c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13) header
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13) profile picture

Dev

Mwanza, Tanzania
Joined August 2018
Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)Photo by c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ (@DeDaniel13)
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Over $20,000 in CASH prizes 💰 Traders, get ready for the biggest trading competitions! The5ers, @The5ersFutures, @TradeThePool, and @TradeSetGo. are joining forces for the Trading World Championship 2026, the ultimate battle for traders worldwide (and much more). 🏆 Cash prizes ⚔️ Trading battles 🎁 Over $1,000,000 in Evaluation Accounts The competition begins June 8th, and registration is free! Every champion starts somewhere. This is your moment. 👉 JOIN NOW: lp.the5ers.com/twc-2026/
96
177
20
305
52,894
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Kuanzia kumiliki pesa nyingi, magari ya kifahari, nyumba ufukweni, biashara, safari za nje ya nchi, freedom na mengine mengi, Miaka 10 iliyopita aliweza kuzungumza vitu vyote atakavyovifanya kwenye maisha yake live pale youtube, Then akaweza kuvifanikisha, Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mambo anayoyafanya, footprint na ukweli wa mafanikio yake, Ukweli ambao watu wengi wamekuwa wakiogopa kuuliza hata wanapofanya nae podcast/interview, Lakini kwa faida ya wengi tumeuliza maswali hayo yote from A - Z na kumfanya afunguke vitu ambavyo hajawahi kusema popote pale, Zaidi ya hapo ameelezea kiundani experience yake ya maisha yote aliyopitia, highs, lows, lessons, namna anavyo-handle pesa, investments, pressure, anavyoweza ku-maintain, kupanga mipango ya muda mrefu na kuitimiza na mengine mengi, Kitu ambacho kinafanya episode hii kuwa very EXCEPTIONAL na yamoto kuliko mtu yoyote anavyoweza ku-imagine, Na kufanya tuipe hadhi ya kuiita full MASTERCLASS, Masterclass ambayo kukupa nafasi ya kuiona for free ni upendeleo mkubwa sana, Na impact ya masterclass hii itaacha, value, information na alama kubwa sana kwenye maisha yako, Kutazama full episode click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions pale YouTube, subscribe na turn on notifications, 👇👇👇 youtu.be/LBTv0eB0m5c?si=YWj9… Tukifika subscribers 15,000 (Only 700 to go) tu tuna-release official episode, OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.
10
31
1
230
15,459
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
💻 2AM grind—coding a real web solution for a Poultry System. Hello, I’m Patrick 🇹🇿, a Web Dev turning ideas into seamless, scalable, future-proof systems. From full-stack dev to automation & SEO—let’s build something amazing. 📩 DM to collaborate! #webdev #freelancer
4
4
24
537
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Check out my latest article: Dear NGOs: Stop Hosting AI Events. Start Funding Real AI Startups. (And yes — this goes for corporates, VCs, and donors too.) linkedin.com/pulse/dear-ngos… via @LinkedIn
2
8
22
891
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Africa Doesn’t Need AGI We Need AI That Can Understand “M-Pesa iko wapi?” open.substack.com/pub/kalebu…
1
5
1
31
2,138
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Unfinished MVP 🙂😇
10
12
1
129
6,848
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
#ChatGPT imefikia Users million 100 toka ianzishwe Leo nitakufunza michongo 100 online ambayo unaweza tumia ukiwa na ChatGPT. Nina hakika huwezi kosa 10,000 tzs au zaidi kwa siku. Unatakiwa kuwa na smartphone/ipad/tablet/PC na ujue kiingereza kidogo tu. Shuka na huu UZI 🧵
88
521
27
870
145,696
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Awesome tech products from Tanzania. 🇹🇿 1. Nala app (nala.com) 2. ghala.tz 3. nisapoti.com 4. cpage.co.tz 5. stempu.com 6. Nuru (nuruprogramming.org) 7. ctrlx.africa What did I miss?
43
56
3
182
13,382
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Content Creators in Africa deserve better. We built nisapoti.com so fans can tip you directly. No stress. No delays. Start today → nisapoti.com
6
1
15
1,363
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
NCHI YANGU. CAG: Bunge ni dhaifu. Spika wa Bunge: Hatutaki kufanya kazi na huyu CAG, katudharau. Serikali: CAG amestaafu, kamaliza muda wake. CAG: Wamenifukuza kinyume na sheria WANANCHI: KIMYA. Likapita…! Spika wa Bunge: Nchi inakopa sana. Raisi: Najua hii ni homa ya 2025 CHAWA: Afukuzwe. Wabunge wachama kimoja: Hatumtaki spika. Spika akafukuzwa. Wananchi: Kimya. Likapita…! Kiongozi wa Upinzani: Kijana wa raisi anahonga wapinzani. Wenje: Hapana, alitaka kumsaidia Lissu Lissu: Hapana alitaka kunihonga Serikali: Kimya Takukuru: Kimya Vyama vya siasa: Kimya Bunge: Kimya WANANCHI: Kimya Likapita…! WANATUDHARAU!!!
