CreatorStore (@CreatorStoreApp) header
CreatorStore (@CreatorStoreApp) profile picture

Ingiza kipato kwa kazi zako za kidigitali!. Software Solutions to help Creators monetize. Try for FREE our WhatsApp Solution by sending "Buy" in link below ⬇️.

Tanzania
Joined October 2023
Photo by CreatorStore (@CreatorStoreApp)Photo by CreatorStore (@CreatorStoreApp)Photo by CreatorStore (@CreatorStoreApp)Photo by CreatorStore (@CreatorStoreApp)Photo by CreatorStore (@CreatorStoreApp)Photo by CreatorStore (@CreatorStoreApp)Photo by CreatorStore (@CreatorStoreApp)Photo by CreatorStore (@CreatorStoreApp)Photo by CreatorStore (@CreatorStoreApp)
CreatorStore retweeted
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania. Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea). Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende. Ambapo ameeleza baada ya kutoa maelezo mbele ya Tume, alifika Ofisi za Wilaya kushughulikia taratibu za kupata msamaha wa matibabu kutokana na ugumu wa maisha anaoupitia hivi sasa.
97
361
45
1,141
89,265
Au leo sio tarh 29..!!? Au saa 12 asubuhi bado..!? 🌚
324
706
256
1,976
486,443
CreatorStore retweeted
Can anybody explain to me why the media simply refuses to report on what’s happening to Christians in Nigeria?
More Christians have been murdered by Islamists this year alone than Palestinians during three years of war. Dozens more Christians, including children, are currently being held hostage. Where is the outrage?
271
2,525
86
8,819
66,094
CreatorStore retweeted
A very underrated life decision is marrying someone who doesn’t need an expensive life to be happy.
135
888
46
7,090
193,267
CreatorStore retweeted
My mum is dying, plzz help me retweet 😩🙏
This video is a call for help. My mum is battling with stroke, and it is slowly taking her life. She needs urgent medical funds to stay alive, and I cannot do this alone anymore. Please, if you have it in your heart to help or retweet this to someone who can, I beg of you 🤲🏻🙏
65
13,728
12
14,658
440,135
CreatorStore retweeted
I will never understand why every patient takes almost an hour with the doctor, but when I go in, I’m out in less than five minutes.
432
3,906
163
70,214
1,457,953
CreatorStore retweeted
Argentina just beat Spain at the 2026 World Cup final, 3-2.
Readers added context they thought people might want to know
Spain just beat Argentina at the 2026 World Cup, 1-0. espn.com/soccer/story/_…
28,868
56,983
51,499
296,900
CreatorStore retweeted
When Egypt was leading 2 goals the World Cup was not rigged😂😂
1,266
5,861
256
54,680
735,792
CreatorStore retweeted
Imagine being so good that people start believing the whole sport is rigged and designed for you to win. 🥶
2,406
17,752
774
128,163
7,997,894
CreatorStore retweeted
She is still missing, please repost until she is found
1
744
1
676
8,506
CreatorStore retweeted
Quote kutoka kwenye my book 'How To Become A Monopoly' ni buku tu 1,000/= Nunua kupitia Roboti [1] Tuma neno "Nunua" kwenye hii link hii link wa.me/255696103115 [2] Fuata maelekezo Chatbot Product ya @CreatorStoreApp chatbot kupitia
6
16
806
If you made $200k last month trading, maybe just keep doing that. You don't need to sell me a course too.
491
6,494
292
56,096
1,226,006
CreatorStore retweeted
just had Morocco come in and collect Senegal’s order
450
5,431
567
32,115
857,943
CreatorStore retweeted
Trophies are won on the pitch 🇸🇳⭐️⭐️
3,472
59,702
1,712
395,510
6,668,353
Nilienda Dubai na karibu milioni tano tu na plan ya kuuza laptops. Miezi michache baadaye nimepata 𝗨𝗔𝗘 𝗿𝗲𝘀𝗶𝗱𝗲𝗻𝗰𝘆 ya miaka miwili. Hii ndio reality ya Dubai ambayo watu wengi hawakwambii. Acha nishee hii story hapa baada ya hapa utakua na majibu ya kila kitu kuhusu DUBAI 𝙈𝙖𝙗𝙖𝙮𝙖 𝙣𝙖 𝙢𝙖𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙠𝙪𝙝𝙪𝙨𝙪 𝘿𝙪𝙗𝙖𝙞 𝙆𝙬𝙖 𝙀𝙭𝙥𝙚𝙧𝙞𝙚𝙣𝙘𝙚 𝙮𝙖𝙣𝙜𝙪 -Utakuwa umefika Dubai -Umejua kila kona ya Dubai -sehemu za kulala, sehemu za kutalii,Biashara nk 𝗕𝗼𝗼𝗸𝗺𝗮𝗿𝗸, Chukua kahawa,Popcorn tuendelee👇 Kiukweli hayajawahi kuwa maamuzi ya siku moja ni RECIPE ya maamuzi na vitu vingi nimekua nikipitia Chachu ilitoka wapi? “𝙄 𝘼𝙡𝙬𝙖𝙮𝙨 𝙘𝙝𝙤𝙤𝙨𝙚 𝙧𝙞𝙨𝙠𝙮 𝙛𝙧𝙚𝙚𝙙𝙤𝙢 𝙤𝙫𝙚𝙧 𝙘𝙤𝙢𝙛𝙤𝙧𝙩𝙖𝙗𝙡𝙚 𝙨𝙡𝙖𝙫𝙚𝙧𝙮. 