Adventure-360 (@Adventure_36) header
Adventure-360 (@Adventure_36) profile picture

Lawyer, Human Rights Activists, @simbasportsclub @ManchesterUnited Fan, Buses Fun, Buses Reporter 🚌

Joined February 2020
Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)Photo by Adventure-360 (@Adventure_36)
Suala la kuwa na afya njema unaweza kuona ni kawaida sana ila ukienda Hospital ndo utajua ukiwa na afya njema tu inatosha sana kumshukuru Mungu.
23
76
3
300
14,824
Adventure-360 retweeted
Good morning wana x Kama unauza na kununua accounts za x Njoo inbox 📥 Tunafanya kazi kwa uaminifu mkubwa mno🤝
9
17
241
Raha ya Pilau ni nyama ziwe nyingi Mambo ya kula pilau bubu sio sikukuu hii! Frida amuonee huruma dompinyo au amuache apambane na hali yake😃? Hiyo lini hiyo lini? Hiyo 31.10.2026 hiyo! #crdbbank #tunakusikiliza
3
11
13
687
Adventure-360 retweeted
Maria, Mama wa Rehema, waombee wale wanaohisi wametelekezwa na kusahauliwa na Mungu. Wakumbushe kwamba ukimya wake haumaanishi kutokuwepo kwake na kwamba upendo wake hautegemei hisia zao. Waongoze kwenye Moyo wa Yesu, mahali ambapo kila nafsi iliyojeruhiwa inapata pumziko. Amina!
2
4
69
Adventure-360 retweeted
Hii inaitwa #NikePegasus41 Ipo hapa hapa #JustFit karibuni.
3
1
65
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA CHUMA MBELE🔥🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44/45 ✅Bei 150,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo
3
19
19
257
Adventure-360 retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 35,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
12
57
2
54
574
Adventure-360 retweeted
Anza na Bwana.
3
8
234
Adventure-360 retweeted
Mungu atubariki harakati zetu Leo zikajipe 🤲
17
25
34
576
Kijana aliyejulikana kwa utoro shule na kujikimu kupitia mauzo ya gundi; akaibukia Chuo Kikuu cha Cambridge. Mtu aliyejulikana kwa kuvuta sigara 60 kwa siku, akabadili jina na kujiunga na Siasa na kuwa waziri Mkuu wa Singapore akiwa na miaka 35 tu. Lee Kuan Yew, akaitoa Singapore kwenye Umasikini wa kutupwa hadi kuwa Taifa lenye uchumi mkubwa duniani Lee Kuan Yew alizaliwa tarehe 16 Septemba 1923 nchini Singapore, wakati nchi hiyo ikiwa chini ya utawala wa Waingereza. Alisoma katika Chuo Kikuu cha Cambridge nchini Uingereza, ambako alihitimu sheria kwa mafanikio makunwa. Wakati wa Vita vya Pili vya Dunia (1942–1945), Singapore ilikaliwa na Wajapani, jambo lililomfundishaumuhimu wa uhuru na kujitawala. Baadaye, aliamua kuingia katika siasa ili kupigania uhuru wa nchi yake. Mwaka 1954, Lee Kuan Yew alianzisha chama cha People's Action Party (PAP) pamoja na wenzake, akiwemo Goh KengSwee na S. Rajaratnam. Mwaka 1959, chama chake kilishinda uchaguzi na Lee akawa Waziri Mkuu wa kwanza waSingapore akiwa na umri wa miaka 35. Alishirikiana na viongozi wengine kupigania mustakabali wa Singapore namwaka 1963 nchi hiyo iliungana na Malaysia. Mnamo tarehe 9 Agosti 1965, Singapore ilijitenga na Malaysia na kuwa taifa huru. Lee