52
176
3
672
36,561
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Kuna mahali nimemuona Janja Developer wa @Nisapoti_Africa ashaanza kujiosha na ICE CUBES hapo tuna users 300 tu😅 dah😭
4
5
3
55
6,346
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Ndani ya masaa mawili tumepata creators 120 @Nisapoti_Africa Revenue: ~500K TZS.👌🏾
10
12
5
115
10,869
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
BARUA YA WAZI KWA UMMA WA WATANZANIA. Ninaamini nyote ni wazima wa afya. Nina swali kwetu sote siku ya leo; JE, TUTAENDELEA KURUHUSU HAYA MPAKA LINI? Mwaka 2019 tulitumia zaidi ya billioni 80 uchaguzi wa serikali za mitaa. 2020 tukatumia zaidi ya billion 300 uchaguzi mkuu. 2024 tumetumia zaidi ya billion 100 uchaguzi wa serikali za mitaa. 2025 tuna uhakika wa kutumia zaidi ya billioni 500. Chaguzi zote hizi wala hazikufanyika (wote tunafahamu mwisho wa story ya 2025), ni sahihi zaidi kuziita UTEUZI. Wakati tunatapanya kiasi hiki cha pesa kugharamia upumbavu, Tanzania ni nchi ya 167 kati ya nchi 183 kwenye human capital development index ya 2024. Yani Tanzania ni moja kati ya nchi 20 za mwisho duniani kwa kuwa na watu waliodumaa kimaendeleo. Wala hauhitaji sayansi ya anga kulithibitisha hili, unless umechagua kuwa mpumbavu. Mpaka leo tuna watoto wanakaa chini kwenye shule za msingi na sekondari katikati ya jiji la Daresalaam kwa kukosa madawati, achana na zile za vijijini. Mpaka leo era ya artificial intelligence shule zetu za msingi na sekondari za umma nchi nzima zina wastani wa kompyuta moja moja tu. Wakati watoto wa viongozi wanasoma international schools kama Feza wanakopata kila aina ya luxury kwa gharama ya kodi yako, kila mwalimu mmoja kwenye shule za umma anafundisha watoto zaidi ya 200. Vitabu ni anasa kwenye shule za umma, masomo pekee yenye vitabu vingi ni masomo ya lugha ya kiingereza na hisabati ambayo yenyewe ndio angalau kitabu kimoja kinagombaniwa na wastani wa watoto wanne. Masomo mengine tulishamwachia Mungu, hayafai hata kuzungumzia. Mpaka hivi tunavyoongea mtoto wa mtanzania maskini hana uhakika wa kuishi akiwa na afya tele kwa sababu serikali yetu pendwa iliondoa bima ya afya ya TotoAfyaKadi kwa kushindwa kugharamia ruzuku ya billioni 30. Mpaka kufikia disemba mwaka 2024, zaidi ya asilimia 30% watoto wenye umri chini ya miaka mitano Tanzania walikuwa wamedumaa kwa kukosa lishe; yani kila watoto watatu unaokutana nao, mmoja kati yao ameduma. Niwakumbushe tu pia kuwa ni watanzania wachache sana wenye uhakika wa kula mlo kamili kutokana na umaskini. Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba, alituambia mwaka juzi kuwa zaidi ya asilimia 30% ya watanzania hawana uwezo wa kujigharamia mahitaji ya shilingi elfu 49 tu kwa mwezi. Hata ukisema tuishi kwa chakula cha shilingi elfu moja tu kwa familia nzima, kuna watanzania zaidi ya milioni 15 hawana uwezo huo. Ukisema asilimia zilizobaki zina maisha mazuri utakuwa unajidanganya sana. Ukitumia kipimo cha kipato cha shilingi elfu tano tu kwa siku utagundua karibu asilimia 50% ya watanzania hawana hiki kipato. Ukikipandisha hiki kipato mpaka kufikia shilingi elfu 10 kwa siku, unawaacha nje zaidi ya asilimia 75% ya watanzania. Hizi sio takwimu zangu, ni takwimu za Benki ya Dunia. Ni kweli kwamba takwimu zinaweza kutengenezwa kutoa picha ya uongo, hata hivyo kwenye sayansi tumefundishwa namna ya kubainisha ukweli wake kupitia triangulation. Namna nzuri ya kuthibitisha ni kuangalia takwimu za ajira nchini. Kwa mujibu wa report ya ajira kwenye sekta rasmi Tanzania (Formal Sector Employment Report) ya mwaka 2024, ni watanzania milioni 3.7 tu ndio wenye ajira rasmi, kati ya watanzania milioni 65+ tulionao. Ajira mpya zinazotolewa kwa mwaka ni 130,000 tu, na karibu asilimia 50% kati ya hizi ni ajira ni za kuziba nafasi. Ukichanganya ajira zote rasmi na zisizo rasmi, tunatengeneza nafasi laki nne tu za ajira kila mwaka na hii ni kwa mujibu wa taarifa rasmi za Waziri Mkuu. Wakati huo tuna vijana zaidi ya 1,000,000 wanaoingia kwenye soko la ajira Tanzania kila mwaka. Tumeamua kumwachia Mungu atende muujiza? 🤔 Kabla haujamalizia hiyo sentensi inayosema “mama amejitahidi ku……….” Kumbuka deni la taifa limepanda kutoka trillioni 60ish mpaka zaidi ya trillioni 100 miaka hii minne tu. Kumbuka CAG amesema tunatumia billioni 360+ kwa matumizi yasiyo ya lazima. Je, hali hii itaendelea mpaka lini??🤔🤔 TUJIANGALIE. Onesmo Mushi
