Inawezekana unawaona ni rafiki kwasababu umeamua kuwaita marafiki. Na si kwasababu ni marafiki.
1
61
Nitengeneze app ambayo ukiweka details za msichana unayemjua inakwambia % ngapi anafaa kuolewaโฆ below 65 percent huyo ni gaidi.๐ง
40
Ukitaka kuoa hakikisha unamjua huyo mwanamke vizuri.. haiwezi kuwa 100% lkn atleast 75% ya uyo mtu uwe na uhakika nayo.
3
61
Moja kati ya njia rahisi za kujua km mwanamke unayetaka kumuoa unampenda kweli; kunywa pombe lewa kabisa.. kama utaendelea kumuwaza yeye basi unampenda kweli.
1
71
Kuna mfano mmoja inasemekana stalin aliutumia.. alichukua kuku akamnyonyoa akiwa hai. Baada ya maumivu makali na baridi akamrushia punje za chakula. Kuku akanza kumfuata.
Ccm inatunyanyasa na kututesa kila siku, lkn siku ikirusha punje za chakula, tunasahau.
Shame onto us.
Hizi siku za usoni Makamu wa Raisi ameonekana akiwa upande wa Wananchi, Watu wa Interijensia hii ni Kweli au ni mtego?๐
102
The most fucked up theory in from would be if all this in not real and probably a dream. Please God dont let this theory be true.
21













