John Heche (@HecheJohn) header
John Heche (@HecheJohn) profile picture

Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.

Tarime, Mara, Tanzania.
Joined April 2012
Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)Photo by John Heche (@HecheJohn)
Mnaua watu kwa maelfu, Mnateka watu na kuwapoteza. Mnaiba uchaguzi kwa nguvu.. Alafu mnasema kuna watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali!!!! Hivi mnawaona Watanzania ni wajinga? Kwamba Mataifa ya nje ndio yaliwatuma kuiba uchaguzi ambao hamjashinda!!!! Watu sio sisimizi mmeua lazima muwajibike.
106
1,181
9
2,803
211,560
Huyu mtoto aliuwawa kwa risasi #MO29, Samia akasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi kabisa.
2
26
76
1,229
John Heche retweeted
Jumuiya za Balozi kubwa zinatuma pole, Rais anayepewa poleni anatuma pongezi za ziara.
9
17
1
133
5,681
John Heche retweeted
PRESS STATEMENT @HakiKNCHR has expressed grave concern regarding the reported abduction of Tanzanian political activist Twaha Salim Mwaipaya in Machakos County. According to reports received by the Commission, Mr. Mwaipaya was traveling in a taxi on Sunday afternoon, October 25, 2026, to visit friends in Kamulu. At approximately 2:00 p.m., his vehicle was intercepted by unidentified individuals. Captors forcefully removed him from the taxi and drove him away in a three-vehicle convoy. His current whereabouts remain unknown. Mr. Mwaipaya had fled Tanzania for Kenya in 2025 out of fear for his life and safety. The Commission warned that this incident reflects a alarming pattern of enforced disappearances, abductions, and unlawful cross-border transfers targeting individuals living or seeking sanctuary in Kenya. It noted several similar cases over the past two years, including the gunpoint abductions of Tanzanian nationals Maria Tsehai Sarungi and Mshabaha Hamza in Nairobi. Furthermore, in October 2024, Kenya’s Foreign and Diaspora Affairs Principal Secretary acknowledged the repatriation of four Turkish refugees following their abduction in Nairobi, and in November 2024, Ugandan opposition leader Dr. Kizza Besigye was reportedly abducted in Nairobi and forcibly transferred to Uganda. (READ MORE) #hakikwawotekilawakati
1
54
3
65
2,410
John Heche retweeted
And recall some exiled Nigerian blogger was paid to make a 'documentary,' a piece of state propaganda masquerading as journalism to sanitize these atrocities in #Tanzania. The efforts to sanitize @SuluhuSamia's brutal 2025 electoral violence has failed. bbc.com/news/articles/cqdr8m…
2
20
2
42
1,586
Roho hizi lazma zipate haki, waliochukua roho hizi lazma wawajibike. Hatutotulia mpaka haki ipatikane… WATANZANIA MSIKUBALI EXCUSE ZOZOTE ZA WAUWAJI NA MACHAWA WAO,UKWELI NI KWAMBA WALIFANYA MAUAJI HAYA ILI WAENDELEE KUTUNYONYA NA KUJITAJIRISHA WAO NA FAMILIA ZAO…… HATA BAADA YA KUFANYA USHETANI HUU BADO WANATAKA TUNDU LISSU AWAPIGIE MAGOTI. ETI TUNDU NA FAMILIA YAKE WAWAOMBE MSAMAHA WATU WALIOFANYA USHETANI HUU…. @TunduALissu Baba yetu endelea na msimamo wako. Hawa mashetani TUTAWASHINDA!!!!!!!!!!
7
104
3
283
7,877
John Heche retweeted
KNCHR yataka mamlaka za Kenya kubaini aliko mwanaharakati wa Tanzania anayedaiwa kutekwa nyara bbc.in/3W7UPE4
1
28
134
2,607
John Heche retweeted
“Mauaji ya Oktoba 29, 2025 hayakuwa bahati mbaya, yalipangwa…”-; Sheikh #Mo29 #TanzaniaMassacre
5
111
477
12,145
John Heche retweeted
Tanzania: CHADEMA yatangaza siku saba za maombolezo bbc.in/3Uj08zX
5
90
1
484
5,987
John Heche retweeted
KNCHR has condemned the alleged abduction of Tanzanian activist Twaha Salim Mwaipaya in Machakos, warning that his disappearance raises concerns over the safety of dissidents and refugees in Kenya. standardmedia.co.ke/crime-an…
1
22
43
1,841
" The Kenyan Government is the one that gave Twaha to Tanzanian Authorities, "- Francis Auma!
