Cuba ink (@Cubaink1) header
Cuba ink (@Cubaink1) profile picture

house of MUSIC 🎶 we post LIFE and MUSIC

Joined October 2022
Photo by Cuba ink (@Cubaink1)Photo by Cuba ink (@Cubaink1)Photo by Cuba ink (@Cubaink1)Photo by Cuba ink (@Cubaink1)Photo by Cuba ink (@Cubaink1)Photo by Cuba ink (@Cubaink1)Photo by Cuba ink (@Cubaink1)Photo by Cuba ink (@Cubaink1)Photo by Cuba ink (@Cubaink1)Photo by Cuba ink (@Cubaink1)
Uki follow na follow back
24
62
1
132
3,217
Cuba ink retweeted
life ya bongo is all abt seeing the game, the lies & the patterns ila uact dumb ndio usurvive.
14
1
44
603
Good morning Katika maisha usishindane na watu shindana na muda wako Kila siku jitahidi kuwa bora kuliko jana Maana mwisho wa siku mafanikio yako ni jukumu lako si la mtu mwingine
8
12
16
87
Cuba ink retweeted
Anaitwa SALOME MUSA ni mdogo wangu amepotea jumapili ya tare 22 akiwa nyumbani kwake muda wa watu kwenda kusali,ni mkazi wa Kijiji cha Meshugi kata ya MKALAMA wilayani GAIRO Mkoa wa MOROGORO. Popote ukimuona tahadhari waliana nasi kwa namba 0744289072 au mfikishe kituo polisi.
9
14
1
40
1,895
Usaliti umepitwa na wakati
Bro, kuwa na mtu anayetaka kumpenda Mungu pamoja nawe Tafuta mtu atakayeomba pamoja nawe na kukuombea, upendo una ladha ya kipekee pale Mungu anapokuwa katikati yenu. Usaliti umepitwa na wakati Mtindo mpya ni kutulia na mwanamke mwema, kumkaribia Mungu zaidi, kutafuta pesa
1
2
138
Cuba ink retweeted
Be honest, which country has the best street food? 🍛🔥 🇹🇿 Tanzania 🇰🇪 Kenya 🇺🇬 Uganda 🇷🇼 Rwanda 🇧🇮 Burundi 🇨🇩 DR Congo 🇳🇬 Nigeria 🇿🇦 South Africa 🇿🇲 Zambia 🇿🇼 Zimbabwe 🇲🇼 Malawi
11
28
2
51
3,549
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
17
121
2
123
1,451
Cuba ink retweeted
Anko GOOD MORNING Hivi ndo unavyoonekana ukiwa huna HELA
5
7
11
85
Glory to God.... 🌹🌲🕊️🕊️ Ninakushukuru ewe baba wa mbinguni kuniwezesha kuiona siku mpya ya leo🙏🙏 Good morning everyone 🥂🌅🌅
15
25
28
120
Cuba ink retweeted
Tuzichape leo
1
3
9
190
Kila Mtu Ana Vita Yake, Mungu Awape Ushindi Wale Wanaopambana Kimya Kimya. ❤️🙏 GOOD MORNING FAM 🤲🏽
10
17
26
398
BRO TO BRO Thamani yako kama mwanaume ni utu, tabia njema, msimamo, na uwezo wako wa kuwajibika na kutoa mchango chanya kwa maisha yako, familia, na jamii zaidi ya mali au muonekano wa nje Misingi Muhimu ya Thamani ya Mwanaume 👇
5
28
67
2,226
Cuba ink retweeted
Ukishazaliwa mwanaume jukumu lako duniani ni kutafuta👇 Unatafuta elimu & maarifa Unatafuta kazi Unatafuta connection Unatafuta mke Unatafuta mali Unatafuta ardhi Unatafuta nyumba Unatafuta watoto Unatafuta amani Unatafuta hadi usingizi Bro, kitu pekee kinachokutafuta ni KIFO😩😢 Endelea kusema ni meme 😂😂🙌
16
30
1
99
2,953
25/11/2026 Jumatano hii iwe ya Baraka Amani na Furaha kwako pamoja na familia yako
10
26
35
492
Good morning Usikubali ugumu wa maisha ukubadilishe na kuwa mtu asiye na huruma Pambana kutafuta maisha lakini usipoteze utu wako kwa sababu ya pesa
21
30
35
363
Anko GOOD MORNING Hivi ndo unavyoonekana ukiwa huna HELA
5
7
11
85
𝗠𝗮𝗺𝗯𝗼 𝘆𝗮𝗻𝗮𝘆𝗼𝗸𝘂𝘇𝘂𝗶𝗮 𝗸𝘂𝗷𝗲𝗻𝗴𝗮 𝗯𝗿𝗮𝗻𝗱 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝕏. Here’s my POV: 🧶👇🏾
3
8
20
278
Kwani yuda alikua anataka kununua nini mpaka akadaka ule mchongo wa kusaliti mwanae yesu..
12
38
1
85
1,336
Hakika nyota njema ujionesha muda inapoaangaza 👏👏👏 Ahsante Mungu kwa baraka zako 👏 Good morning watu wa Mungu 🖐✋️🫱🫲
15
21
33
455
Cuba ink retweeted
True love sio hawa machoko wakina mondiiiii
3
1
7
268
Cuba ink retweeted
Sasa ulikuwaga unapata division one ili iweje sasa 😂😂🙌 Good morning God's people 🙌
10
18
23
367