashe @MalemboLE
#FashionYaKijanaNiKilimo
Mhe @JMakamba hawa @tanescoyetutz namba yao ya huduma kwa wateja 0748550000 haipokelewi masaa 9 inaimba bongofleva inakata,je hawakuwa tayari kwa call centre au ni kiburi cha mashirika ya umma? Kama ni nyumba si inakuwa ishaungua? Mkurugenzi wao hayupo active hapa,inatia hasira!
Eid mubarak kwa waislamu wote nchini hasa wakulima wenzangu,lakini zaidi na ikawe heri kwa "MUHUNI" wangu @masoudkipanya Mungu abariki kazi ya mikono yako bro,we ni MUHUNI na wahuni tunakuaminia!
Hongera wananchi,ila leo kafunga huyu "Tutapata tabu sana" 🤣🤣😂@KibwanaShomar15
Nuru Gulila retweeted
Kilimo cha Karoti. Karibu tujifunze kwapamoja.
Karoti ni zao la mizizi (underground tubers) linalotumika kama kiungo kwenye chakula na matumizi ya viwandani.
Karoti hulimwa maeneo mengi Tanzania yenye ardhi ya udongo tifutifu na kichanga. Mbegu ya karoti Nantes coreless hupendwa
Leo jioni saa moja,Korosho!
Zao la #Korosho na mfumo wake wa Masoko,karibu kwenye mjadala tujadili pamoja. #SpaceWithMalemboLucas
__ @MalemboLE
Nuru Gulila retweeted
Wakulima tuna jambo letu leo jioni, usipange kukosa @FreshRafiki @DorothNengai @kuyelayelaa @shibobomsita @ExMayorUbungo @MpondaSabinus @Nuru_G @MalemboLE





























