Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas) header
Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas) profile picture

Philosopher & Theologian | Writer and Editor | Agronomist

East Africa
Joined May 2021
Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)Photo by Cosmas Edward 💫 (@EdwardCosmas)
Dear God.Thank you! Happy birthday to me
88
53
10
407
31,871
Cosmas Edward 💫 retweeted
Mungu nina matarajio mengi moyoni mwangu lakini kuliko yote natamani mapenzi yako yatimie katika maisha yangu🙏
10
1
71
920
Wakati mwingine inakubidi ukae kimya hata kama upo sahihi. Amani yako ni bora zaidi kuliko mashindano. Good morning
2
11
42
860
Amina kaka Asante sana kwa kunitakia matashi mema 🙏🙏
Replying to @EdwardCosmas
Mwenyezi Mungu akupe sawa na haja ya Moyo wako akutie Nguvu, akushindie Mapambano usiyoweza kuyaeleza na akuongoze kuendelea mbele kwa Neema na Unyenyekevu... Happy Birthday Brother
4
575
Cosmas Edward 💫 retweeted
NEW LINEN SHIRT 💥💥 SIZE: M - 2XL PRICE: 30,000/= DELIVERY YES I DO CALL & WHATSAPP DM +255626560477.
6
34
36
602
Thank you darling, for always being there for me. Your presence, love, and unwavering support mean more to me than words can express. ❤️
Each day spent by your side is a precious gift filled with laughter, love and shared dreams . You are not just my partner in life but my confidant, and my greatest cheerleader. May this year be filled with laughter love and endless blessings. Happy birthday love ❤️ @EdwardCosmas
1
4
516
Cosmas Edward 💫 retweeted
Each day spent by your side is a precious gift filled with laughter, love and shared dreams . You are not just my partner in life but my confidant, and my greatest cheerleader. May this year be filled with laughter love and endless blessings. Happy birthday love ❤️ @EdwardCosmas
3
1
4
616
Watu wenye busara hufanya matendo makubwa ya upendo kimya kimya bila kutangaza wala kutafuta sifa
3
18
101
1,553
Thank you Lord! Happy birthday to me! 🎈
41
32
3
114
3,496
Cosmas Edward 💫 retweeted
Maisha hayakuulizi kama umechoka yanaendelea kukupa majukumu
5
29
109
1,671
Chinga yuko vzr
IBRAAH HESHIMA NA SALUTE NYINGI Finally nimepata nafasi kusikiliza album ya IBRAAH ya 1B na kiukweli bado nipo kwenye shock. Album kikawaida huwa zina nyimbo 10 - 18, ila bwana CHINGA ameachia nyimbo 50 !! To give you context, longest albums TZ zilikuwa za Countrywizzy (YULE BOY - 30 songs) na Chindoman (KIJENGE JUU - 41 songs) na hao ni rappers. 🤯 Marekani Chris Brown aliwahi fanya kitu ka hiki; 2019 alitoa album ya INDIGO (42 songs) na ngoma zilisumbua hadi 2022 ambapo wimbo kama “Under The Influence” ndio ukaja ku-hit… 3 years later! Huo ni Uthubutu, Ujasiri na Nidhamu ya Kazi (work ethic) ya kiwango cha juu mno. Ila pia Uthibitisho wa Ukubwa wa Kipaji chake. Ukitoa Album ya nyimbo 15, ukawa na nyimbo 6 nzuri na hit 1 au 2, tunasema album kali.  Sasa LAMINE YAMAL aka MBEBA LAWAMA, album yake (kwa sikio langu) nyimbo takriban 38 nzuri, na aki market & promote vizuri kuna hits zaidi ya 15!! Na hapo nimejitahidi ku-judge kiunoko, maana hizo 12 songs sijazipenda sio kuwa ni mbaya, bali Maudhui, Utunzi na Sound zake zimekuwa redundant (zinajirudia rudia) ILA ukimpa Msanii mwingine ANATOBOA! Ibraah amerithi Work Ethic kutoka kwa Harmonize, ambae nae alirithi kwa Diamond. Babu na Baba yake wa kimuziki now wame focus kwenye show off na vibweka zaidi, so ni fursa ya Ibraah kuchukua mikoba na ame take advantage vilivyo na album hii. PENMANSHIP: Utunzi wa Mashairi ni wa kiwango na kiufundi. He is philosophical, direct, stylistic, retrospective. but the lyricism & rhyme pattern ni ya juu kuliko hata baadhi ya Rappers. VERSATILITY: Ameonyesha uwezo wake wa ku-adapt ni many styles. Album ina Koumpa, Zouk, Afro-house, Afro-piano, Singeli, Traditional bongoflava.  