116
2
277
3,948
#Tanzania: UN experts concerned that 1-year after post-election violence, victims still await publication of findings from Commission of Inquiry. “We condemn patterns of repression against civil society organisations, journalists & #humanrights defenders.” ohchr.org/en/press-releases/…
43
343
11
690
16,439
The Catholic Church has covered itself with so much glory since October 29, 2025, brave, unflinching, and absolute voice of reason. Asante sana Kanisa 🙏
10
138
2
573
19,764
John Heche retweeted
Ole wetu kama tutakubali kulambishwa damu iliyomwagwa na kusema yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Damu ya Ndugu zetu hawa itatulizwa kwa kufanywa uchunguzi huru na WA haki na ukweli kuwekwa hadharani. Wote waliohusika na mauaji hayo lazima wapelekwe kwenye vyombo vya Sheria na kuwe na uwajibikaji wa wote serikalini. Walioumizwa watibiwe na walipwe fidia ya haki vivyo hivyo kwa familia za waliouawa lazima zilipwe fidia ya haki. Kufanywa kwa hayo lazima kuongozwe na Watu wanaoaminika kutoka Jumuiya ya Kimataifa na si tume za mchongo za Chande na Lilla kwani aliyeziunda ndiye mtuhumiwa mkuu.
43
184
3,815
John Heche retweeted
VIDEO: Mjumbe wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Aboubakar Mgodo ametoa mwito wa kuwa wakweli, kuwajibika ili kuponya majeraha na maumivu yanayowakabili wananchi waliopoteza ndugu na waliotoweka wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu. Sheikh Mgodo ameyasema hayo leo, Oktoba 29, 2026, mkoani Dar es Salaam wakati wa Ibada maalum ya kuwakumbuka waliopoteza maisha, waliopotea, pamoja na majeruhi wa matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025. “Uongo hauwezi kutufikisha pazuri. Tunashauri vyombo vyetu, serikali yetu tuwe wakweli. Kosa linaweza kutokea iwe kwa bahati mbaya au makusudi, lakini baada ya kosa watu wanatakiwa wajirudi”, ameeleza Sheikh Mgodo.
33
124
4
465
24,634
John Heche retweeted
Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa Amani Golugwa leo Alhamisi Oktoba 29, 2026 ameshiriki Misa ya kuwambuka marehemu waliouawa Oktoba 25, 2025. Naibu na wanachama wengine walihudhuria misa hiyo kwenye kanisa kuu la Mtakatifu Joseph, jijini Dar es Salaam.
1
48
1
274
4,347
John Heche retweeted
A human rights group, Vocal Africa, has moved to the High Court to compel the state to produce missing Tanzanian critic Twaha Mwaipaya, who was abducted in Kamulu, Machakos County, by armed men. #NewsDesk
11
1
32
2,053
The Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) has condemned the alleged abduction of Tanzanian political activist Twaha Salim Mwaipaya in Machakos County on October 25, saying his disappearance raises concerns about the safety of dissidents and refugees in Kenya. standardmedia.co.ke/crime-an…
1
20
42
2,218
John Heche retweeted
Umesema ukweli wa Mungu Sheikh yaliyotokea hayakuwa ya bahati mbaya yalipangwa na hao walioko madarakani. Kauli zao za kabla, wakati, na baada ya Oktoba 29, 2025 ni ushahidi wa wazi kabisa kuwa walipanga kufanya mauaji hayo. Wanachofanya Sasa ni kuwahamishia makosa wasiohusika ili wao wawe huru. HAIKUBALIKI.
Sheikh ashindwa kujizua afunguka mazito kuhusu matukio ya Oktoba 29, 2025 amtaja Sharif Majini
5
46
165
3,596
#TanzaniaMassacre ​Exactly one year ago, tyrant and blood-soaked @SuluhuSamia deployed lethal force to brutally massacre civilians including children for her to cling on to power. ​We remember the innocent lives stolen by a greedy and the most violent Woman on earth.
1
21
56
689
John Heche retweeted
Families affected by election-related violence in Tanzania that led to the deaths of at least 500 people a year ago have told the BBC they want justice for those killed in the protests and help with medical expenses for those injured. the-star.co.ke/news/africa/2…
2
4
10
1,203