Pinned Tweet
Hivi pale mteja na muuzaji wamemaliza mauziano ya bidhaa anayetakiwa kutoa shukrani ya ahsante ni mteja au muuzaji ?
PàChâ#1738 💫 retweeted
Kuna usajili nimefanya hapo ifm nafikiri yule mchezaji itabidi nicheze nae mechi nyingi kabla madrid na barca hawajaona kiwango chake uraiani🤲🏻
PàChâ#1738 💫 retweeted
Hapaa twitter kama tukiamua kusaidiana tunaenda mbali sana mfano mkaanzisha mchezo wa shilingi elfu moja moja kwa followers 500,
Ikifika zamu yako unachukua 500K Just Imagine una followers 10K ..zamu yako ikifika unachukua zako pesa nzuri tu..😁🫵🏾
PàChâ#1738 💫 retweeted
Ningewaelewa kama wangesema wameondoa adhabu ya viboko advanced level tu, ila sio mpaka primary na o level wale watoto wanahitaji viboko akili zao zinase mambo na kuwatengenezea nidhamu.
PàChâ#1738 💫 retweeted
Heche ameweka msimamo wake hakuna maridhiano yoyote yatafanyika kama mwenyekiti yupo gerezani "hawa ndio viongozi sasa🙌🏽🙌🏽
PàChâ#1738 💫 retweeted
mtu gani ulikuwa unamuona sana humu lakini sasa hivi hayupo active kama zamani?
Lile treni lililotiki la kina vina limefanya vijana wapagawe na matren sahv kila kijana anayebeti anasema hatopuuzia treni lolote litakalokatiza mbele yake hizo bahati hazijirudii mara mbilimbili.😁😁
PàChâ#1738 💫 retweeted
Iwe mwanamke au mwanaume kwenye mahusiano ogopa sana kitu kinaitwa uhuru yani unajikuta unaweza kufanya kitu chochote na mwenzio hakuulizi
Una uhuru sana na simu yako password kila kona na hajali, unaweza kwenda sehemu yoyote bila kuaga na Kurudi Muda Unaotaka, Kataa Huo Uhuru.
PàChâ#1738 💫 retweeted
Room of jeans amenifundisha kuwa maisha na pesa vyote havitaki kelele na majivuni 😂😂
PàChâ#1738 💫 retweeted
Swali langu ni kuwa mwenyekiti sawa kahukumiwa je Aina ya watu kama yeye (mwana siasa mzoefu) wanakua na treatment special huko gerezani au wakua hawana utofauti na wafungwa wengine ambao hawakua na ushawishi kwa mtu yeyote.
PàChâ#1738 💫 retweeted
“If you feel pain, you are alive.
If you feel other people's pain, you are a human being.”
—Leo Tolstoy
Hamna watu wanaonikera leo kama hawa wanaopost mambo ya harusi ya mtoto wa Rutto kmmke zenu hamjui nini kinaendelea nchini. 💔💔
PàChâ#1738 💫 retweeted
Maisha Waliopitia Watumiaji Wa Facebook, YouTube Na WhatsApp Leo, Ndio Maisha Ambayo Sisi Watumiaji Wa X Tunaishi Kila Siku. 😂🤔😎





