𝘼𝙡𝙬𝙖𝙮𝙨.” Mwaka 2022/2023 me whatsapp nilikutana na mwanangu @eddygotya akawa ananiambia ashawai agizia watu vitu kibao China na nini. Mimi nilikua Nairobi wakati huo. Kwa Nairobi ni kitu cha kawaida sana watu wajanja wa mtandao kuOrder aliexpress nk na logistics zimenyooka tu chaap unaletewa mzigo. Sasa fast forward nilivogeuka bongo tukaanzisha kampuni inaitwa 𝕞𝕟𝕦𝕟𝕦𝕫𝕚𝕠𝕟𝕝𝕚𝕟𝕖 tulikua na office SINZA afrika sana pale sokoni junction ya kwenda mabatini. Ilikua inakua ila challenge hazikosekani me nikamwambia mchizi nabwaga akaendelea ila me nikachana nayo Sasa yeye akaanza kwenda 𝘿𝙪𝙗𝙖𝙞 next ikawa China Kuna siku nikamuuliza kati ya Dubai na China wapi naweza enda nikiwa hata na 5m nikatoboa. Akanyoosha akasema Dubai. (Usije ukawa na 5m ukadhani pia utatoboa, kwangu ilikua rahisi maana tayari nina wateja plus najua kufanya marketing ONLINE) Me nikiwaza lifestyle ninaloona mtandaoni la Dubai nitaweza afford kweli nikaona uongo Mwaka juzi mwanangu @thisiscollins1 alikua Chuo Cyprus akahamia China basi tukaanza kupush tena ecommerce kama kawaida ila logistics ikawa mzozo sana. (Btw tushaiwafunza watu 1000+ jinsi ya kuOrder vitu china na kuuza👉🏾 youtu.be/lLfA4B5zQpg?si=Tuwd…) Mwanangu akanambia me niko shule omba VISA njoo hapa. Sasa me kama wewe na wengi mnaopenda uhakika nikaanza kumuuliza kila move oya usafiri, hotel ngapi bei nk Huku nauliza @eddygotya kuhusu Dubai pia NikiCompare hivi nikaona maisha ya China ndo kitonga nitamudu. Mimi huyo chaap kwenda kuApply VISA ya China Agent waliniletea miyeyusho ofcoz kama hujui hii sio mara zote watu wamenyooka. Me ni mkorofi niliumana nao haswa hadi nikapata VISA ya China. Hehe Sasa kubabake ikawa wakati wa Canton fair nauli ziko juu mlima. Yaani nikienda ni kuwa nimalize hela yote nauli afu nibet kupambana ama nisiende Nikabwaga nikamcheki mwanangu tena @eddygotya nataka kwenda Dubai Akanambia nenda Dubai focus sana lakini kuuza LAPTOPS. LAPTOPS zina hela miezi nne tu gharama zako zitarudi Uzuri mambo ya kumarket kwangu sio issue nna watu 1200+ daily wanaangalia whatsapp yangu Kukosa mteja labda nirogwe. Siku hiyohiyo nikamuomba mtu wa VISA nikalipia. Hapo sikuwa na dusko nimetoka kupata mtoto costs kibao bima tu Kenya namlipia ka 2m, dogo mapassport nini mambo buku sielewi. Nikachek line zangu mbili wakanipa Dusko niAfford bills za hapa na pale. Mungu hatoki twitter aisee week ya kwanza mauzo bampa to bampa hapo ni whatsapp tu. Offcourse challenges hazikosekani kama hii niliibiwa hapa😂 (nitter.cf/gabyconscious/status/1…) Hadi leo me hizi X sijui insta napost tu for visibility ila nauzia 𝙬𝙝𝙖𝙩𝙨𝙖𝙥𝙥. (Learn Whatsapp marketing👉🏾 youtu.be/1ER2REhfhMM?si=uLjm…) Mwezi wa kwanza nikaishi Nikarudi afu after few weeks nikarudi sasa nipambanie 𝙐𝘼𝙀 𝙄𝘿 ili nisisumbuke kuomba VISA kila mara Maana trip hii plan ni nipate ghetto(bedsitter) kwa ajili ya kukaa ila pia iwe office kwa maContent yangu. Hii haikuwa ngumu maana tayari watu wangu wa karibu washaona mzigo nnaopiga, sales nafanya. Wakatia mzigo. Bana Mungu sio Mark Zuckerberg😅. Round hii mambo ikajipa Process ikaanza 👇👇
Safari ya MATUMAINI iliotaka kukatishwa siku ya Kwanza. Well Day 1 bana nimefika tu Dubai nikapata Order. Kuna jamaa sijaionana nae in-person ila ananiaminia kishenzi Akanambia bro nimeona uko Dubai nitafutie simu i15 pro. NILIFURAHI Kichizi. Kumbe MATESO ndo yanaanza😆👇
97
405
42
1,196
207,073
CreatorStore retweeted
JUSTICE THE AMERICAN WAY. 🇺🇸🔥
19,889
20,319
16,386
129,179
65,530,806
FINALLY, Nimeweza kuhama for 2yrs nitaishi UAE☺️. INAWEZEKANA mwanangu ukiweka NIA. Mpuuzi yoyote asikuambie huwezi mwanangu Ng’ombe wa maskini sijui nini nini hauwezi KU-WIN😂
148
82
10
685
58,187
I hope you’re safe behind bars and come back stronger @Sirjeff_D 💪🏽
8
23
2
125
3,644
Habari ndugu zangu humu ndani, kuna project nimekua nikiifanyia kazi kwa muda kidogo, nilianza kuitumia mimi binafsi kwa kusolve changamoto nilizokua nazipata kwenye biashara na imeweza kunisaidia kwa kiasi kikubwa… 🧵
1
13
35
3,522