PRODUCTION: Utayarishaji ni wa moto. Production za Tongwe Records, Mix & Mastering (Laizer), King Pallazo (Mwehu Touch meets Chizi Chinga), Ammy Beats (The bassline in “Bet”  is sick bro 🤯🔥), Master Keys (“Siyawezi” is an instant classic bro).  NUANCES: Selection ya features iko on point; rappers wote wame Deliver (Lunya ka disappoint kidogo 😔) na kwa Waimbaji, Yammy katisha sana (Ila Phina 6/7). Na pia Background Vocalists wametendea haki project. Na pia vionjo, vibwagizo (adlibs) vya Chinga vimetawala na vimependeza sana “Oyaa Wee”, “Ma Gang Gang”, “Wa Milembe”, “Chizi”, “Naimba tena Mapeeenzi”.  VOCAL PERFORMANCE: Vocally amekuwa consistent ingawa kuna some places he was flat & generic. Ila ame compensate hiyo kwa ku-deliver the Right Amount of Emotions respectively on each song. Yaani ukisikia analalamika unamuamini.  Pia nimependa the “Minimalist Approach” maana haja over-sing kabisa bila sababu. RELATABILITY & SUBSTANCE: Amefanikiwa to address mapenzi kwa pande zote mbili (Chungu na Tamu). Ingawa nadhani ametisha zaidi upande wa Chungu (“Siyawezi”, “Siko Nae”, “Tumeachana”).  Ila “Imani” is also a standout ya other side.  Pia ametisha sana ku address issue ya MO29 in “Mabomu”. HESHIMA SANA. Ujue as an artist sio lazima utoe wimbo kutukana Serikali, ila unaweza tu artistically ukaongelea issue kwa juxtaposition na ujumbe ukafika.  Post moja haitoshi kuzungumzia hii project, nitarudi na VIDEO…  Ibraah Hongera sana, na asante kwa kufanya na kutupa Muziki. Naomba ubaki huko huko kwenye muziki, usitumike kwa kiki hasa na walikwaa kisiki kipindi hiki. Tutajadili The Leader  #SupportYourOwn #Workethic #BeberuReviews
1
4
298
Cosmas Edward 💫 retweeted
Usionyeshe mtu majeraha yako Wengine wataweka chumvi badala ya dawa
4
17
46
648
Maisha hayakuulizi kama umechoka yanaendelea kukupa majukumu
5
29
109
1,671
Cosmas Edward 💫 retweeted
Kama huna nidhamu ya fedha ukiwa masikini usifikiri utakuwa nayo ukiwa tajiri
4
24
335
Kujiheshimu ni kutambua kwamba sio kila jambo unaloweza kuvumilia linapaswa kuvumiliwa
2
17
60
1,125
Cosmas Edward 💫 retweeted
Tomorrow! Kesho usikose X Space maalum ya Polepole na Utekaji Tanzania! Make sure you are part of this important space - it will be hosted HERE 👊🏽🔥 #FreePolepole #FreeAllPoliticalPrisoners in #Tanzania
5
154
3
588
12,166
Cosmas Edward 💫 retweeted
Shuka 2, foronya 4 Tsh 50,000 Sikukuu hizi pelekea wazazi zawadi 📌 0755693113 📍 Riverside, Mikoa yote tunatuma
Good morning 📌Huu ndio muonekano wa chakula kinavyokaa kwenye haya mabakuli 3pcs Tsh 49,000 0755693113 📍 Riverside, delivery nchi nzima 📌, RT🙏
2
42
1
38
792
Cosmas Edward 💫 retweeted
Rest in Peace Eddo Tiger Mnyama. 💔 Pale Ebony Fm ilikuwa ikifika saa tatu usiku lazima usikilize simulizi zake. Poleni sana ndugu zangu wa Iringa. Huyu mzee alikuwa mwamba sana 🙌
3
33
1
236
6,662
Cosmas Edward 💫 retweeted
This one hit different 💔 06..000008 📞 Pumzika Couzin🙏
36
85
7
851
43,698
Cosmas Edward 💫 retweeted
Wakuu kuna hii iphone X Gb 64 inauzwa 150,000 tu. Njoo Whatsapp 0744802358 tuyajenge
7
36
3
134
9,192
Cosmas Edward 💫 retweeted
Kuwa muangalifu na mioyo unayoigusa na maumivu unayowapa wengine. Usimuumize mtu kwa sababu tu una uhakika hatakufanya chochote na usifikiri kwa sababu amenyamaza hakuna kitakachotokea. Muogope sana mtu anayemshitakia Mungu
3
7
28
521