Hapa ndipo upande wa pili huonyesha upendo wa ajabu..!
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema Tundu Lissu bado anatambulika kuwa Mwenyekiti wa chama hicho licha ya kuhukumiwa kifungo cha miaka minne Jela na Mahakama leo, akieleza kuwa hukumu hiyo haiondoi moja kwa moja nafasi yake ya uongozi.
Akizungumza leo Jijini Dar es salaam, Dkt. Nshala amesema kwa mujibu wa msimamo wa chama hicho, Lissu anaendelea kuwa Mwenyekiti kwa kuwa bado ana haki ya kukata rufaa na mchakato wa kisheria haujakamilika, hivyo hakuna sababu ya kumuondoa katika nafasi hiyo kwa sasa.
Aidha katika kauli yake, Dkt. Nshala amesisitiza kuwa mamlaka ya kuwachagua Viongozi wa CHADEMA yako mikononi mwa Wanachama wa chama hicho na si Watu walio nje ya chama na Lissu alichaguliwa na Wanachama katika mchakato uliofanyika mwaka jana, hivyo chama hakiwezi kumuondoa kwa maamuzi ya Watu wasiokuwa Wanachama wake.
“Kwa hiyo tunasisitiza kwamba amehukumiwa miaka mingi Gerezani, bado ni Mwenyekiti, Mwenyekiti mzuri kabisa, imara kabisa, Wanachama ndio wamemchagua wao, hatuwezi kuchaguliwa Kiongozi na Watu ambao si Wanachama wa CHADEMA,” amesema Dkt. Nshala.#MillardAyoUPDATES
Hiki kina ugomvi na mafuta
#HereWeGO
TOYOTA VITZ RS NEW MODEL 🔥
Year 2008
Engine type 2SZ-FE
Engine Capacity 1290cc
Fuel ⛽️ Petrol
Low Mileage
Automatic Transmission
FEATURES
Sport Rims
New Tyres
Android Music System
Full Ac & Documents
PRICE TSH 8.8M
☎️0786 518866
KINDLY REPOST 🙏
Hapa tozo mpya
Tanzania Secures $1.2 Billion for Tabora to Kigoma SGR With AfDB's Largest Credit Guarantee.
Read: uchumi360.com/inf/l/tanzania…
Nyumbu hapo Epl anawakilisha
All five of our @ChampionsLeague sides are on track to reach the knockouts at the halfway point of the league phase, with four in the Top 8 👀🔥
Mafuta Mixer tozo 🔥maendeleo yana gharama zake
VIDEO:
Waziri wa Ujenzi, Masanja Kadogosa, amefafanua tofauti kati ya barabara za kulipia na utaratibu wa tozo, akieleza kuwa katika mfumo wa barabara za kulipia, mtumiaji mara nyingi anakuwa na njia mbadala ya kupita bila kutoa malipo.
Akizungumza Novemba 2, 2026, Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu hoja za wabunge kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2027/2028, Kadogosa ametolea mfano wa Daraja la Kigamboni na Barabara ya Tanzanite, huku akibainisha kuwa utaratibu huo unatumika pia katika nchi mbalimbali kama Kenya, Uganda, Zambia, Rwanda, Ghana, na Misri.
Aidha, ameeleza kuwa mtazamo wa Wizara ni kujenga barabara za njia sita au nne kulingana na mahitaji ya eneo, na kwamba Serikali imejipanga kufanya mabadiliko ya kisera na kuharakisha utekelezaji wa miradi hiyo kwa kuzingatia maelekezo ya Rais SamiaSuluhuHassan.
Kwanza suala la mzee wa intensity lilishia wapi.?😁
Sometimes mashabiki wa pacha huwa wehu sana ..!
Replying to @PeleAlphaChalie
Sisi kila tukipewa game ngumu tunasema timu zimetumwa, tumejimilikisha ushindi kila wakati.
Hii arusha wangeitoa hadhi ya jiji
Replying to @hamzaalbhanj
Bila wivu naweza kusema ni Arusha iliyo changamka maana picha nyingi nzuri ni za downtown
Miundombinu ya maeneo husika sio rafiki sana rekebisha,boresha ila sasa vipaumbele vyetu ni huzuni
Juha kalulu retweeted
Kumekucha Wakuu Naomba Retweet Yako Moja Hapa
Napokea Oda Ya Neo Signs Quality Kabisa Za Kuwaka
250,000/=
☎️0769063447
Sinza Makaburini 📍




























