Pinned Tweet
Hata kesho nikipotea JESHI LA POLISI TANZANIA LINAHUSIKA. @tanpol
Hawa ndio walioniteka mara ya kwanza 23/6/2024, walitaka waniue kwa kunipiga RISASI YA KICHWA MBUGA KUBWA YA HUKO MKOANI KATAVI IKASHINDIKANA.
HII TWEET MUITUMIE KUWASHTAKI HATA NISIPOKUWEPO.🤝
SIR TIVA retweeted
Leo ni siku ya tano Twaha Mwaipaya bado hajapatikana tafadhali tuendelee kumpazia sauti
Tuendelee kumuomba Mungu amfanyie malango
Usilale bila kumuombea Mwaipaya,
Usilale bila kuombea Hukumu ya Mhe. Tundu Lissu.🙏🏻
#FreeTwahaMwaipaya
SIR TIVA retweeted
Missing since #MO29
Your justice will be served, Deoda... Till we meet again🕊️
SIR TIVA retweeted
Huyu mtoto aliuwawa kwa risasi #MO29, Samia akasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi kabisa.
SIR TIVA retweeted
KISWAHILI🇹🇿 OKTOBA 29 -MWAKA MMOJA BAADAYE. TUNAKUMBUKA. TUNAOMBOLEZA. TUNADAI HAKI. 🕯️
Leo ni mwaka mmoja tangu mojawapo ya siku za giza kubwa katika historia ya Tanzania, ambapo watu wengi walipoteza maisha Oktoba 29, 2025.
Kuomboleza na kuheshimu roho za waliopoteza maisha pia kutoa taarifa kuhusu juhudi tunazoendelea kufanya nyuma ya pazia kutafuta haki kwa waathiriwa na familia zao.
Leo tunaomboleza pamoja. Tunawakumbuka wote waliopoteza maisha, natoa pole zangu za dhati kwa familia zilizofiwa, na tunasimama pamoja na wote wanaoendelea kudai ukweli na uwajibikaji.
Juhudi zetu zinaendelea hata pale ambapo hazionekani hadharani. Hatutawasahau waliopoteza maisha, wala hatutaacha kuzungumza kwa niaba yao. Kila maisha yana thamani. Kila familia inastahili majibu. Wote waliohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu wanapaswa kuwajibishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za haki.
🕯️ TUNAKUMBUKA. TUNAOMBOLEZA. HATUTANYAMAZA.
Tunaziombea familia zinazoendelea kuomboleza zipate nguvu na faraja. Tanzania inastahili ukweli, haki, utu na heshima kwa maisha ya binadamu.
#Oktoba29 #Tanzania #HakiKwaTanzania #Tunakumbuka #Tunaomboleza
SIR TIVA retweeted
Tanzania Massacre Remembrance Day in the UK, in front of the High Commission House in London
Nguvu ndogo ilikuwa ipi? Samia, 2 December 2025. Confidently acknowledged in public that the force she used to massacre Tanzanians was right. Unapologetically killed thousands of people who boycotted general election, and sworn herself as president. #SamiaMustGo
SIR TIVA retweeted
" The Kenyan Government is the one that gave Twaha to Tanzanian Authorities, "- Francis Auma!
Tatizo MPINA upo serious sana kuliko ZZK.
"Chama cha ACT Wazalendo hakiwezi kwenda kwenye Maridhiano bila ukweli, haki na uwajibikaji."
Naibu Waziri Mkuu wa @ACTwazalendo
Luhaga Mpina
#Ukweli #Haki #Uwajibikaji
SIR TIVA retweeted
"Chama cha ACT Wazalendo hakiwezi kwenda kwenye Maridhiano bila ukweli, haki na uwajibikaji."
Naibu Waziri Mkuu wa @ACTwazalendo
Luhaga Mpina
#Ukweli #Haki #Uwajibikaji
SIR TIVA retweeted
29/10 TO THE FALLEN HEROES 🕊️
Gone but never forgotten, Your sacrifice will forever live in our hearts.
May your souls rest in eternal peace.
We Remember. We Honour. We Will Never Forget. 🙏
SIR TIVA retweeted
Roho za wote waliouawa katika zile siku tano za majonzi, kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 zipumzike kwa amani ya milele.
Bwana azifariji familia zinazoomboleza, hasa zile ambazo bado zinawatafuta wapendwa wao waliopotea. Awaponye waliojeruhiwa na kuwaimarisha wote wanaoendelea kubeba uchungu wa siku zile za maafa.
Ee Bwana, uwajalie pumziko la milele, na mwanga wa milele uwaangazie. Wapumzike kwa amani. Amina.
SIR TIVA retweeted
Kenya was once a safe haven for people seeking asylum, but ever since this government came to power, East African dictators have been working together to hunt down human rights defenders across borders, abduct them, jail them, torture them and even have them murdered.
Twaha, a Tanzania HRD was abducted in Kenya and we don’t know where he is !
SIR TIVA retweeted
Clouds ata msipo mkumbuka master tidwa sisi hatutochoka
R. I. P MASTER WA CLOUDS FM 29/10/2025
Repost bila kuchoka ✌️ @CloudsMediaLive
SIR TIVA retweeted
Thank you Norway, US and UK for standing with the People of Tanzania
You are true partners not emablers of the illegitimate govt
@usembassytz @NorwayMFA @UKinTanzania
Jamani mataifa yameelewa fika kuwa kwq sasa wanahitaji kusimama na WANANCHI siyo watawala HARAMU
#WeShallNeverForget #TanzaniaMassacre #NoJusticeNoPeace
#Hatutasahau
SIR TIVA retweeted
The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) has condemned the alleged abduction of Tanzanian political activist Twaha Salim Mwaipaya in Machakos County on October 25, saying his disappearance raises concerns about the safety of dissidents and refugees in Kenya.
standardmedia.co.ke/crime-an…
SIR TIVA retweeted
MSAIDIZI WA LISSU ALIYETEKWA AFUNGUKA MAZITO KUMBUKIZI YA WATU WALIOUAWA OKTOBA 29
SIKILIZA ZAIDI: youtu.be/hbbciGkgHb4?si=fFih…
Report ya Uchunguzi wa DW kuhusu Mauaji ya Watanganyika Oktoba 29, 2025.💔
#Mo29 #TanzaniaMassacre
Huwaga nashangaa sana mtu anapojiona yupo salama TANZANIA.
Kila siku nasemaga "KILA MTU ATAFIKIWA TUU NA UTEKAJI NI SUALA LA MUDA TUU".
Sasa tutegemee MADEREVA kugoma tena nchi nzima baada ya siku 3 kwasababu ya UTEKAJI unaoendelea nchini.
Na hawa wakigoma nadhani kila mtu anajua mziki wake. Hii ndio njia mliyochagua kuendesha nchi sio?
Tutafika tuu..!
ASANTENI MADEREVA UJUMBE UMEFIKA.
REPOST 200




























