Day Waka45 retweeted
Hello Dears♥️ Ni kweli tunaishi katika dunia ambayo matukio na mazingira yanatunyang'anya ujasiri wa kuamini katika kesho iliyo bora zaidi ila kamwe usipoteze tumaini na imani yako ukiwa bado upo hai kwenye kila pumzi moja unayovuta nyuma yake kuna nafasi ya ushindi KAZA💪😍
Anko zangu
Vita Ya Kutafuta RIZIKI Haijawahi Kuwa Nyepesi Kwahiyo Jitaidi KUOMBA, Inawezekana Wewe Huna Shida Na Mtu Ila Watu Wana Shida Na Wewe.
Day Waka45 retweeted
Ni siku nyingine tena alotujalia Mungu kuiona, Ikawe ya Amani kwetu sote 🙏🏻.
Good morning to everyone.
Day Waka45 retweeted
Wakati sherehe za mashujaa wao zikipikwa na kuchochea, Ndivyo hadithi za mashujaa wangu zilizikwa na kupotea
29.10.2025 💔❤️🩹
Day Waka45 retweeted
Wapumzike kwa amani ndugu zetu wote ambao walitangulia mbele ya haki tarehe 29/10/2025.
Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani sisi bado hatujapona 💔🕊️
Day Waka45 retweeted
Mbele Yetu,nyuma yao,wape pumziko la Amani na milele Baba Mungu (OCT29)💔
MUNGU wetu mbariki na umpe Amani yoyote aliyeiona Siku ya LEO 🙏🙏
Anko kwa pamoja tuseme Amen 🙏🏽
Tuwaombee sana watu waliopata matatizo siku ya tarehe 29.10.2025 watu walipoteza maisha , wengine walipata ulemavu
Hii yote ili sababishwa na mjumuisho wa matukio mabaya kama nchi utekaji, ufisadi,rushwa, ukandamizaji wa haki, utawala mbovu.
Lakini yote hayo bado hayajafanyiwa kazi hii inamaana bado tunasafari ndefu sana kama taifa maana bado watu wanaishi kwenye maumivu makali sana
Nawaombea wote waliopoteza maisha Mungu wa binguni akawasamehe dhambi zao ili wauone ufalme wa mbinguni tunaomba hayo kwajina kwa jina la yesu wetu Christo aliye hai
Nawaombea pia walio pata changamoto za Kiafya kutokana na maandamano hayo Mungu awatie nguvu katika mapito hayo ili waimalike na kuwa katika hari zuri za afya zao . Amina.































