Celestine Simba (@Celestine_Simba) profile picture

Mgombea ubunge jimbo la ULANGA 2020 (CHADEMA)na SPIKA WA BUNGE LA WANANCHI.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2018
Celestine Simba retweeted
Thank you Norway, US and UK for standing with the People of Tanzania You are true partners not emablers of the illegitimate govt @usembassytz @NorwayMFA @UKinTanzania Jamani mataifa yameelewa fika kuwa kwq sasa wanahitaji kusimama na WANANCHI siyo watawala HARAMU #WeShallNeverForget #TanzaniaMassacre #NoJusticeNoPeace #Hatutasahau
11
170
5
492
10,900
Celestine Simba retweeted
Nasadiki kwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki na la Mitume.🙏❤️ #Mo29 #TanzaniaMassacre
34
336
11
1,760
45,780
Celestine Simba retweeted
8
267
3
1,402
24,831
Celestine Simba retweeted
Huyu Dada ameniliza sana. Haya ndo maumivu ambayo maelefu ya kina mama ambao walipoteza waume na watoto wao siku ya Oktoba 29, 2025. Kutazama full documentary bonyeza lini hii hapa youtu.be/izWs1lJ4QrI?si=dx8_…
13
187
5
615
15,199
DAIMA TUTAWAKUMBUKA MASHUJAA WETU
2
56
192
1,646
Kila tone la damu yenu litalipwa. Rest easy our beloved one's
1
68
Celestine Simba retweeted
#FreeTwahaMwaipaya We keep fighting for his safe release! Hakuna kukata tamaa! #FreeTwahaMwaipaya
6
197
7
393
9,552
Celestine Simba retweeted
1
27
1
106
822
Celestine Simba retweeted
Dunia nzima habari ambayo inatrend ni tukio la kutekwa Twaha Mwaipaya. Tuendelee kupaza sauti #FreeTwahaMwaipaya
9
232
3
834
14,768
Asante Amnesty Kenya kwa kuungana nasi, kumtafuta ndugu yetu Twaha Mwaipaya
22
42
886
Celestine Simba retweeted
‼️HABARI MBAYA‼️ Huyu kwenye picha anaitwa Yahaya Said Mbaga, ni mkazi wa Ituha-Mbeya. Amepoteza maisha baada ya kupata ajali ya gali maeneo ya Ituha relini, majirani zake wanasema kwao ni Mlola- Tanga lakin hawamfahamu ndugu zake so kama kuna yoyote ambae anamfahamu huyu kijana tafadhali nichek DM. Naomba nisaidie kurepost huenda tukawapata ndugu zake.
5
162
6
431
71,418
Celestine Simba retweeted
Tunashukuru WAKENYA wanaoungana nasisi kwenye kipindi hiki kigumu. #FreeTwahaMwaipaya Repost 200
9
309
5
1,071
17,330
Celestine Simba retweeted
Leo #MariaSpaces tunajadili: #MO29 - Maamuzi Mazito Mwaka jana wameua sana na hata miili ya ndugu zetu hawajaturudishia! Wameendelea mwaka mzima na utekaji, mauaji na dhulma! Wamegoma kusikiliza sauti za hekima hata miongoni mwao Siku 3 zimebaki - tufanye maamuzi ! Leo saa 2 uck
1
69
191
6,480
Celestine Simba retweeted
Tuache kulia na kuogopa - Mungu wetu yu hai! Twaha yupo ndani ya mipaka ya Kenya! Wananchi wa mpakani hadi zile njia panya sogeeni! Wao pia wamejificha maana kwa sasa wanasakwa na mamlaka! Hii nawaambia 💯 tupambane - no soldier left behind! Another confirmation from 🇹🇿 intelligence - Twaha is still within Kenya Keep the borders sealed! We need everyone to be on the lookout! We need MASSIVE noise and search! We will also share possible locations of their hideout! #FreeTwahaMwaipaya
47
298
7
1,124
63,070
Celestine Simba retweeted
Tusambaze huu ujumbe kwa REPOST ZA KUTOSHA labda wakenya watatuelewa. #FreeTwahaMwaipaya
12
773
7
1,633
24,235
Celestine Simba retweeted
Usiku kucha tumejitahidi kufanya mawasialiano na vyombo vinavyohusika Kenya ili kuweza kupata taarifa ya aliko Twaha Mwaipaya. Tunajua serikali ya Kenya haina sababu ya kumteka Twaha. Lakini pia tunajua sio rahisi hawa watekaji waingie Nchi nyingine wamchukue mtu bila kusaidiwa na watu wa serikali hiyo .. tunamsihi Rais @WilliamsRuto na serikali yake wasaidie kuhakikisha Twaha anapatikana akiwa mzima. Hili litakua doa kubwa sana kwa serikali ya Kenya kuruhusu watekaji kuingia na kumchukua mtu ndani ya mipaka yao.. Kenya ni Nchi ya kidemokrasia kama mtu amekimbilia kwenu na kupata hifadhi hawezi kutekwa akiwa Kenya. Familia tano au sita zimeteka Nchi yetu zinaua, kuteka na kunyamazisha kila mtu anetoa sauti kupinga uovu. Watanzania tusikubali tena huu ujinga. Tunamtaka Twaha akiwa mzima kabisa.
47
499
14
1,573
68,457
Celestine Simba retweeted
Mpaka sasa bado hatujafanikiwa kumpata Twaha Mwaipaya, hatujui watekaji wamempeleka wapi tuendelee kumuomba Mungu na kumpazia sauti huenda sauti zetu zikasaidia akapatikana #FreeTwahaMwaipaya
4
133
4
391
6,276
Celestine Simba retweeted
WAKENYA hii ishu tunataka iishe salama kwa kutupa ndugu yetu akiwa mzima si vinginevyo. REPOST 200 #FreeTwahaMwaipaya
3
328
3
1,087
10,974
Chama changu pendwa, hatuna cha kupoteza zaidi ya kuipoteza hofu. Niwaombe tuitishe maandamano. Tuwatoe hao wauaji kwenye comfort zone. Uoga ni dhambi.
23
49
939