c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Over $20,000 in CASH prizes 💰
Traders, get ready for the biggest trading competitions!
The5ers, @The5ersFutures, @TradeThePool, and @TradeSetGo. are joining forces for the Trading World Championship 2026, the ultimate battle for traders worldwide (and much more).
🏆 Cash prizes
⚔️ Trading battles
🎁 Over $1,000,000 in Evaluation Accounts
The competition begins June 8th, and registration is free!
Every champion starts somewhere. This is your moment.
👉 JOIN NOW: lp.the5ers.com/twc-2026/
Kuanzia kumiliki pesa nyingi, magari ya kifahari, nyumba ufukweni, biashara, safari za nje ya nchi, freedom na mengine mengi,
Miaka 10 iliyopita aliweza kuzungumza vitu vyote atakavyovifanya kwenye maisha yake live pale youtube,
Then akaweza kuvifanikisha,
Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mambo anayoyafanya, footprint na ukweli wa mafanikio yake,
Ukweli ambao watu wengi wamekuwa wakiogopa kuuliza hata wanapofanya nae podcast/interview,
Lakini kwa faida ya wengi tumeuliza maswali hayo yote from A - Z na kumfanya afunguke vitu ambavyo hajawahi kusema popote pale,
Zaidi ya hapo ameelezea kiundani experience yake ya maisha yote aliyopitia, highs, lows, lessons, namna anavyo-handle pesa, investments, pressure, anavyoweza ku-maintain, kupanga mipango ya muda mrefu na kuitimiza na mengine mengi,
Kitu ambacho kinafanya episode hii kuwa very EXCEPTIONAL na yamoto kuliko mtu yoyote anavyoweza ku-imagine,
Na kufanya tuipe hadhi ya kuiita full MASTERCLASS,
Masterclass ambayo kukupa nafasi ya kuiona for free ni upendeleo mkubwa sana,
Na impact ya masterclass hii itaacha, value, information na alama kubwa sana kwenye maisha yako,
Kutazama full episode click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions pale YouTube, subscribe na turn on notifications,
👇👇👇
youtu.be/LBTv0eB0m5c?si=YWj9…
Tukifika subscribers 15,000 (Only 700 to go) tu tuna-release official episode,
OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
💻 2AM grind—coding a real web solution for a Poultry System.
Hello, I’m Patrick 🇹🇿, a Web Dev turning ideas into seamless, scalable, future-proof systems.
From full-stack dev to automation & SEO—let’s build something amazing.
📩 DM to collaborate!
#webdev #freelancer
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Check out my latest article: Dear NGOs: Stop Hosting AI Events. Start Funding Real AI Startups.
(And yes — this goes for corporates, VCs, and donors too.) linkedin.com/pulse/dear-ngos… via @LinkedIn
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Africa Doesn’t Need AGI We Need AI That Can Understand “M-Pesa iko wapi?” open.substack.com/pub/kalebu…
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Check out my latest article: Data Isn’t the New Oil in Africa It’s the New Trust linkedin.com/pulse/data-isnt… via @LinkedIn
1/
AI imekuwa na uwezo mkubwa sana. Lakini tunachoelekea sasa ni zaidi ya "AI ya kujibu maswali."
Tunaelekea kwenye Agentic AI — yaani AI yenye uwezo wa kuchukua hatua na kufanya kazi bila kusubiri amri kila mara.
1
38
7/
Kwa sisi developers wa Afrika:
Tujifunze kujenga na kutumia Agentic AI
Tutumie kusaidia biashara zetu
Tutengeneze assistants kwa Kiswahili
Tujenge tools za kusuluhisha changamoto za kwetu
1
15
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Check out my latest article: Building a Startup Is Not a Hustle — It’s War. linkedin.com/pulse/building-… via @LinkedIn
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
#ChatGPT imefikia Users million 100 toka ianzishwe
Leo nitakufunza michongo 100 online ambayo unaweza tumia ukiwa na ChatGPT.
Nina hakika huwezi kosa 10,000 tzs au zaidi kwa siku.
Unatakiwa kuwa na smartphone/ipad/tablet/PC na ujue kiingereza kidogo tu.
Shuka na huu UZI 🧵
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Awesome tech products from Tanzania. 🇹🇿
1. Nala app (nala.com)
2. ghala.tz
3. nisapoti.com
4. cpage.co.tz
5. stempu.com
6. Nuru (nuruprogramming.org)
7. ctrlx.africa
What did I miss?
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Content Creators in Africa deserve better.
We built nisapoti.com so fans can tip you directly.
No stress. No delays.
Start today → nisapoti.com
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
NCHI YANGU.
CAG: Bunge ni dhaifu.
Spika wa Bunge: Hatutaki kufanya kazi na huyu CAG, katudharau.
Serikali: CAG amestaafu, kamaliza muda wake.
CAG: Wamenifukuza kinyume na sheria
WANANCHI: KIMYA.
Likapita…!
Spika wa Bunge: Nchi inakopa sana.
Raisi: Najua hii ni homa ya 2025
CHAWA: Afukuzwe.
Wabunge wachama kimoja: Hatumtaki spika.
Spika akafukuzwa.
Wananchi: Kimya.
Likapita…!
Kiongozi wa Upinzani: Kijana wa raisi anahonga wapinzani.
Wenje: Hapana, alitaka kumsaidia Lissu
Lissu: Hapana alitaka kunihonga
Serikali: Kimya
Takukuru: Kimya
Vyama vya siasa: Kimya
Bunge: Kimya
WANANCHI: Kimya
Likapita…!
WANATUDHARAU!!!














