ThePwaarific (@Cpwaa) header
ThePwaarific (@Cpwaa) profile picture

Tanzania Music Awards winning Artist, ICT Engineer & Business Development | VAS | DigitalContent | MediaMonitoring |Gaming | MobileMoney | IPTV & OTT

Dar es salaam, Tanzania
Joined June 2009
Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)Photo by ThePwaarific (@Cpwaa)
“Nilipoanza muziki baba yangu hakunielewa lakini kwa taaluma yangu darasani ilimfanya awe na fahari na mimi. Ni muhimu kunyanyua kipaji cha mtoto maana inaweza weka chakula mezani lakini pia elimu ni muhimu kuangaliwa.”- @Cpwaa #SalamaNaCPwa @YahStoneTown @EceJay
3
48
ThePwaarific retweeted
Live your life brother, life is one time offer!
2
3
5
“Sumalee nilikutana naye Tanga nilipokuwa nikienda likizo Disemba kwa mama mwaka 2000 nilipomaliza form 6.”- @Cpwaa #SalamaNaCPwa @YahStoneTown @EceJay
8
57
“Muda mzuri kwangu ilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu 2010 tulikuwa tunafanya presentation mbele ya viongozi wakubwa nilikuwa nina wasiwasi lakini baada yakufanya kilichotupeleka tulipigiwa makofi na Rais Kikwete alitusifia.”- @Cpwaa #SalamaNaCPwa @YahStoneTown @EceJay
4
49
ThePwaarific retweeted
“Mimi ni mchoraji mzuri sana. Nilianza muziki niko form two Mbeya Sekondari kabla hata bongo fleva haijazaliwa. Nilikuwa very smart darasani nilimaliza form four division 1 ya 7. Hii ni kutokana na uwazi Baba yangu alinipatia.”- @Cpwaa
1
11
2
80
“Mama yangu ni msukuma Baba yangu ni mrangi. Nimezaliwa Geita lakini nimekulia Tanga, Geita, Mwanza, Dodoma na Dar es salaam. Wazazi wangu waliachana nikiwa nina miaka miwili.”- @Cpwaa #SalamaNaCPwa @YahStoneTown @EceJay
8
2
80
ThePwaarific retweeted
“Muda mzuri kwangu ilikuwa kipindi cha uchaguzi mkuu 2010 tulikuwa tunafanya presentation mbele ya viongozi wakubwa nilikuwa nina wasiwasi lakini baada yakufanya kilichotupeleka tulipigiwa makofi na Rais Kikwete alitusifia.”- @Cpwaa
4
20
ThePwaarific retweeted
“Marehemu Ngwair nlivyokutana nae nilimuelewa sana alikuwa na kitu cha tofauti. Na yeye ndiye msanii wa bongo niliyemshirikisha kwenye ngoma zangu nyingi.”- @Cpwaa
6
42
“Inabidi watu waweze kukubaliana na vitu. Mifumo inabadilika, lifestyle inabadilika. Maendeleo yanakuja kupitia mtu yeyote haijalishi awe na nywele au kipara.” - @Cpwaa #SalamaNaCPwaa @YahStoneTown @EceJay
1
2
67
weuweeeeeee🔥🔥
1
5
ThePwaarific retweeted
“Sumalee nilikutana nae Tanga nilipokuwa nikienda likizo December kwa mama mwaka 2000 nilipomaliza form 6.”- @Cpwaa
1
4
62
ThePwaarific retweeted
“Bangi ilinikataa. Ninaivuta nikiwa ninafuraha lakini mimi sio mvutaji. Madawa siwezi kabisa kutumia na sijawahi tumia. Pombe sawa.”- @Cpwaa
2
4
1
49
ThePwaarific retweeted
Wiki hii #SalamaNa @Cpwaa
1
3
9
Episode 29 : KILA CHOMBO NA WIMBILE feat @Cpwaa Khadithi za zamani za utoto na umaarufu na kazi na muziki wa kundi na usolo na pia umuhimu wa elimu, mapenzi kwa wazazi wetu na ubinafsi #SalamaNaCpwaa #YahStoneTown #SalamaNa #KilaChomboNaWimbile @samakisamaki_tz @SlideVisuals
4
25
Am ready to unleash the 2nd Wave⏳ 🌊! 🔥🔥🔥 Link still on my bio #August1st Its's a Journey! Buckle up 🚀🚀🚀 #TheJourneyToTheEPLaunch #ItsTime #TheGreatnessIsHere #NaturalHairTherapyAndStyles by @j_handroz
#tatufresh #ladhani #efmtanzania 20 July 2020 Namba 2 @Cpwaa ft Ngwea,Chege _ fire
1
10
Another blessfull Friday, tumshukuru Mungu kwa kila jambo. Usikate tamaa siku hazifanani,leo umekosa kesho utapata. #FIRE 🔥🔥🔥 Music video...link kwenye bio. #PreambleEpisode3 #Loading #TheJourneyToTheEPLaunch #It'sTime #TheGreatnessIsHere #Pwaa! 📸 by @mxcarter
1
2