Kuan Yew alikabiliwa nachangamoto kubwa, zikiwemo ukosefu wa ajira, makazi duni, ukosefu wa rasilimali na mvutano wa kikabila. Kwakushirikiana na viongozi kama Goh Keng Swee na S. Rajaratnam, alijenga uchumi imara, kuboresha elimu, kuendelezaviwanda na kuvutia wawekezaji wa kimataifa. Katika uongozi wake, Lee alibadilisha Singapore kutoka nchi maskini yenye rasilimali chache na kuwa kituo kikubwa chabiashara, fedha na teknolojia duniani. Serikali yake iliwekeza katika elimu, huduma za afya, usafiri na makazi borakupitia mpango wa Housing and Development Board (HDB). Pia alisisitiza nidhamu, kupambana na rushwa, umoja wakitaifa na matumizi ya Kiingereza kama lugha ya pamoja. Hata hivyo, uongozi wake ulikosolewa kwa kudhibiti vyombovya habari na kupunguza nafasi ya upinzani wa kisiasa. Mwaka 1990, Lee Kuan Yew alistaafu kutoka nafasi ya Waziri Mkuu baada ya miaka 31 madarakani, akimwachia GohChok Tong. Aliendelea kuwa mshauri na kiongozi mwandamizi serikalini, huku mwanawe Lee Hsien Loong akija kuwaWaziri Mkuu mwaka 2004. Tarehe 23 Machi 2015, Lee Kuan Yew alifariki akiwa na umri wa miaka 91. Hadi leo,anakumbukwa kama mmoja wa viongozi waliobadilisha historia ya dunia kwa kuifanya Singapore kuwa taifa lenyeuchumi imara, maendeleo makubwa na ushawishi wa kimataifa. Legacy yake inabaki kuwa mfano wa maono, nidhamu nauongozi, ingawa mbinu zake za kisiasa zinaendelea kujadiliwa.
2
18
2
38
5,193
Adventure-360 retweeted
Tumshukuru Mungu kwa siku nyingine tena maana kumekucha🙏
7
12
17
277
Adventure-360 retweeted
Mungu bariki Maisha yangu Afya yangu Nyumba yangu Ndoa yangu Mahusiano yangu Kazi yangu Biashara yangu Elimu yangu Na mipango yangu yote iliyo mbele yangu 🙏🙏🙏
2
6
12
383
Adventure-360 retweeted
Mungu azidi kutufungulia riziki zetu kila itwapo leo, kwakazi bora na nzuri karibuni ofsn. 0787782522
1
4
6
105
Wakuu Naomba Repost 🙏♥ Njoo Upendeze kwa Bei Rahis Sana Maboss Wangu ☎0752777167 💰65000
7
52
1
53
510
Adventure-360 retweeted
Anko zangu Vita Ya Kutafuta RIZIKI Haijawahi Kuwa Nyepesi Kwahiyo Jitaidi KUOMBA, Inawezekana Wewe Huna Shida Na Mtu Ila Watu Wana Shida Na Wewe.
18
31
56
548
Adventure-360 retweeted
A Very Good morning and happy #Friday from your number one sports gear store #JustFit #FitnessFirst
1
9
8
121
Adventure-360 retweeted
Desturi ni ile ile kuamka na kumshukuru Mungu kwa uhai na afya njema🙏🙏 Good morning X family🖐
15
19
24
303
Adventure-360 retweeted
Big money never come clean, and clean money never come big🚶‍♂️‍➡️ Good morning Champs
23
25
34
457
Adventure-360 retweeted
Tumshukuru Mungu Kwa kutuamsha siku nyingine tena🙏
8
14
19
292
Adventure-360 retweeted
Omba Mungu siku yako ikabarikiwe kwa kila utakachoenda kukifanya. Good morning🙏
19
26
34
385
Adventure-360 retweeted
Mwajiri rahisisha malipo ya wafanyakazi wako. Lipa kwa Internet Banking CRDB kwa mkupuo unamaliza ndani ya muda mfupi. Wafanyakazi wako wanapata hela zao kwa muda mmoja #BenkiKimpangoWako
3
12
13
223