29
68
3
272
16,428
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
#TajiriLaKihaya Sema tu ni kwa vile hii nchi kila kitu tunawaza kichama… Ila kiukweli kabisaaa… since 2020 Uchaguzi Mkuu umeharibiwa mno! Na hili swala iwe ni ccm au Chadema au Act - linakuhusu moja kwa moja… Kiongozi wako akifaham - wewe kama mpiga kura hauna Power ya kumchagua hata kama ni wa kutoka Chama chako- Hawezi kukuheshimu kamwe… Mwananchi hawezi heshimika … watafanya kazi kwa kuitumikia dola na ndio maana UCHAWA UMEKITHIRI MNO hata kwa viongozi wetu! Mbunge anapaswa kuwa muwakilishi wa wananchi - kuwasemea wananchi na kufikisha matatizo/kero ya wananchi - raisi na dola watasemewa na Wakuu wa mikoa/wilaya nk. Ila saa hizi wabunge na wenyewe badala wawakilishe wananchi wanawakilisha Raisi na dola 💔Matokeo yake kumekua na vita saana wabunge na wakuu wa mikoa- kila mtu anataka kuonekana kwa Raisi zaidi- wananchi tumetelekezwa- UCHAWA! Mbunge anafaham Raisi akikukubali hata wananchi wakukatae utaingia bungeni tu… na ukimkosoa raisi hata wananchi wakupende hauwezi ingia bungeni! Hili swala ndio CHADEMA kwa kuongozwa na Mwenyekiti Tundu Lissu wanalipigania! Kuhakikisha kura ya mwananchi inahesabiwa na kuhesabika! To ensure your vote counts! Hii itasaidia viongozi kuwaheshimu wananchi na kuwajibika ipasavyo! Na itatokomeza uchawa! Hili halifai kupiganiwa na Chadema pekee…. wananchi wote regardless unatoka chama gani inafaa tuwe mstari wa mbele kwa hili…. Hakuna haja ya kufanya kampeni, uchaguzi kutumia mabilion ya kodi zetu- wananchi kupanga mstari kuacha shuguli zetu tunapigwa na jua ili tupige kura-wakati tunafaham nani atapita! Tufanye Reforms kwanza - otherwise muendelee kuwepo madarakani hata bunge msilivunje hadi pale mtakapoamua KURA YA MWANANCHI IHESHIMIKE!
140
258
16
853
89,079
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Chagua market moja au sector moja. Mfano, Commodities, Fx, Stocks etc And then chagua the strongest pair kwenye ile market. Apply your strategy hapo Apply your techniques Utakua na idea ya kila kitu kinachoendelea kwenye hiyo .
1
2
29
839
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Malegend hivi viatu mlikuwa mnaviitaje?😂
781
93
37
1,722
168,100
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweeted
Suluhisho la PayPal kwa Tanzania limeisha na ni habari njema Gonga LIKE twende pamoja PayPal ni payment method kubwa zaidi Duniani Ina zaidi ya watumiaji 300m PayPal inaweza kufanya kazi nyingi kama kutuma, kupokea, kufanya manunuzi online nk Kwa Tanzania PayPal inaweza kufanya manunuzi pekee na haiwezi kupokea pesa. Ukiwa kama freelancer unaweza lipwa na client wako kupitia PayPal Xoom kama hutakuwa na access ya PayPal Anakulipa mojaakwamoja kuja bank ama mobile wallets kama M-Pesa Je, kama unafanya kazi kwenye platforms kubwa kama fivver, Upwork, uTest, Cloudworkers Na nyingine nyingi ambazo zinahitaji PayPal direct kama Freecash, intelzoom, TesterWork nk Utapokeaje maokoto? Ni lazima uwe na PayPal ya UK kwasababu ya Tanzania haipokei pesa PayPal ya UK inapokea pesa na unaweza withdraw kwenda M-Pesa, Tigo nk pia banks kama CRDB, EXIM nk Ni nzuri kwasababu unafungua Kwa majina Yako, email pamoja na number ya simu Yako. Una withdrawal pesa na unazipata ndani ya sekunde 20. Je, unahitaji PayPal ya UK? Usiogope, nimeundia Watanzania zaidi ya PayPals 560 HUJACHELEWA kupata Yako Leo hii Kwa gharama ya 49,000/= tu badala ya 69,000/= Umekuwa interested na unahitaji? Tuma neno PayPal kwenda Whatsapp yangu wa.me/+255623322998 Pia usisahau kushare na wenzio.
14
33
83
8,779