Mali inaweza kurithiwa, Nyumba inaweza kuuzwa, lakini kumbukumbu ya wema wa mtu inaweza kuishi vizazi vingi. Pumzikeni kwa amani ndugu zetu, jamaa na marafiki tuliowapoteza 29/10/2025
VIDEO:
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Hugo Kitima, amewataka Watanzania kutubu na kujirekebisha kutokana na matukio ya mauaji yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu ili kuzuia madhara kama hayo kujirudia.
Padre Kitima ametoa wito huo leo Oktoba 29, 2026 wakati wa adhimisho la Misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza umuhimu wa kujifunza kutokana na yaliyotokea badala ya kuangalia yajayo bila kukiri na kurekebisha makosa ya nyuma.
Amesema Kanisa lina wajibu wa kuwakumbusha waumini na jamii kwa ujumla umuhimu wa kutubu, kujirekebisha na kurejea katika misingi ya kutenda mema.
Akizungumzia athari za matukio hayo, Padre Kitima ameeleza maumivu yanayoendelea kuzikabili familia zilizopoteza wapendwa wao, akitoa mfano wa mtoto aliyeshiriki mahafali ya Kidato cha Nne bila wazazi wake, ambao alielezwa kuwa waliuawa nyumbani kwao Oktoba 29.
Amesisitiza kuwa Watoto na familia zilizoathirika wanahitaji kupewa matumaini, lakini matumaini hayo yanapaswa kwenda sambamba na toba na mabadiliko ya kweli katika jamii
Aidha, Padre Kitima amesema kuwa jamii inapaswa kujifunza kutokana na historia na makosa yaliyotokea ili kujenga mazingira yanayoheshimu uhai wa binadamu na kuzuia matukio ya mauaji kujirudia.
The mandevu retweeted
Tuna jamii ambayo haioni #Boriti kwenye jicho la serikali, watawala
na dola.
Lakini inaona #Kibanzi kwenye jicho la wanaharakati/wapinzani na raia wanaokosoa na kukemea maovu ya serikali, watawala na dola.
#NB Boriti ni kubwa kuliko kibanzi.
Anzeni kwenye Boriti kabla ya kibanzi.
Jamii inayaona matusi na lugha kali za wakosoaji wa serikali.
Lakini haioni mauaji yanayofanywa na dola & serikali.
Yaani unaumizwa na kuchukizwa na matusi ya Sativa, kuliko unavyoumizwa na ukatili wa mtu aliyempiga risasi ya kichwa🤷♂️
Tuwe wakweli
kipi kilipaswa kikuume zaidi hapo?🤷♂️
Unamkemea mchizi asitukane,
its okay…lakini kwanini humkemei aliempiga risasi?🤷♂️
Tusi linaweza kuuma kuliko shambulio la risasi ya kichwa?
(Boriti ni kubwa kuliko kibanzi)
Jamii inaumizwa na lugha kali za wapinzani wakikemea maovu.
(kwa kuziita ni matusi/uchochezi/uchonganishi)
Kuliko inavyoumizwa na muuaji aliyesababisha mama anazika nguo za mwanae kwa maana hajauona mwili wa mwanae mwaka wa tatu sasa.
Ni kama jamii inachagua ku~attack upande inaoumudu, na sio upande unaostahili lawama.
Huchukizwi/Hukemei anaesababisha tatizo kwa vitendo, unachukizwa na anaye~react kwa maneno/mdomo.
Tusi/lugha kali/An aggressive tone
haviumi kama
-Shambulio la risasi kwa Sativa
-Mauaji ya Mzee Kibao
-Utekwaji wa Mdude & Soka & HP
-Mauaji ya watu 500+ Oct 29th
-Utekwaji wa Twaha Mwaipaya
Kabla ya kuwakemea hawa tunaowaona wanatukana, tuanze kwanza kuchukizwa na kukemea hawa wanaoua na kuteka na kuwapa kesi ndugu zetu!!
BORITI > KIBANZI
The mandevu retweeted
HABARI:
Picha zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidaiwa kumuonesha aliyekuwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwa nchini Dubai kwa mapumziko, zimeibua maswali kuhusu uhalisia wake.
The mandevu retweeted
Wahuni wamemuotea Homeboy wangu😔
Haya mambo yanaumiza sana, tumekua tukiyakemea kwa miaka sasa.
Hatutaacha, hatutachoka kuendelea kuyakemea.
Unapoona matukio kama haya usiache kukemea, nitakwambia kwanini!!
Hili genge la watekaji halitumiki kuteka tu wapinzani, wanaharakati wanaoikosoa serikali na wanaojihusisha na siasa NO.
Ni genge hili hili hutumika na litatumika kuteka, kupoteza na kuua watu kwa sababu za kimahusiano, biashara na mambo mengine kwa maslahi ya watu fulani.
Usiamini, usipuuze, usifurahie na kujiona uko salama kwa sababu tu hujihusishi na siasa au hukosoi watawala na serikali….
NO BODY IS SAFE MY DEAR.
Ipo siku utaingia kwenye 18 zao either kimahusiano, kibiashara, kinamna yoyote ile….na utapitia mateso haya haya wanayopitia wanaharakati!!
Huu sio utamaduni wa kuu~entertain au kuukalia kimya utaendelea kuota mizizi hadi kizazi kijacho!!
Tuungane kwa pamoja kuupinga!!
Twaha…….it hurts to look at your pictures without knowing where you are or what you’re going through.
