Pinned Tweet
Ujio wa Moallin umeongeza kitu kikubwa sana ndani ya yanga
Tangu aje style of play imebadilika
Tangu aje flow ya timu imebadilika
Tangu aje viwango vya wachezaji vimeongezeka mfano ni kwa maxi na okello
Vile vile hata ile winning mentality kwa wachezaji imeongezeka
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Hamna watu wanaonikera leo kama hawa wanaopost mambo ya harusi ya mtoto wa Rutto kmmke zenu hamjui nini kinaendelea nchini. 💔💔
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Kuna demu kamuacha Jamaa yetu kisa eti Jamaa ana Kundi la Damu Group B+ hawezi kudate naye,
Mna Standard hadi Magroup ya Damu siku hizi..?
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Iwe mwanamke au mwanaume kwenye mahusiano ogopa sana kitu kinaitwa uhuru yani unajikuta unaweza kufanya kitu chochote na mwenzio hakuulizi
Una uhuru sana na simu yako password kila kona na hajali, unaweza kwenda sehemu yoyote bila kuaga na Kurudi Muda Unaotaka, Kataa Huo Uhuru.
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Hapaa twitter kama tukiamua kusaidiana tunaenda mbali sana mfano mkaanzisha mchezo wa shilingi elfu moja moja kwa followers 500,
Ikifika zamu yako unachukua 500K Just Imagine una followers 10K ..zamu yako ikifika unachukua zako pesa nzuri tu..😁🫵🏾
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
TAL labda akae tu maisha yake yote huko ila akija kutoka hii nchi ni yake.
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Sema jamaa wamemuongezea thamani kubwa sana kwenye hili taifa bila wao kujua na hawajamkomoa .✌️
Hawa mapisi kule IG wameanza tabia ukimchek DM anajibu fresh ukimuomba no anakwambia tuma 50k ndo akupe namba ya wasap ili akuamini ukituma no hakupi au akikupa kule wasap anakuwa anakughost
Wameishutikia ile cheatcode ya kuomba no inayopokea kama una hela za mawazo wapotezee tu
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Pesa ya kodi ya mwezi mmoja pesa lazima apewe dalali, hii Inakataga Sana Maini
Hivi kwanini hii pesa isiwe inatoka kwa mwenye pango..? Wawe wanamalizana na mwenye mjengo wao kwa wao, badala Ya Kutoka kwa Mpangaji.
Kabla ya kumsapoti mwanaharakati yoyote fahamu kwanza nyuma yake yupo nani!?
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Basi Usiogope nipo pamoja nawe, usifadhaike,mimi ni Mungu wako nitakuimarisha na kukusaidia, nitakulinda kwa mkono wangu wa ushindi ISAYA 41:10
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Ukishakua chawa either ni male or female wewe kulinda mgongo wako ni ngumu lazima uliwe ndogo 🚮. #YBWYB
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Ukiachana na "Maisha yenyewe mafupi" na "Kwani hii dunia ni yetu" ni msemo gani mwingine unaotumia kujifariji pale unapotaka kufanya maamuzi ya kipuuzi..😅🫵🏾
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Wataalam wa sheria mnielekeze je inawezekana TAL kukata rufaa na kesi itasikilizwa wapi?
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Daah! Wamemfunga mzee wa watu 💔.
Miaka minne?. Minne?. Pamoja na kuwa anaumwa, anamaumivu makali ya kufiwa kaka yake.
Ila hamjawa hata na utu Wakumuachia akamzike kaka yake.
Mmh.
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
“Waheshimiwa Majaji mnatambua kwamba nina msiba mkubwa,mtu ambaye amenifanya niwe Mwanasheria, mtu aliyenilea na kunifanya kuwa mimi. Kwa kuwa hakuna kesi ninatumaini mahakama hii itaniacha nikamzike kaka yangu niliyeshindwa kumuuguza nisishindwe kumzika” — Mhe. Tundu A. Lissu✌️
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 retweeted
Upo restaurant unanunua chakula, unamuona x wako uliyemshomesha akakutapeli pesa na akakuacha siku moja kabla ya harusi amekaa na mpenz wake
Baada ya muda akatoka kwenda washroom Kwa bahati wew ukaoona mwenza wake akimuekea kitu kwenye kinywaji chake je utamsanua au unakausha.?


