I pray for your safety and may the blood of Jesus protect you.
We want to hear your voice and see you smile again.
Come home safely home boy ❤️
The mandevu retweeted
Mimi bado kuna kitu kimoja nashindwa kukielewa.
Ni nini haswa ambacho Rais Samia anajaribu kukifanikisha?
Ni ipi haswa sababu yake ya msingi ya kuendelea kuteka na kuumiza watu ikiwa ana kila kitu anachokihitaji?
Kuna kingine cha ziada ambacho kitaongezeka juu ya kile alichonacho sasa?🤔🤔
End goal ni ipi haswa?🤔🤔🤔
The mandevu retweeted
Usiku kucha tumejitahidi kufanya mawasialiano na vyombo vinavyohusika Kenya ili kuweza kupata taarifa ya aliko Twaha Mwaipaya.
Tunajua serikali ya Kenya haina sababu ya kumteka Twaha.
Lakini pia tunajua sio rahisi hawa watekaji waingie Nchi nyingine wamchukue mtu bila kusaidiwa na watu wa serikali hiyo .. tunamsihi Rais @WilliamsRuto na serikali yake wasaidie kuhakikisha Twaha anapatikana akiwa mzima.
Hili litakua doa kubwa sana kwa serikali ya Kenya kuruhusu watekaji kuingia na kumchukua mtu ndani ya mipaka yao.. Kenya ni Nchi ya kidemokrasia kama mtu amekimbilia kwenu na kupata hifadhi hawezi kutekwa akiwa Kenya.
Familia tano au sita zimeteka Nchi yetu zinaua, kuteka na kunyamazisha kila mtu anetoa sauti kupinga uovu.
Watanzania tusikubali tena huu ujinga.
Tunamtaka Twaha akiwa mzima kabisa.
The mandevu retweeted
Tunajua Twaha Mwaipaya amechukuliwa na vibaka wa muuwaji Samia Suluhu. Uhalifu mliowatendea Watanzania hamtauzimwa kwa kuteka au kuuwa wakosoaji. Sisi sio subjects wenu na kaeni mkijua hatutawapigia magoti. Muachieni Mwaipaya mara moja!!
#FreeTwahaMwaipaya
The mandevu retweeted
Tuheshimiwe WANAHARAKATI tunaendelea kufanya HARAKATI bado tukiwa AFRICA.
Unahisi TWAHA hakutaka kwenda mbali na Africa akafanya HARAKATI zake bila kuchoka?
Kuna mambo YA KISENGE yanaendelea kuyaongea tutatoana kwenye reli ya kupambania HAKI.
Ila TUHESHIMIWE SANA na tunaweka maisha rehani kwa kiasi kikubwa. Kwa upande wangu sijali kitu kwasababu NILIKUFA tayari.
"Fanya mpango uondoke" mnahisi ni kama kuenda Ubungo sio?
Hao mnaoona kama wanawasaidia watu ni WASENGE NAMBA MOJA kwenye kujali usalama wa watu waliopo kwenye RISK.
Ndiomaana kuna time tunaamua kufanya maisha mengine tufukuze njaa tusifikike kirahisi waishie kusema "Nairobi sio mbali".
Kiuhalisia TUNASOGEZA SIKU MBELE TUU ila ni kubaya.
#FreeTwahaMwaipaya
The mandevu retweeted
Tusambaze huu ujumbe kwa REPOST ZA KUTOSHA labda wakenya watatuelewa.
#FreeTwahaMwaipaya
The mandevu retweeted
Bora mimi SATIVA najulikana kijana wahovyo nina matusi, sina heshima labda kwa sifa hizo nikose sifa za KUSAIDIKA.
TWAHA kijana wa CHADEMA, Chadema wanajua Katibu wao mstaafu wa BAVICHA yupo hatarini mwaka sasa wamekaa tuu.
Mna vyama washirika dunia NZIMA mnashindwa kusaidia wanachama wenu?
Ilikuwa kwa ndugu yangu SOKA MWAKA JUZI, Ikawa kwa ndugu yangu MDUDE MWAKA JANA, Sasa ndugu yangu TWAHA.
Hamshtuki????????
Sisi wengine tushakufa mnaweza kutupuuza, wafikirieni watu wenu. Leo ASSET kama TWAHA mnaipoteza kirahisi tuu.
SHAME ON YOU CHADEMA.
#FreeTwahaMwaipaya
Binasfi nahisi umaskini nitakufa nao sababu furaha yangu sio pesa, furaha yangu nikuona manyumbu wanakosa furaha.😂
The mandevu retweeted
‼️MWAIPAYA AMETEKWA‼️
Kamanda Twaha Mwaipaya ametekwa na Watu wasiojulikana muda mchache uliopita akiwa maeneo ya Kamulu road - Nairobi.
Watekaji walikuwa wamevaa kiraia na usoni walivaa Musk, walikuwa na gari tatu ambapo waliblock gari ambayo alikuwa amepanda Mwaipaya, Kisha wakamshusha na kuondoka nae.
Kwa mujibu wa mashuhuda wanasema mfumo uliotumika ni kama ilikuwa Operation, kuna wasiwasi wa simu kufatiliwa ( Tracking ) suala ambalo linaibuwa maswali makubwa sana kuhusu usalama wa Wageni wanapokuwa Nairobi.
#FreeTwahaMwaipaya






















